Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Ndugu Crashwise maomba tafadhali pambana kistaarabu achana kabisa na Kikwete na habari kusikia na photoshop. Ni tahadhari ya kibinadamu tu usijesema mkwara
 
1452339_558673044208406_2063836110_n.jpg
 
Ndugu Mwekundu sikupingi au kukuunga mkono ila nawashauri wanachadema hasa CC kufanya uchunguzi huru kwa kutumia kamati huru ili kujua kiini cha ofisi kuchomwa wakitilia maanani maoni yako.

Najua chadema hawakubali kusikia hili maana kila ushauri ulio kinyume cha vigogo wenye chama unaitwa gambas lakini kwa hili italazimima iwe hivyo.

Swali la kuuliza ilikuaje dari ivunjwe mtu aingie ndani kisha moto uchomwe kwa ndani tu alafu aliyeingia humo asiungue? Pili humo ndali kulikua na nini hasa cha kuficha umma?
 
Back
Top Bottom