Odemba hayuko analytical kama Khalifa wa The Chanzo

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,662
Reaction score
10,116
Mwandishi makini mwenye uwezo wa kudadavua mambo kama walivyokuwa akina Shaka Sali huwezi kuuliza maswali ya kipuuzi kama aliyomuuliza Mwenezi wa CCM iliyokataliwa na wananchi.

Kwa sasa mwandishi Khalifa naweza kusema ndio mwandishi very intelligent and analytical.

Mfano huwezi kumuuliza mwenezi wa CCM juu ya katiba mpya alafu ukauliza kipuuzi namna ile. Wakati unajua wazi hii katiba ya sasa haikutingwa na wananchi.
 
sisi ndo tunampenda Odemba sasa
 
bado ni waandishi vijana,
na ni vizuri kuwatia moyo na nguvu badala ya kuwabeza na kuwafananisha na wazee kama akina shaka sali ambao wakiwa vijana walikua kama akina odemba tu, ila walipokua wazee walionekana wa maana sana 🐒
 
Mwandishi makini mwenye uwezo wa kudadavua mambo kama walivyokuwa akina Shaka Sali huwezi kuuliza maswali ya kipuuzi kama aliyomuuliza Mwenezi wa CCM iliyokataliwa na wananchi.

Kwa sasa mwandishi Khalifa naweza kusema ndio mwandishi very intelligent and analytical.

Mfano huwezi kumuuliza mwenezi wa CCM juu ya katiba mpya alafu ukauliza kipuuzi namna ile. Wakati unajua wazi hii katiba ya sasa haikutingwa na wananchi.
Ulitaka aulize maswali yapi?..
Odemba ni mwandishi overrated sana, huwa anauliza maswali kwa mbwembwe tu ila hawezi kufanya critique
Ulitaka aulizeje hayo maswali?..
 
Ulitaka aulize maswali yapi?..

Ulitaka aulizeje hayo maswali?..
Ameshindwa kumuonyesha Kihongosi jinsi alivyo akili ndogo kwa hoja zake za kipuuzi kwamba madaraka ya Rais yasipunguzwe kwa sababu rais ni kama baba wa familia, kauli ya Rais inatakiwa kuwa ya mwisho na hakuna nchi uliyowahi kupunguza madaraka ya Rais.

Odemba ni bora ajikite kushona suti za Wasabato tu, sijawahi kumuona kama ni mwandishi smart.
 
Ili kufikia viwango vya kina Tucker Carlson au Piers Morgan lazima na wewe muandishi uwe msomaji sana na mfuatiliaji sana wa mambo.

Anyway kwa mazingira ya hovyo ya hapa Danganyika waandishi aina ya Carlson wataishia kutekwa na kupotezwa tu.
 
Huyu Odemba sio poa, wamoto sana kiasi kwamba kuna mccm mmoja alishawahi chimba hakutokea kwenye kipindi. Hiyo siku nilimuonea huruma sana mshkaji alimwaga chozi live. Kwasasa muacheni tu atambe, alipofika hajafika kwa bahati mbaya, safari yake umekuwa na changamoto nyingi lakini ujasiri ndio silaha yake kubwa.

Kwenye hii nchi ambayo asilimia 90 ya waandishi wanajisogeza mbogamboga itakuwa ngumu kuniaminisha Odemba wa hovyo!
 
Mwandishi makini mwenye uwezo wa kudadavua mambo kama walivyokuwa akina Shaka Sali huwezi kuuliza maswali ya kipuuzi kama aliyomuuliza Mwenezi wa CCM iliyokataliwa na wananchi.

Kwa sasa mwandishi Khalifa naweza kusema ndio mwandishi very intelligent and analytical.

Mfano huwezi kumuuliza mwenezi wa CCM juu ya katiba mpya alafu ukauliza kipuuzi namna ile. Wakati unajua wazi hii katiba ya sasa haikutingwa na wananchi.
Ni kumtia moyo na kumfundisha njia nzuri zaidi za kufanya kazi yake iwe bora zaidi.
Ana uthubutu ila atambue anahitaji kujifunza zaidi ili aongeze uelewa wake.
 
Odemba ni mwandishi overrated sana, huwa anauliza maswali kwa mbwembwe tu ila hawezi kufanya critique
muoga muoga sana, interview na bashiru aikua kapoa sana.

Hivi mimi ni kwa vile sijui taratibu za uandishi au nini maana kuna swali alimuuliza kama Kihongosi anajua kuwa nafasi aliyonayo miaka kadhaa iliyopita alikuwepo Polepole kwenye nafasi hiyo?
yewezekana alikua anataka kumwambia amepwaya
 
Huyu Odemba sio poa, wamoto sana kiasi kwamba kuna mccm mmoja alishawahi chimba hakutokea kwenye kipindi. Hiyo siku nilimuonea huruma sana mshkaji alimwaga chozi live. Kwasasa muacheni tu atambe, alipofika hajafika kwa bahati mbaya, safari yake umekuwa na changamoto nyingi lakini ujasiri ndio silaha yake kubwa.

Kwenye hii nchi ambayo asilimia 90 ya waandishi wanajisogeza mbogamboga itakuwa ngumu kuniaminisha Odemba wa hovyo!
sio nchimbi kweli? mdahalo wa makatibu wakuu 😁
 
Huyu Odemba sio poa, wamoto sana kiasi kwamba kuna mccm mmoja alishawahi chimba hakutokea kwenye kipindi. Hiyo siku nilimuonea huruma sana mshkaji alimwaga chozi live. Kwasasa muacheni tu atambe, alipofika hajafika kwa bahati mbaya, safari yake umekuwa na changamoto nyingi lakini ujasiri ndio silaha yake kubwa.

Kwenye hii nchi ambayo asilimia 90 ya waandishi wanajisogeza mbogamboga itakuwa ngumu kuniaminisha Odemba wa hovyo!
Ni kweli, hayuko analytical lakini anajitahidi. Anahitaji kuwa ni mtu anayesoma sana na kufuatilia vitu kwa undani
 
Ni mwandishi wa Level ya kati.

Anajitahidi kuipenda kazi yake. Anaifanya kwa bidii.
Lakini ni kweli hana maswali magumu yenye Akili kubwa.

Kwa vile anapenda kazi yake. Atazidi kuwa bora
Kumbe tumeling'amua wengi hilo! Hata mimi nimeona akiuliza maswali mepesi na kukubali majibu mepesi sana. Mf issue ya Polepole ambayo CCM hata tamko la kulaani hawakuwahi kutoa, unakubalije majibu mepesi ya vyombo kuchunguza. Hata ndugu za Polepole wamekuwa na malalamiko sana hatujawai kuona sambamba na CCM kama ilivyo Chadema na wanachama wao
 
Back
Top Bottom