piper
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 3,253
- 613
Mkuu, ilishatabiriwa kuwa CHADEMA kitakufa 2013. yametimia mkuu. kufa kwa chama si kama binadamu. ni matukio tu yatakiandama
Mtasubiri sana mkuu, na utabiri huo hautatimia, I can bet on that
Mkuu, ilishatabiriwa kuwa CHADEMA kitakufa 2013. yametimia mkuu. kufa kwa chama si kama binadamu. ni matukio tu yatakiandama
Ana nguvu sio mchezo manake amehujumu chama chake.... Amepanga mikakati na akina mwigulu wakalipua wasio na hatia soweto arusha.... Ameshiriki kwa namna moja au nyingine mauaji ya dr. mvungi.... ...sasa amehamia kuchoma ofisi za chama akishirikiana na green guard
duh huyu lema amefikia kuchoma ofisi zetu aise!
mtapiga kelele lakini mwisho mtalala,propaganda hizi zitafika mwisho CDM bila zito ni imara na inawezekana.Nguvu ya zitto ni kiboko wakuu lazima mbowe amwite zitto amwachie uenyekiti wake ndiye mtu sahihi kwa sasa mengine yote kupoteza mda.
naona nguvu ya Zitto ipo uv-ccm.Nguvu ya zitto ni kiboko wakuu lazima mbowe amwite zitto amwachie uenyekiti wake ndiye mtu sahihi kwa sasa mengine yote kupoteza mda.
Kama Zitto ana nguvu sana, mchukueni mumfanye mwenyekiti wenu.Nguvu ya zitto ni kiboko wakuu lazima mbowe amwite zitto amwachie uenyekiti wake ndiye mtu sahihi kwa sasa mengine yote kupoteza mda.
Tetesi: Vijana waliokamatwa wamemtaja LEMA kuwa ndiye aliyewatuma.
Nguvu ya zitto ni kiboko wakuu lazima mbowe amwite zitto amwachie uenyekiti wake ndiye mtu sahihi kwa sasa mengine yote kupoteza mda.
Ulijuaje!Watanzania sasa tumeamka na wale ambao bado tafadhali amkeni,ukombozi 2015 lazima,hujuma hizi zisituvuruge,ZZK yeye ni nani hata akwamishe harakati zetu za ukombozi? Na kama ni mzalendo wa kweli siyo mwanasiasa njaa,na kama kweli kuna watu wana muunga mkono kwa kuleta fujo na kama kweli ZZK ni mwana mabadiliko wa kweli kwanini asiwatulize wafuasi wake wasio na mtazamo sahihi? Tuweni imara Fujo hizo si za wanachama wa CDM na ZZK siyo mwenzetu ila ni mrafi na mroho wa madaraka tena natamani avuliwe uanachama kabisa! atuachie CDM yetu,mabadiliko 2015 ni lazima.Naamini hujuma haishindi sehemu yoyote ni kama haki ambavyo haipotei japo inaweza kucheleweshwa na wenye hela, unadili na jamhuri kijana pesa si tatizo hata kidogo, kama ni kweli tutaona mengi lakini wananchi kwa jumla wao hawanunuliki
Hujuma zikiendelea CDM inaimalika, ni kama upasuaji huko Meta, Bugando, Mount Meru na Muhimbili, lazima kupasuliwa ili upone, uje na afya njema zaidi..
Nawasilisha
Hakuna cha nguvu ya nani wala nani hizo ni rasharasha tu za mpango mkakati wa kuuwa viongozi wakuu wa cdm; mateja yamenunuliwa kwa buku tanotano kutengeneza mazingira ya kuaminisha umma kwamba cdm kimenuka na wanashughulikiana ili wale wa mabomu ya kichina wapenyezwe kimyakimya na kumaliza kazi.....Nguvu ya zitto ni kiboko wakuu lazima mbowe amwite zitto amwachie uenyekiti wake ndiye mtu sahihi kwa sasa mengine yote kupoteza mda.
Ofisi ya chadema mkoa wa Arusha imechomwa moto hivi sasa juhudi za kuuzima zinaendelea...
picha nitaziweka muda si mrefu...
View attachment 124594
View attachment 124595
View attachment 124596
View attachment 124597
Hapa ndipo walipo ingilia.....
==============
aliyeku mwanachama wa chadema (Mboya) aliefukuzwa ndani ya chama na kuhamia ccm miezi minne iliyopita ambaye kwasasa ni kiongozi ndani ya CCM anashukiwa kuhusika na tukio hili kwasasa anatafutwa na polisi...
===================
Vijana wawili wa CCM( Green Guard) wamesha kamatwa kwa kuhusiswa na tukio hili wakati huo huo kuna vijana wa CCM wamejikusanya kwenye bar ya amazon wakipanga kuaandamana ili kuonyesha kuwa wana muunga mkono Zitto na Mwingamba...