Odemba hayuko analytical kama Khalifa wa The Chanzo

Odemba hayuko analytical kama Khalifa wa The Chanzo

Mwandishi makini mwenye uwezo wa kudadavua mambo kama walivyokuwa akina Shaka Sali huwezi kuuliza maswali ya kipuuzi kama aliyomuuliza Mwenezi wa CCM iliyokataliwa na wananchi.

Kwa sasa mwandishi Khalifa naweza kusema ndio mwandishi very intelligent and analytical.

Mfano huwezi kumuuliza mwenezi wa CCM juu ya katiba mpya alafu ukauliza kipuuzi namna ile. Wakati unajua wazi hii katiba ya sasa haikutingwa na wananchi.
Exactly, hata mimi naona kama Odemba bado hajakomaa kwenye uulizaji wa maswali technical, sometimes anauliza leading questions, juzi nimemshangaa sana kuuliza maswali ya kitoto kabisa!
 
Back
Top Bottom