Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,580
Lakini pia jamani hata kama ni kweli utata ni mkubwa kuliko ukweli wenyewe hiyo nyumba yenyewe imekaa tofauti na zote hiyo sehemu mtu anayeelezwa kuwa na akili na gaidi mkubwa kukaa kwenye nyumba kama hiyo ambayo iko visible na most likely kuwa suspected bila kujitengenezea kitu kama njia za chini kwa chini za kutorokea kuelekea hiyo milima ya Afganistani inawezekana kweli? Michoro ya nyumba ni mizuri kuliko nyumba yenyewe na wala sioni kuwa ni complex fulani na hizo features wanazoeleza kwa mtu gaidi ya std ya Osama sijui kama angeweza kukaa humo. Any way acha jogoo wa dunia wa wikie vitetea vyao si wengine twaishi ulimwengu wetu wenyewe na ufalme wetu si wa dunia yao.
Nafikiri mungu hawezi kutunyima vyote, hiki ndio kipaji pekee tulichonacho Watanzania. BISHANA MPAKA UFE. Usichokijuwa tu ni kwamba alikuwa anahifadhiwa na serikali ya Pakistan, kwa sababu ya upumbavu ule ule wa huyu ni mwislamu mwenzetu.