Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,995
- 25,338
.....
.....Ndo kwanza mnaongeza na kuchochea kasi ya ukombozi wa Taifa!!!!
.....Ndo kwanza mnaongeza na kuchochea kasi ya ukombozi wa Taifa!!!!
Huyu shetani tutampata tu na tutamkata kichwa!!!
Nguvu ya zitto ni kiboko wakuu lazima mbowe amwite zitto amwachie uenyekiti wake ndiye mtu sahihi kwa sasa mengine yote kupoteza mda.
mpaka sasa mjusi na mwenzake ambao ni green guard wananyea debe bado mboya anatafutwa..
mwingamba atakuwa anahusika, anaroho mbaya sana huyo jamaa. Mm2 na mm3
we mwekundu ni -------- kuliko wanyama wote
Nani kamwambia kuwa wafuasi wa ZITTO ndo wamechoma moto?
Poleni sana! Ukiona giza linazidi kuwa nene juwa punde kutapambazuka.Saa ya UKOMBOZI yaja.
Sema ipo moyoni mwako unasema mioyoni mwenu nanni? Au na mkeo mkuu make naona umekuwa msemaji wa wote hapa jf.
Ofisi ya chadema mkoa wa Arusha imechomwa moto hivi sasa juhudi za kuuzima zinaendelea...
picha nitaziweka muda si mrefu...
View attachment 124594
View attachment 124595
View attachment 124596
View attachment 124597
Hapa ndipo walipo ingilia.....
==============
aliyeku mwanachama wa chadema (Mboya) aliefukuzwa ndani ya chama na kuhamia ccm miezi minne iliyopita ambaye kwasasa ni kiongozi ndani ya CCM anashukiwa kuhusika na tukio hili kwasasa anatafutwa na polisi...
===================
Vijana wawili wa CCM( Green Guard) wamesha kamatwa kwa kuhusiswa na tukio hili wakati huo huo kuna vijana wa CCM wamejikusanya kwenye bar ya amazon wakipanga kuaandamana ili kuonyesha kuwa wana muunga mkono Zitto na Mwingamba...
Lema akamatwe haraka sana,
Na nyinyi arusha nani aliwashikia akili hadi mkamchagua mbunge anaewaletea mabalaa kama huyo??
Msifanye makosa hayo 2015,kiambien chama chenu kisimamishe mgombea mwenye weledi wa kuongoz jimbo hilo,na sio mbumbumbu kama lema
we no mjinga sana mmeamia kuchoma ofisi zetu siyo? kazi ya mwigulu hyo
Ingeungua tu yote.
Mama yako ndiyo SACCOS ya magamba, analiwa halafu anahongwa khanga!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Sielewi elewi chama langu...CDM ikifa, CCM watafanya wanavyotaka...ndo utakuwa mwanzo wa kurudi kwenye socialism!!