Shinyanga Mjini ni Lissu vs Katambi. Nani ataibuka mbabe?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,994
Inasemekana Mbunge wa Shinyanga Mjini Dr Patrobas Katambi atakuwa na Mikutano na Wapiga kura wake sambamba na mikutano ya Tundu Lisu ya 255 Operesheni Katiba Mpya Okoa Bandari

Hiyo inaitwa Mguu kwa mguu dadeki 😂😂

Ngoja tuone!

Natokea Ufipa st naelekea Mtambani kusikia Waraka mubashara kupita Vipaza Sauti

Jumaa Mubarak 😀
 
Wahuni wa ccm utawajua tu. sasa hii kitu gani?
CCM/serikali itasomba watu kuja kwenye mkutno wa msaliti katambi......
 
Hiyo inaitwa Mguu kwa mguu dadeki

Jumaa Mubarak
ee1d182305a30d7b43bd2911de0a77fc.jpg
 
Wahuni wa ccm utawajua tu. sasa hii kitu gani?
CCM/serikali itasomba watu kuja kwenye mkutno wa msaliti katambi......
Akili za CCM hizi—wameona CHADEMA tuna uzinduzi wa Operesheni ya #Plus255KatibaMpya Shinyanga, na wao wameona wafanya mkutano wa hadhara! Siku hiyo-hiyo, nadhani Katambi akamuulize diamondplatnumz tulichomfanya Mwanza. CHADEMA ni Mpango wa Mungu #ShyStandUp #OkoaBandariZetu
20230825_132413.jpg
20230825_132418.jpg
 
Inasemekana Mbunge wa Shinyanga Mjini Dr Patrobas Katambi atakuwa na Mikutano na Wapiga kura wake sambamba na mikutano ya Tundu Lisu ya 255 Operesheni Katiba Mpya Okoa Bandari

Hiyo inaitwa Mguu kwa mguu dadeki

Ngoja tuone!

Natokea Ufipa st naelekea Mtambani kusikia Waraka mubashara kupita Vipaza Sauti

Jumaa Mubarak

Huyu Patrobas Katambi unamuita Dr aliupata lini?
 
Inasemekana Mbunge wa Shinyanga Mjini Dr Patrobas Katambi atakuwa na Mikutano na Wapiga kura wake sambamba na mikutano ya Tundu Lisu ya 255 Operesheni Katiba Mpya Okoa Bandari

Hiyo inaitwa Mguu kwa mguu dadeki 😂😂

Ngoja tuone!

Natokea Ufipa st naelekea Mtambani kusikia Waraka mubashara kupita Vipaza Sauti

Jumaa Mubarak 😀
Wanasiasa wa Afrika wote wasanii tu sio CCM wala CHADEMA. Wote wachumia matumbo yao tu.
 
Eti naye anaratibu mashindano ya baiskeli leo hii hapa uwanja wa Wananchi (siyo CCM) Kambarage pamoja na mafunzo ya ujasiliamali kwa Bodaboda wote wa hapa Manispaa. Huu no upumbavu! 2025 katambi harudi bungeni!
Harusi huyo.Kwanza 2020 alibebwa na Magufuli. 2025 hakutakuwa na mbeleko.
 
Back
Top Bottom