Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Ama kweli, watu na taasisi huwa zinapitia kwenye matanuru katika kuelekea ukuaji lakini hili la cdm ni tanuru kuu kwa hakika. Kwa kupenye kwenye hili tanuru itajihakikishia maisha ya miaka zaidi ya 200 bila kutetereka.
Sasa na huu utakuwa mpango wa nani na ili kuonyesha nini umma, ngoja tuusubirie ukweli utakuja tu.
 
kutoka kwenye kujinywea viroba hadi kujichoma moto? upongezwe mentor wa chadema family #LEMA
 
Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa Chadema ajiuzulu mara moja. intelejensia yake imeshindwa kugundua kuna watu wanataka kuchoma moto ofisi.

atagunduaje wakati mwenyewe anabeba madumu ya tindikali na packs za sumu?
 
Tuliposema Chadema ni genge la wasaka tonge na wahuni wanaofuata mkumbo hamkuamini. ona sasa.! matukio haya ni mageni mkoani kwetu. hayakuwepo kabla ya Lema.
 
Kijana anatapatapa!! kwisha habari yake!! CDM inasonga mbele!!
 
chadema wakimaliza kuchoma majengo wataanza kuchapana makonde makavu live tusubiri tuone.
 
Dah! Poleni Chadema ila vita ya upanga humalizwa kwa upanga na vita ya maneno humalizwa kwa maneno,CDM Inakoelekea siko kabisa hatukutarajia Watz.
 
kutoka kwenye kujinywea viroba hadi kujichoma moto? upongezwe mentor wa chadema family #LEMA

Lema wa ajabu kweli anaweza kuchoma moto hata familia yao ili apate sifa ndiyo maana akaweza kulipua kwa bomu mkutano wao.
 
Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa Chadema ajiuzulu mara moja. intelejensia yake imeshindwa kugundua kuna watu wanataka kuchoma moto ofisi.

Mkuu, lakini si amenukuliwa hivi karibuni akisema kuwa hali ni shwari ndani ya chadema na kwamba wamejipanga vilivyo kulinda mali za chama?
 
Kama mashabiki wa ZZK ni aina hii ya kuchoma ofisi ya chadema, basi ni hatari kuliko magaidi duniani.

Zitto hafai kuwa hata monitor, tumejifunza kupitia mashabiki wake.
 
Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa Chadema ajiuzulu mara moja. intelejensia yake imeshindwa kugundua kuna watu wanataka kuchoma moto ofisi.

yeye anapambana na denis msack kwanza wengine baadaye atawarudia.
 
Kama mashabiki wa ZZK ni aina hii ya kuchoma ofisi ya chadema, basi ni hatari kuliko magaidi duniani.

Zitto hafai kuwa hata monitor, tumejifunza kupitia mashabiki wake.
Nani kamwambia kuwa wafuasi wa ZITTO ndo wamechoma moto?
 
Hiyo ofisi imechomwa muda gani? ni usiku au wakati huu?
 
Tuliposema Chadema ni genge la wasaka tonge na wahuni wanaofuata mkumbo hamkuamini. ona sasa.! matukio haya ni mageni mkoani kwetu. hayakuwepo kabla ya Lema.

Ninyi akina nani?
 
Back
Top Bottom