Asante,wamekosea waliorekodi sauti za huyo mlalamikaji,mlalamikia,katambi na wananchi waliopo hapo.Dharau gani ameonesha hapo, au wewe hujui bwana mifugo na katambi ni yupi na yupi?
Pamoja na mapungufu ya mbunge ktk hilo kusikiliza pande zote yupo sahihi kama mbunge na ameahidi jtatu mamlaka husika zitakwenda site.
Najua mbunge so chaguo la wananchi ndio kosa lake.hats mie siungi upatikanaji wa ubunge wake.