Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

harahana hiyo nahapo bado 2015 mtakapo pata haibu yambafu na chama chenu cha ukabira .mmemfukuza zitto bahada ya kuongea ukweli .kwa husalama wenu hili rahana ya allah hisikupateni mrudisheni zitto raisi mtarajiwa ndio kipenzi cha walala hoi hili hakomboe inchi kwa mafisadi wezenu kama hamtaki jihungeni na cuf.
 
Hapo kazi ipo kweli kweliii! Ss kazi ipo kwenye kumtafuta mchawi nani? Polen sana Chadema.
 
Kadiri CDM wanavyo hujumiwa ndivyo hamasa ya ukombozi inavyozidi. CCM ni wadhalimu, haya yatapita na udhalimu hautashinda kamwe.
 
,..watabomoa majengo yoote lakini kamwe hawawezi kubomoa chadema iliyopo mioyoni mwetu,hata wakipandikiza virusi wenye pembe kama tembo,tutazikata na kumpa mzee tembo...
Sema ipo moyoni mwako unasema mioyoni mwenu nanni? Au na mkeo mkuu make naona umekuwa msemaji wa wote hapa jf.
 
Msihofu makamanda walitaka ila hawajaweza,kuna kijimoto kidogo tu nacho hakikushika,ila CHADEMA ni mpango wa MUngu.
 
Jamani Chadema ndo yamekuwa hayo tena siasa jamani zitatupeleka pabaya
 
Vijana wa lumumba bana..... thread nzima mnaongea ujinga tu.... Ujue mimi ccm mnanishangaza jambo moja tu.... Kwanini mnang'ng'ania zito aendelee kubakia chadema? Kama mnamuona anafaa sana mchukueni awe makamu mwenyekiti badala ya Mangula..... Kwanini kama mna uhakika kuwa sasa chadema inaenda kufa msitulie? Chadema ikifa si ndio itakuwa furaha kwenu???... Acheni ujinga basi.... Mmeshatimiza wajibu wenu nendeni mkachukue buku 7 zenu
Wewe nawe acha kutoka nje ya mada, hapa tunaongelea ofisi kuungua/kuchomwa moto.Period
 
Chadema walijiegemeza kwa shetani kwenye mambo yao njia hiyo mbaya niyo watatoka nayo kama walivyoingia.
 
Poleni sana! Ukiona giza linazidi kuwa nene juwa punde kutapambazuka.Saa ya UKOMBOZI yaja.

umkomboe nani ? sisi tuko huru kama wewe bado mtumwa shauri yako ni ujinga wako
 
harahana hiyo nahapo bado 2015 mtakapo pata haibu yambafu na chama chenu cha ukabira .mmemfukuza zitto bahada ya kuongea ukweli .kwa husalama wenu hili rahana ya allah hisikupateni mrudisheni zitto raisi mtarajiwa ndio kipenzi cha walala hoi hili hakomboe inchi kwa mafisadi wezenu kama hamtaki jihungeni na cuf.

Inabidi uhamiaji wakague asili yako ni wapi maana hata lugha ya taifa inakushinda.

haibu - aibu
ukabira - ukabila
bahada - baada
husalama - usalama
rahana - laana
hisikupateni - isikupateni
hakomboe - akomboe
inchi - nchi
jihungeni - jiungeni
 
aibu hii ccm na masalia wenu mnalo la kujibu 2015 bomu mpaka leo ajulikani aliyelilusha sasa mnaanza kuingia ofisini poor ccm na masalia wenu
 
Wamechoma kwenye siling bod ili moto usonge ila haikuwezekana,ni silingbod kipisi ndo iliyo ungua ni kimoto sio moto
 
Msihofu makamanda walitaka ila hawajaweza,kuna kijimoto kidogo tu nacho hakikushika,ila CHADEMA ni mpango wa MUngu.
 
harahana hiyo nahapo bado 2015 mtakapo pata haibu yambafu na chama chenu cha ukabira .mmemfukuza zitto bahada ya kuongea ukweli .kwa husalama wenu hili rahana ya allah hisikupateni mrudisheni zitto raisi mtarajiwa ndio kipenzi cha walala hoi hili hakomboe inchi kwa mafisadi wezenu kama hamtaki jihungeni na cuf.

Tobaaaaa.... Huyu kilaza shabani hassani hata kuandika tu kiswahili ni matatizo daah.... Kweli ccm mmeamua mnaajiri mpaka vilaza dizaini hii...... Eti rahana ..... Haibu..... Ndio vitu gani hivyo?

Mchukueni nyie huyo zito ili chama chenu kibarikiwe msipate laana wanayoipata chadema!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom