Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,804
- 11,384
Ndio maneno yao hayo ya kipumbavu.Kweli kabisa, utakuta mtu anazaa watoto zaidi ya 10 ukimwambia kwann azae watoto wote hao katika hali hii mgumu ya maisha. Anakujibu eti kila mtoto anazaliwa na riziki yake.
Sasa nafikiri riziki wanayozungumzia wao ni hii ya kuibia watu, kujeruhi na sometimes kuuwa kabisa watu wasiokuwa na hatia yoyote.
Ujamaa na ujio wa waarabu kwetu vilileta athari kubwa sana kwa watu wetu.