Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

Nyerere: The Man, The Myth and the Legend



Mwalimu J.K Nyerere Press Conference

[media]http://uk.youtube.com/watch?v=XvVtJGCw8T4&feature=related[/media]


Sikiliza na ujifunze kutoka kwa Rais wa Kwanza.

 


Sehemu ya pili

[media]http://uk.youtube.com/watch?v=BbyuNmCtOD8&feature=related[/media]

 

Baba wa Taifa, Julius K. Nyerere anatukumbusha mambo mengi, ikiwa pamoja na kujenga jamii ya watu walio huru na sawa. Mungu amlaze mahali pema.



 



Julius Nyerere, lifelong learning and informal education
One of Africa’s most respected figures, Julius Nyerere (1922 – 1999) was a politician of principle and intelligence. Known as Mwalimu or teacher he had a vision of education and social action that was rich with possibility.

Julius Kambarage Nyerere was born on April 13, 1922 in Butiama, on the eastern shore of lake Victoria in north west Tanganyika. His father was the chief of the small Zanaki tribe. He was 12 before he started school (he had to walk 26 miles to Musoma to do so). Later, he transferred for his secondary education to the Tabora Government Secondary School. His intelligence was quickly recognized by the Roman Catholic fathers who taught him. He went on, with their help, to train as a teacher at Makerere University in Kampala (Uganda). On gaining his Certificate, he taught for three years and then went on a government scholarship to study history and political economy for his Master of Arts at the University of Edinburgh (he was the first Tanzanian to study at a British university and only the second to gain a university degree outside Africa. In Edinburgh, partly through his encounter with Fabian thinking, Nyerere began to develop his particular vision of connecting socialism with African communal living.

On his return to Tanganyika, Nyerere was forced by the colonial authorities to make a choice between his political activities and his teaching. He was reported as saying that he was a schoolmaster by choice and a politician by accident. Working to bring a number of different nationalist factions into one grouping he achieved this in 1954 with the formation of TANU (the Tanganyika African National Union). He became President of the Union (a post he held until 1977), entered the Legislative Council in 1958 and became chief minister in 1960. A year later Tanganyika was granted internal self-government and Nyerere became premier. Full independence came in December 1961 and he was elected President in 1962.

Nyerere’s integrity, ability as a political orator and organizer, and readiness to work with different groupings was a significant factor in independence being achieved without bloodshed. In this he was helped by the co-operative attitude of the last British governor – Sir Richard Turnbull. In 1964, following a coup in Zanzibar (and an attempted coup in Tanganyika itself) Nyerere negotiated with the new leaders in Zanzibar and agreed to absorb them into the union government. The result was the creation of the Republic of Tanzania.


 

After World War II, Tanganyika became a Trust Territory under the United Nations with Britain expected to conduct the country towards independence.

Self-government was now the major aim and in 1953, Julius 'Mwalimu' (The Teacher) Nyerere was elected President of the Tanganyika African Association which in 1954 was renamed the Tanganyika African National Union (TANU) with its rallying motto 'Uhuru na Umoja' (Freedom and Unity).

In 1958 TANU largely won the Legislative Council elections and Richard Turnbull, the last Governor, integrated the Party into the mainstream of political life. In 1960 TANU formed the first local Government and Nyerere was appointed as Tanganyika's first Prime Minister.


 


[media]http://www.ntz.info/picturesbig/b00766-p04544-d01485.jpg[/media]


Uhuru Uhuru
 

[media]http://www.youtube.com/watch?v=YN9siJDS-RY[/media]

Kaburi la Nyerere

 
Ili iweje na ina manufaa gani kwa nji. Ni jambo la busara iwapo nji itaitwa Nyerere.
 
Tukiwa sote ni viumbe na nyerere alikuwa kiumbe haina mana kama kila alilolifanya nyerer kuwa ndiozuri na kwa maslahi ya nchi na watu wake hapanimekuwa na swali moja ambalo mpaka leo ukiliuliza hupati majibu kuna wakati mwalimu alishauriwa kuweka TV akaema yeye hakubaliani na hilo na sababu zake zilikuwa kwamba watanzania wakiona mambo ya nje watafuata na ndipo marehemu karume akasema yeye ataweka kwake kule zanzibar na ndio TVz ikanzishwa 1970 visiwani sasa hapatujiulize mwalimu kusema vile ilikuwa sahihi ?
 
HIVI KWANINI HAWATAKI KUHESHIMU MATAKWA YA MWALIMU?
ALIPOKUWA HAI HAKUTAKA KUTUKUZWA LAKINI LEO HII KILA KITU WANAKIPA JINA LA NYERERE

NA SASA HIVI MPAKA MIJISANAMU YA MWALIMU INAJENGWA KAMA UYOGA JAMANI MAMBO HAYA VIPI?

d1.jpg

Duh..! Kumbe Nyerere hakupenda kusifiwa eeeh...! Nilikuwa silijui hili...! ivi ile slogan ya ...zidumu Fikra sahihi za mwenyekiti wa...! Hivi aliipinga vile au aliona ni sawa tu...? Mmmh hapa pana utata...! Labda haikuwa ni moja ya sifa ndo maana hakuikemea wala kuipinga. Na zile nyimbo za mapokezi yake zilizokuwa zinaimbwa na wanafunzi a.k.a Chipukizi, waliokatishwa masomo ili kwenda kumuimbia..? Nakumbuka baadhi ya nyimbo maarufu wa kumsifia ziliimbwa hivi...

...Ukiona kundi la siasa Nyerere yupooo...!

Vipi ule wimbo wa:
''Tazama Ramani utaona nchi nzuri yenye mito na mabonde mengi ya nafaka... Majira yetu haya yangekuwaje sasa utumwa wa nchi Nyerere hameukomeshaaaa...''

Bila kusahau bendi mbali mbali za muziki zilikuwa haziishi kumsifia kila anapokwenda kuutubia...!

Nakumbuka mwimbo mmoja kutoka bendi fulani jina nimesahau... beti chache zinasema ivi...
M/kiti Mwalimu Nyerere babaaaa imarisha umoja wa Afrikaaa... Uhuru wetu hauwezi kuwa safi hata Afrika yote imekuwa huru Mwalimu eeeh...!
May be hazikuwa sifa... Lakini Habari ndio hiyo...!
 
tatizo nchi imegeuka juu chini
na viongozi wake wanatapatapa kila kona
hawajiamini na ndio maana imefika muda
sasa wanatumia jina la NYERERE kujilinda
mimi ni msomaji mzuri wa vitabu vya NYERERE
nina uhakika kabisa kuwa NYERERE alikuwa hapendi
misifa na hili liko wazi hata ukifuatilia maisha yake

NYERERE alilelea watoto wake maisha ya mtanzania wa kawaida
kabisa yaani yale maisha ya typical MBANGAIZAJI.
haya mengine ya siasa za zidumu fikira za mwenyekiti, ni kweli
zilikuwepo, lakini tukumbuke kuwa ukisoma historia vizuri kwenye
nchi yoyote the proces of NATIONAL BUILIDING ilikuwa ni ngumu
na ilihitaji ubabe kidogo hasa hasa kipindi kile cha IMMEDIATE AFTER
INDEPENDENCE.....ila nihitimishe kwa kusema kuwa itafika siku sasa
mwekezaji ataomba kuita kiwanda chake jina la NYERERE au atalipa
shamba lake la kulima JATROPHA(mibono kaburi) huko Rufiji, Kisarawe au
kwingineko jina la MWALIMU NYERERE....

SI NDIO TUNAKOELEKEA JAMANI AU MMESAHAU KUWA SERIKALI YETU IMEMKOPESHA
MWEKEZAJI WA TRL PESA ZA MISHAHARA
teh! teh! teh! job true true (nacheka kwa huzuni)
 
Nimeonelea niwarahisishie kazi na kufungua hii thread maalum ili tuzungumzie Ubaya wa Nyerere na Ukatili wake!

Kwa kuwa siku zote nimekuwa namfagilia Nyerere pamoja na mapungufu yake, safari hii nitawasaidia mpate ukumbi maalum kuyatoa mliyonayo moyoni ambayo hamuyapendi kuhusu Nyerere.

Nayajua mafupi ambayo nimewahi kuyaona na kubainisha hadharani katika hoja mbali mbali na nitayaweka hapa kama kianzio na kuwapa ukumbi mje mtupe Dataz zaidi ili Ukweli mwingine tusioujua uje machoni mwetu.
  • Nyerere alituletea Umasikini kwa Ujamaa wake
  • Nyerere alizembea maisha ya watu waliokufa kwa kuburuzwa kutokana an sera ya vijiji vya ujamaa
  • Nyerere aliweka watu kizuizini bila makosa
  • Nyerere alikuwa haambiliki
  • Nyerere alikuwa anachukia Waislamu na usilamu
  • Nyerere kwa aibu alienda na kufia Ulaya na si hospitali za Tanzania
  • Nyerere alikuwa mkabila
  • Nyerere alikuwa na upendeleo
Nawaombeni ongezeeni mengine basi ili tuendelee kujua mabaya ya Rais wetu wa Kwanza!
 
Nimeonelea niwarahisishie kazi na kufungua hii thread maalum ili tuzungumzie Ubaya wa Nyerere na Ukatili wake!

Kwa kuwa siku zote nimekuwa namfagilia Nyerere pamoja na mapungufu yake, safari hii nitawasaidia mpate ukumbi maalum kuyatoa mliyonayo moyoni ambayo hamuyapendi kuhusu Nyerere.

Nayajua mafupi ambayo nimewahi kuyaona na kubainisha hadharani katika hoja mbali mbali na nitayaweka hapa kama kianzio na kuwapa ukumbi mje mtupe Dataz zaidi ili Ukweli mwingine tusioujua uje machoni mwetu.
  • Nyerere alituletea Umasikini kwa Ujamaa wake
  • Nyerere alizembea maisha ya watu waliokufa kwa kuburuzwa kutokana an sera ya vijiji vya ujamaa
  • Nyerere aliweka watu kizuizini bila makosa
  • Nyerere alikuwa haambiliki
  • Nyerere alikuwa anachukia Waislamu na usilamu
  • Nyerere kwa aibu alienda na kufia Ulaya na si hospitali za Tanzania
  • Nyerere alikuwa mkabila
  • Nyerere alikuwa na upendeleo
Nawaombeni ongezeeni mengine basi ili tuendelee kujua mabaya ya Rais wetu wa Kwanza!

Mabaya ongezea mwenyewe bwana hii tabia ya kuwaongelea MAREHEMU umejifunzia jando gani mwenzetu? alafu unatioa in point form justification iko wapi? NAJUA WEWE NI ADMIN UTAFUTA UJUMBE HUU
 
Back
Top Bottom