asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
===================
Vijana wawili wa CCM( Green Guard) wamesha kamatwa kwa kuhusiswa na tukio hili wakati huo huo kuna vijana wa CCM wamejikusanya kwenye bar ya amazon wakipanga kuaandamana ili kuonyesha kuwa wana muunga mkono Zitto na Mwingamba...
Crashwise hao vijana wa CCM waliokusanyika hapo Amazon Bar kwanini msiende kupambana nao ana kwa ana hapo hapo, huu upuuzi umezidi.
Last edited by a moderator: