huku mnaendelea kufukuzana, huku kule mnaendelea kuchoma moto ofisi zenu
Wachome ofisi zao ili iweje?!
Si ndiyo nyie mlisema walijilipua wenyewa Arusha, mkaunda tume lakini hadi leo matokeo ya uchunguzi wa tume hayajulikani!
huku mnaendelea kufukuzana, huku kule mnaendelea kuchoma moto ofisi zenu
Mwekundu ni mwekundu tu. Ubongo pia ni mwekundu! Sasa kumbukumbu za pesa za chama kama kweli Mbowe na Silaa walikopa zinahifadhiwa kwenye ofisi ya chama ya mkoa? Au huko ndiko aliko mhasibu mkuu wa CDM? Mi naona hata ubongo wako ni mwekundu!
chama hakina fedha za ruzuku hadi wafanya kazi wao wa mikoani wanapumulia mashine,hata mbinu mbadala ya kuzalisha kuwa na mitaji haina,inategemea kwenye kukopa kwa mbowe
Wacha iungue tu, kwani mali ya umma hiyo?
vijana wengi wa Arusha akiwanywesha viroba ,wanamuona ndo king waomie nilikuwa natamani wamchome LEMA humo humo ndani, mvamizi na mwaribifu mkubwa wa chama anayefumbiwa macho kwa sababu ya UKABILA!!
Mkuu Kitoabu a.k.a mzee wa pili pili kumbe wewe mwana CCM?!
wewe ndo mburula sana mimi nilidhani utaniambia kitu chochote kipya nisichokiju,KWANZA WEWE UTAJUAJE RUZUKU ZA CHAMA WAKATI WAMILIKI WA FEDHA NI WATATU TU?DR SLAA,MBOWE NA MTUNZA FEDHA?source WARAKA WA USHINDI 2013,KASOME TENA ,UTAKUTA SENTENSI INASEMA HIVI.CHAMA KINAISHIWA FEDHA HAKI IKIFIKA UCHAGUZI KWENYE AKAUNT KUNAKUA KUMEKAUKA.NDIPO MTENDAJI MKUU(MBOWE) ANAPOAMUA KUKIKOPESHA CHAMA!!acha ushabiki mamluki deliver factsMwekundu,
Naona unaongea kama chizi ambaye huwa hatumii ubongo wake sawasawa.
Unaposema chama hakina fedha za ruzuku una maanisha nini? Unajua maana ya fedha ya ruzuku au unabwabwaja tu? Elewa kwamba katika mgawo wa fedha ya Ruzuku toka serikali/hazina CDM ni ya pili baada ya CCM. Fedha ya Ruzuku hutolewa kulingana na idadi ya Wabunge na Madiwani wa Chama husika.
Wewe unafikiri ni kwanini ZZK juzi alivishkia bango vyama vyote vya siasa vyenye uwakilishi Bungeni? Ni pesa ya Ruzuku. Kwahiyo CDM kina pesa ya kutosha tu kwa matumizi yake. Pia kwa tarifa yako kuna Fedha nyingine kwa mamilioni zinazotolewa na wakereketwa na matajiri wakubwa kama kina Sabodo na michango ya Wanachama na Watanzania wemnye kutaka mabadiliko.
Hoja yako kuwa chama hakina fedha ati kinategemea kukopa kwa Mwenyekiti Freeman Mbowe haina mashiko na ni upotoshaji wa kijinga. Kama jambo hulijui ni vizuri kukaa kimya ili watu waendelee kukuona kuwa una busara wakti huna kuliko kuongea pumba zako ambazo zinadhihirisha ujinga ulionao!
Wacha iungue tu, kwani mali ya umma hiyo?
Kama ni kweli basi CCM imedhamilia kweli kweli
mie nilikuwa natamani wamchome LEMA humo humo ndani, mvamizi na mwaribifu mkubwa wa chama anayefumbiwa macho kwa sababu ya UKABILA!!