Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Jaribio ovu la kuunguza ofisi limeshindwa,ofisi imeungua sehemu ndogo,inaonekana mpango ulikuwa kuunguza ofisi kwa lengo la kuunguza DATA,kwenye computer.
Mpango huu unaonekana kufanywa na Wasaliti
Mkuu, kwani mnaowaita wasaliti si mmewaondoa? Kama kuna wengine ni wazi kuwa hao mnaowaita wasaliti si wasaliti bali wale mnaowaona watakatifu ndo wasaliti
 
Mkuu, ilishatabiriwa kuwa CHADEMA kitakufa 2013. yametimia mkuu. kufa kwa chama si kama binadamu. ni matukio tu yatakiandama

Kweli kaka kufa kwa CHAMA haiwi kama binadamu,lkn kwa sasa wanapumulia Mashine.na wengi wanakerwa na Ukanda na Ulaghai,watu wao wameanza kuujua ukweli.
 
Hizi ni mbinu za ccm, ccm acheni rafu za ovyo! tumikieni watu!
Mtahangaika sana na CCM. Chama chemu hakitabaki salama mpaka wachagga watakapoacha kushika hatamu ndani ya chama
 
Mmechoma wenyewe lakini Muda si mrefu mtaanza kumsingizia ZZK au CCM, hiyo bado ni ile laana ya ubaguzi inaendelea kuwatafuna
 
kisipo maliza mwaka ndo utapata maisha bora?:shocked:
 
,..watabomoa majengo yoote lakini kamwe hawawezi kubomoa chadema iliyopo mioyoni mwetu,hata wakipandikiza virusi wenye pembe kama tembo,tutazikata na kumpa mzee tembo...
 
Chadema mnachoma ofisi ili iweje au yale mahesabu ambayo hayajakaguliwa ndiyo yapo huko?
 
Ofisi ya chadema mkoa wa Arusha imechomwa moto hivi sasa juhudi za kuuzima zinaendelea...
picha nitaziweka muda si mrefu...

Poleni sana kamanda, naomba mchunguze kwa makini halafu mtupatie taarifa tujue nani hasa kahusika.

Chadema ni mpango wa mungu huwezi kuizuia kwa kutumia mbinu za Shetani.
 
Kweli kaka kufa kwa CHAMA haiwi kama binadamu,lkn kwa sasa wanapumulia Mashine.na wengi wanakerwa na Ukanda na Ulaghai,watu wao wameanza kuujua ukweli.

ukanda gani huo? kwani Lissu yupo kanda gani vile?
 
Jaribio ovu la kuunguza ofisi limeshindwa,ofisi imeungua sehemu ndogo,inaonekana mpango ulikuwa kuunguza ofisi kwa lengo la kuunguza DATA,kwenye computer.
Mpango huu unaonekana kufanywa na Wasaliti

Petroli mnunue nyie, moto muwashe wenyewe, lawama watupiwe wasaliti - MAJANGA!
 
Ni vyema chadema ikawa makini na ofisi zake zote mikoani na wilayani hujuma hii inaweza kufanywa hata na wapinzani wetu ili ionekane wafuasi wa zitto ndo wamefanya uovu huo.
 
wajenge wakati fedha kajikopesha slaa?hadi atonywe ndo arudishe

Dah, hakika hiki chama ni cha misukule. hivi binadamu na akili zako timamu utaachaje Katibu Mkuu anapiga deal kubwa la fedha kiasi kikubwa halafu wale wanaohoji mnawaandama?
 
Back
Top Bottom