Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
Hahah chama kwisha.
Wasira alisema watu badala ya kujipanga wakapuuza. Ndio mnategemea tuwape nchi? Lmao. Chadeam kila mtu anajua kuwa haiwezi tena kuongoza nvhi wamejihatibia wenyewe.
Chama kwishaaaa. Tutafute mbadala sasa hivi
Mkuu,
Sikujua kama una kichwa cha mende kama wassira...................
CHADEMA itaendelea kupeta na kupeta, msipotoshwe na watu wenye njaa