jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,381
- 25,476
Nchi inahitaji mapinduzi...Mapinduzi ya kwanza ambayo yame bear hata jina la chama ni hayo ya Zanzibar!
Na huo ndio unafiki wa Mwalimu uliomsababisha asiuwawe kama kina Nkrumah na Lumumba...Alikubaliana na ukweli kuwa Sultan atarudi hapo Zenji na unajuwa tena mvutano wa kidini kati ya mwarabu na mzungu especially miaka ya 60 ambapo hata hapa USA makanisa ya kiinjili kama assemblies of God yalikuwa yalipamba moto huku watu kama kina Billy Graham wakiandaa mikutano mikubwa Afrika ambayo waliita CRUSADES!
CRUSADES ni neno lililokuwa likitumika kama vile hawa mujahidina wa waislam ambao pia walifanya mauwaji miaka ya nyuma wakati wa vita ya wakristo na waislam.
Lakini dunia imebadilika...NI LAZIMA BINADAMU WOTE WAISHI KWA UMOJA NA KUHESHIMIANA NA DHULMA IWE MWIKO!
Sasa tunataka mapinduzi mapya...Ya kimaendeleo.
Hivyo kwa mtizamo wangu...Marais wote hao waliopita bado walikuwa wakifanya kazi kwenye mazingira magumu na unafiki wao ndio unaendelea kuwaponya kwa kujidai ni washirika wa west na huku chini chini wakiwa na masoshalisti.
Na sasa hata JK si ni yale yale ya mwalimu wanaendeleza karata?
Sasa naona mwisho umefika wa kuendelea kuitumia karata ya zenji kinafki kwa kigezo cha mapinduzi ya kutomtaka mwarabu na wakati mwarabu mwenyewe yuko hadi chumbani.
Hatuwezi kuendelea kuyalinda mapinduzi yaliyopitwa na wakati...Ni muda wa kufanya mapinduzi ya kuzilinda rsilimali zetu amabazo ziko kama hazina mwenyewe mara baada ya kuingia kwenye globalization na viongozi hao wote watalaumiwa kwa kutowatayarisha wananchi na kuwapa elimu.
Kama kweli wangekuwa wazalendo...Wangehakikisha hata wanapanda dala dala ili watoto waende shule...Ndio uzalendo huo...Na si kujenga tabaka la mamluki wa kikoloni kwa kuendelea kusomeshana na kurithishana madaraka na huku wananchi wenye mali wakifa!
Kuendesha mashangingi ya hali ya juu yenye ghrama za utunzanji ambazo labda ni sawa na gharama za kuanzisha shule ama hospitali!
Utaratibu wa kuwahudumia mawaziri na kuwajazia mibia na minyama ya groceries shoppings kwa gharama za wananchi wasiojiweza hata kwa mlo mmoja!
Kama kweli tunataka kulikomboa Taifa...Basi tuwajengee viongozi mazingira ya kuwatumikia wananchi na si wananchi kuwatumikia viongozi...Serikali kuwatumikia wananchi na si the other way round.
Kama viongozi wanapita huku na huko na kusema sisi ni masikini...Basi waonyeshe na mfano kuwa sisi ni kweli masikini!
Wananchi wakiandamana kwenda kwenye hayo mahekalu yenu nyie viogogo na kuomba chumvi,sabuni,mafuta na chakula mtawaambia nini?
Maana mkibisha si na wao watagoma kulipa kodi?
WALIPE KODI KWA KIPI MNACHOWAFANYIA NA WAKATI NCHI MNAUZA?
TIME FOR CHANGE IS NOW!