Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Ofisi ya chadema mkoa wa Arusha imechomwa moto hivi sasa juhudi za kuuzima zinaendelea...
picha nitaziweka muda si mrefu...
View attachment 124594
View attachment 124595
View attachment 124596
View attachment 124597
Hapa ndipo walipo ingilia.....

==============
aliyeku mwanachama wa chadema (Mboya) aliefukuzwa ndani ya chama na kuhamia ccm miezi minne iliyopita ambaye kwasasa ni kiongozi ndani ya CCM anashukiwa kuhusika na tukio hili kwasasa anatafutwa na polisi...

Laana hiyo! Damu ya Chacha Wangwe inaitafuna Chadema.
 
Inaeleweka hawa ni ccm hata mtt mdogo anajua, unajua ccm ni kama mwanamke mkorofi na jeuri ambaye, ambaye unatakiwa kwenda nae taratibu mpaka atazoea kuwa hana chake
 
CCM wanazidi kujidanganya yaani kwa Arusha watu ndiyo wanazidi kuchafukwa na hii kijani.
CCM kutoboa Ar ni ngumu sana.
 
Chadema wamechoma ofisi zao wenyewe kutafuta huruma.
 
Tukisema na sisi tuchome mali za ccm watapona?
 
Mwingamba atakuwa anahusika, anaroho mbaya sana huyo jamaa. MM2 na MM3

Mipango yenu ya kijinga watu wa tz wameshaielewa tangu muda,

Bahati mbaya sana mmechelewa na hamna akili ya kutumia mbinu mbadala,

Utakuwa unaujua mpango mzima, tunaomba uwasaidie Police kwa upelelezi.
 
CCM ndiyo wanazidi kujichimbia kaburi, R Chuga watu wanazidi kuchafukwa na MaCCM
 
Ofisi ya chadema mkoa wa Arusha imechomwa moto hivi sasa juhudi za kuuzima zinaendelea...
picha nitaziweka muda si mrefu...
View attachment 124594
View attachment 124595
View attachment 124596
View attachment 124597
Hapa ndipo walipo ingilia.....

==============
aliyeku mwanachama wa chadema (Mboya) aliefukuzwa ndani ya chama na kuhamia ccm miezi minne iliyopita ambaye kwasasa ni kiongozi ndani ya CCM anashukiwa kuhusika na tukio hili kwasasa anatafutwa na polisi...

poleni sana wana chadema Arusha,nini chanzo cha moto huo?
 
Nitoe rai tu kwa wote wanaofanya hizi hujuma,kila kitu kina faida na hasara zake,mnapoamua kuidhalilisha taasisi tunayoimini na sisi waumini tukakaa kimya na nyie kutuona sisi wapumbavu wa mwisho,tunakoelekea uzalendo utatushinda na dhamira ya kuheshimiana tutaiweka pembeni ili twende kama mnavyotaka nyinyi.

Najua kabisa katika matukio yote yanayotokea kuna mkono wa serikali inayooungozwa na maccm,na kwa style ccm inachochoe machafuko kupitia mtandao za zitto kabwe na kama ndivyo mtakavyo tuko tayri kulinda mali za chama na viongozi wetu kwa hali na mali hata kama damu zetu zitamwagika ipo siku wajukuu wetu wataenjoy matunda yake,enough is enough.

Tunasubri tamko la viongozi wetu,kama kwao ni sawa kufanyiwa hizi hujama wao ndiyo watakao sema otherwise kama mbwai naiwe mbwai
 
Hii ni ishara nyingine kuthinitisha kuwa watu wanaofukuzwa katika chama si watu wema. Chadema endelea na ufajio wa chuma kuondoa hayo makapi yote. Hiyo Ofisi itajengwa within one month.
 
Inaungua.

Inaungua wapi jamani em tusipotoshane... taarifa ni hivi imeungua lakini kidogo sana... ukisikia kutokukomaa kisiasa ndo huku hata maCcm wakichoma ofisi tuna malaptop na tuna record na kila kitu makwetu wala hamtuogopeshi.... ufupi ni kwamba zitto na wenzio hatuwataki
 
Hahah chama kwisha.
Wasira alisema watu badala ya kujipanga wakapuuza. Ndio mnategemea tuwape nchi? Lmao. Chadeam kila mtu anajua kuwa haiwezi tena kuongoza nvhi wamejihatibia wenyewe.
Chama kwishaaaa. Tutafute mbadala sasa hivi
 
Back
Top Bottom