Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

Tunasikitika akina bashite kutokuwepo wakati nao ni watumishi kwa mjibu wa katiba na si wanasiasa.Kombe limefunikwa.....
 
Ni uonevu mtupu mbona wanasiasa wameachwa!!!?? Na wao ndio wana madaraka makubwa na vichwani zilo!! Mfano Bashite.. Lusi de... Maji marefu.. Mlinga na wenzie!!
 
nimefurahi nina mwaka wa tano sina ajira sasa nitapata maana wenye vyeti feki walikuwa wanajaza nafasi tu
 
Wakuu na wale wanaotumia vyeti vya watu wenyewe wamesalimika kumbe?maana hao ni wa kufoji anaetumia cheti cha mtu.ruksa kumbe
 
Bnafc cjafoji ila nili ibiwa cheti cha kidato cha nne. Cha kushangaza na kuskitisha nam npo kwenye orodha hyo. Cjui watu wa baraza wametumia utaratibu upi maana kama ni index number ndo hyo hyo
 
Hbr Zenu Great Thinkers.Hiyo Orodha Ipo Wapi Nimekolokocha Kasimu Kangu Mpaka Chaji Imeisha Naomba Jibu Wenzangu.
 
Nimegundua vetting nchi hii ni bosheni tu ya kuwapatia watu ulaji au vetting huenda inafanywa kujua tu kwamba mtumishi huyu ni CHADEMA supporter au sio, Haiwezekani mkuu wa Idara ambaye tunaambiwa lazima apitie vetting kuthibitishwa hicho cheo naye jina lake linatokea kwenye wenye vyeti fake!
Tupia jina la huyo mkuu wa idara, tuambie anatoka wapi
 
Back
Top Bottom