Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

Bin Maryam: Thanks very much for the concern!

Ninajua Mtoto aliyemsomeshwa nyumbani.."Home school" mpaka darasa la sita. Just simple matheatics and languages! .. Ilikuwa ni kelele na kila mtu akisema that is not the procedure! alipewa Mitihani wa kupanua UTU,UBINADAMU,KUTOKUWAMBINAFSI, HEKIMA, UCHESHI,MAADILI na thamani nyingine kama hizo. Masomo mengine alikuwa ADEVELOPE INTEREST MWENYEWE kwenye computer na kwenye nature.

Alipelekwa darasa la 6 na 7 ...tu! ili kupata links tu! Na shuleni condition zilikuwa asisomeshwe kwa pressuere na kuwaforced any materials on his head kwani haikuwa muhimu darasani anakuwa wangapi! kilichotakiwa ni uwezo wake wa kujenga Creativity na JOY ya kusoma na kugundua mwenyewe anachoona ni sahihi. AND teachers just be there for him.... Now is a great man!

Utaona alikuwa anakwepeshwa swala zima la kujenga IQ na kuiabudu.

Personaly I completely regards it as a "Myth" mtu anaweza kuwa mkomavu na kumanage ustawi sahihi wa maisha bila kupitia normal programing za shule kama zinavyofahamika kwa wengi. Swala la home schooling ni very common sehemu nyingi sasahivi. Yote hii ni kuondoa myth ya IQ... kuruhusu natural growth au tuseme "EI" au shule nyingine wanaita "EQ" amabyo ni ukomavu wa kiUTU katika ustawi wa jamii!

NI kweli na ndio maana jana nilivyona wenzangu wametumia IQ na Ku_capitalise on it! Maramoja nikafanya adjustment. Its true it is very sweeping..kujaribu kuelezea what is an EI vs IQ kwenye charting bord! but that is what we have at the moment...and we shall try in our best to use it!

Ni kweli kuwa Ni Zamani sana IQ ilitumika kuonyesha uhodari fulani wa mtu kwenye jamii, ndio maana mimi sikushughulikia kabisa kujua ya JKN ni ngapi...Au Eistean, Galileo, Jesus..etc walikuwa na Ngapi kwani to me its invalid. Utaona hoja ilivyo nzito kwenye sites nilizokupa. Utaona Ni University ngapi zinafundisha the whole thing "WHY IE and not IQ.." au why we should we combine them...for any evaluation of person.. National or any System for that matter?

Naamini umefuatilia kidogo na umeona....!

Kuna mifano mingine hatuwezi kuitumia hapa..kama was JESUS, Benjamin mkapa,EL and Galeleo an EI? Unaona hatujali wana IQ kiasi gani. Wachambuzi wa hivi viwango Hawajali kuwa Nyerere alikuw ana IQ ya ngapi. Kuna bwana anafanya Phd..ya nini? Was JK Nyerere an EI? Utaona hizo links za kiswahili nilizokupa..ana task ya kuanalyse If Tanzania as a Nation is an EI na wala sio kuwa TZ is an IQ!!! alinganishe na majirani zetu etc ...Utaona amepitia alama za kitaifa/symbols/ Nyimbo etc..kwani ukizifanyia zile nyimbo uchunguzi wa kina alafu ukalinganisha nyimbo za vijana wengi wa sasa pamoa na kuwa wana IQ nzuri sana utaona kuwa EI zao ziko chini.Kwa nini kujihangaisha kote huku? ALL THIS IS BECAUSE IE/EQ NI QUATIFIBLE!!

Ndio maana hata nchi itumie mtindo gani wa kujenga uchumi..ujamaa/kijtegemea/kibepari/kikibaki/any .. bila viogozi kuwa "EI" kiasi cha kutosha...matatzo makubwa yatafuatia tu!!Utaona kunakundikubwa la wachangangiaji wengi hap JF wao in simple terms wasema Rules of law/ Utawala bora/ maadili na miko ya uogozi/..Lakini we need all this in a particular formula.

I beliave JKN was an EI and not IQ. How about BEN Mkapa and EL? sijui!!!

anyway nimalizie kwa kuseama..EI au EQ ni terms mpya tu ambazo zinatumika ku_organise scietificaly the whole concept ya UTU/MAADILI MEMA/UBINADAMU/ and the likes ili kuondoa Ambiguity kwenye mawasiliano.

Na kwa kuangalia pattern ya vitu alivyopitia Nyerere, kuna ukweli kuwa alikuwa na IQ ya kuzidi wastani. Lakini sifa hiyo anaweza kupewa mtu yoyote anayefundisha vyuo, mganga hospitalini, konda wa daladala. Statistically kati ya watu 100, wawili mpaka watano watakuwa na Higher IQ. Hivyo sio big deal. Lakini ili iwe na manufaa ni lazima iwe refined. Na hapo watu wanaanza kuangalia dimension zingine.

Uwezo na taalamu wa JKN ulikuwa mkubwa lakini uwezo na utaalamu huo ulikuwa personal na sio wa kuleta maendeleo ya taifa. Maendeleo ya taifa ni dynamic system (muundo wenye kubadilika) wenye kutegemea variables (michango) nyingi. Na mchango wa rais ni mdogo sana ingawaje kwa mawazo ya watanzania na wanaotuongoza wanaona ni mkubwa sana.

Kwa mfano rais anaweza kuwa na nia nzuri ya kusomesha watu. Na hili watu wasome anawalazimisha waende kwenye vijiji vya ujamaa walime mashamba na mapato ya shamba yatumike kujenga shule na zahanati. Watu wanapofika kwenye vijiji vya ujamaa mvua zinakataa kunyesha kwa miaka mitatu, na matokeo yake watu wanakata tamaa ya kufanya kazi pamoja. Na shule wanashindwa kujenga na maendeleo yao yanarudi nyuma.

Katika mfano huu: mvua ni mchango wa maendeleo, mawazo ya rais ni mchango, juhudi za wananchi ni mchango wa maendeleo, rutuba ya mashamba ni mchango wa maendeleo. Na jinsi vitu vinavyotoa michango wa maendeleo vinavyozidi kuongezeka katika mradi na ndio risk za kushindwa kwa mradi huo zinavyoongezeka. Na kwa mfano, ukosefu wa mvua hakumfanyi mwananchi kuwa na IQ ndogo. Kwa wenzetu wenye kupenda maendeleo, lawama anapewa aliyeanzisha au kusimamia mradi. Na lawama hizo sio za kukosoa IQ yake bali kushindwa ku-calculate risks.
 
Bin Maryam,
Nadhani shida kubwa hapa ni kumpa/kutompa sifa Nyerere anazostahili... lakini haya maswala ya kusema ukubwa wa kabila kama Wahaya ama Wachagga hawawezi kujiamulia mambo ati kwa sababu ya percentage yao ktk taifa zima nafikiri huu sii mfano tosha wa kuthibisha kutokuwepo kwa uwezekano huo kama sii mchezo alocheza Nyerere. Mjomba kusema kweli ingewezekana kabisa Mchagga akachukua nchi hata kama hesabu ya wananchi wake ni ndogo sana kuliko makabila mengine kwani kitu muhimu ni uwezo wao kama vile taifa la Israel.

Mwanzo wa hoja yako nilifikiria labda ulikuwa ukisema kuwa ukubwa wa kabila sio sababu kwa maana ya kuwa - kuna vipengele vingine muhimu zaidi kabla ya hesabu ya watu, na muhimu zaidi ikiwa ni ELIMU na EXPOSURE..
Historia ya nchi nyingi duniani imetuonyesha kuwa makabila yenye wasomi wengi na wale wenye mwamko civilization ktk definition ya mzungu kila mara yamekuwa yakiendesha nchi nzima hata iwe kwa mabavu. Elimu na exposure inakuwa ni nyenzo bora na muhimu za kutawala hasa pale siasa (Uongo unaoaminika) ndio unatumika zaidi kuvta washabiki ama allies.
Mfano:- Tukianza toka Utumwa hadi na wakoloni hawa walikuwa wangapi ktk percentage ya nchi zetu?.. ndogo kabisa, hawakuwa na idadi kubwa, tazama Apartheid huko South hadi Watutsi, Wayoruba huko Nigeria na kadhalika. Leo hii dunia nzima inatawaliwa na watu wachache as a fact maskini ni wengi kwa aslimia 80 dhidi ya matajiri 20 lakini we all listen to those Mother f....'cause hawa jamaa wana access ya vitu hivyo mbele yetu wote.
Kwa hiyo bob ingewezekana kabisa kama sio Mwalimu kuwa na vision ya ajabu ajabu ambayo ilifanya kazi na hadi leo wengi wetu hatujapata kuelewa.
Alichoweza kufanya Nyerere ni kuondoa Ukubwa wa makabila hayo yenye elimu na exposure zaidi kujikusanya pamoja ama kuwa nje pekee...akatumia mbinu kama ya Muingereza (devide and rule) kuwatawanya hawa wasomi wa makabila mikoani wasipate nafasi kabisa kujikusanya na kuwa kitu kimoja.. Wachagga, Wanyakyusa na Wahaya wasomi walikuwa kila kona tena makwao walibakia wachache zaidi. Na huko mikoani wakajichanganya na watu wa makabila, Machief wao wakapewa Ubalozi nje ama nafasi ndogo ndani ya serikali ili kuwaziba pumzi za uchief wao. Kifupi kila kona Tanzania kulikuwa na wananchi waajiriwa wa serikali toka makabila tofauti kabisa hata kwetu Ukerewe tulikuwa na waajiriwa toka kusini, mashariki na magharibi wasozungumza Kikerewe hata neno moja..Kama unakumbuka vizuri ajira zote nchi zilikuwa zikipangwa na serikali, huwezi mtu kuchagua wilaya ama mkoa unaotaka kwenda fanya unless serikali imekubaliana na ombi lako tena mara nyingi ilikuwa ktk transfer ya kizazi baada ya kufanya kazi wizara ama SU ambako umejenga urafiki na viongozi wake.
Hivyo basi hii inawezekana kabisa kuwa ilikuwa mbinu chafu kwa Mchagga, Mnyakyusa ama Mhaya lakini it worked kuweza kuondoa Ukabila ambao hujengwa kutokana na watu na ardhi kuwa identified ktk makundi makundi ya kikabila. Nafikiri tumpe hongera marehemu pale paliposhindikana na nchi kama Kenya ama Uganda ambao wamejaribu sana kuondoa Ukabila lakini kilichowashinda wao ni mbinu ya kutenganisha watu chini ya mfumo wa kibepari ambao huwezi kumlazimisha mtu kufanya kazi asikotaka...then, yaani baada ya Uhuru nchi za kiafrika zilihitaji sana mkakati huo kama wa wa Nyerere na waliopuuza ndio haya tunayaona leo.
Mwisho, kusema kweli nachoona ktk mada hii ni kwamba watu wengi tunazungumzia mahudhurio ya waumini kanisani kum judge Nyerere hali ukitazama tu ni wangapi wanavaa mikufu ya msalaba ( hizo T- shirt na kofia za CCM) utasema mzee MJK kweli alifanya kazi kubwa maanake hadi UK London town watu wanapiga magwanda ya CCM kwa fahari zao... Usifanye mchezo na kichwa kile mkuu..Waumini wengi tu ktk matendo yao ila basi tu bahati mbaya wameingia hawa wakristu toka Nigeria kina Nkapa na Karamagi wakijaribu kuibadilisha biblia ya TANU.
Haya mimi nakaa pembeni maanake nampenda sana marehemu nisije zua mengine yasiyokuwa na kipimo.
 
Bin Maryam, hivi wewe huoni mchango wowote wa Nyerere katika ujenzi wa Taifa tunalolijua kama Tanzania na utambulisho wetu kama Watanzania?

NIkubaliane na wewe kuwa Nyerere hakucalculate risk, ni kiongozi gani aliye calculate risk precisely and things turned out to be exactly how he wanted? Mababa wa Marekani walipiga hesabu zao vizuri wakaja na Azimio la Uhuru na baadaye Katiba yao. Je Marekani ilikuwa nchi yenye watu sawa na haki sawa kwa wote? La hasha!

Unapokaa na kuangalia Nyerere kwa mwanga wa "angefanya hivi au vile" hutendei haki historia na unakana ukweli halisi. Nitakusaidia kwenye hili.

a. Wakati tunapata Uhuru kulikuwa na madaktari wangapi, wahandisi wangapi, wanasheria wangapi na wahasibu wangapi?

b. Je tulipopata uhuru tulikuwa na uwezo wa kusimamia mambo yote kitaalamu kama Taifa lililokuwa linawasomi wake?

c. Chini ya miaka mia moja kabla ya Uhuru baadhi ya Makabila ya Tanganyika yalikuwa yamepigana wenyewe kwa wenyewe na ni vita vya "Maji Maji" kwa kiasi kikubwa vilianza kutuunganisha . Lakini kwanini hatukuendeleza uhasama huo baada ya kushindwa vile vita?

d. Nyerere alipozunguka wakati ule wa kudai Uhuru na kujenga hoja UM kuwa tuko tayari, kwanini watu walimuamini yeye na si wengine? Kwanini wazee wengine waliokuwa watu wa pwani zaidi na wamechakaramuka zaidi wamkubali mtu kimbau mbau toka Mara? Aidha alikuwa na mvuto wa aina fulani au alikuwa na uwezo fulani na wakaamua kuweka matumaini yao kwake.

HIli ni sawasawa na watu wa Afrika ya KUsini walivyomtumia Mandela kama alama ya kupinga kwao ubaguzi. Alipokuja kuwa Rais Mandela aliondoa matatizo yote ya Afrika ya Kusini? Je aliweza kuleta maendeleo kwa watu wote au kuna watu leo hii AFrika ya KUsini ambao wanatamani wangekuwa chini ya utawala wa makaburu? Je tunaweza kusema Mandela alikuwa failure katika Afrika Kusini kwa sababu baadhi ya mambo aliyoyatamani kuwa hayakuwa?

Nyerere alikuwa mwanadamu, na kama unavyosema kuna baadhi ya vitu (wengine wanaweza kusema vitu vingi) ambayo hakuvifanya au havikuwa ambayo leo hii tunatamani vingekuwa. Huo ni ukweli wa historia na yeye mwenyewe alikuwa wa kwanza kukiri.

Jaribu kutafuta waraka wake uitwao "Ten Years after independence" na ule wa "Things we need to correct". Hiyo ilikuwa ni kabla ya hali mbaya ya uchumi ya 1970s. Mwalimu aliona mbali na alijaribu kusahihisha. Na hata alipotoka aliweza kuangalia nyuma na kusema "hapa tulikosea na hapa tulijitahidi"

Lakini mwenzetu wewe huoni lolote ambalo Mwalimu alilifanya ambalo lilikuwa na manufaa na kwa namna fulani unaamini kuwa hali yetu kama TAifa, umoja na hisia ya udugu ambayo wengi wetu tunayo ni vitu vilishushwa tu na hakuna mtu alihenyeka kuvijenga.

Leo hii tulio karibu na Wakenya hasa huku nje tunayoana yale yale (Wajaluo na Wakikuyu bado wanatengana hata ugenini) Sisi leo ukijua fulani ni mbongo mwenzio kuna ka aina fulani ka "ujamaa" we care about Tanzanians, we wish them well n.k

Ndio maana naamini kama kutakuja kutokea machafuko TAnzania yatakusa si sababu ya ukabila. itakuwa ni dini, na hisia ya kutokuwa sehemu ya Tanzania. (kama Delta Nigeria).
 
Mkandara:

Nimewabana na mnaanza kutoa ukweli kuwa amani yetu si amani ni utulivu tu ambao umekuja kwa gharama za watu wengine.
 
Ndio maana nasema Tanzania ilikuwa na Amani toka mwanzo kabla hatujapata uhuru. Hao unaowahita wazee wa Pwani, wengi wao walikuwa ni watu kutoka mikoa ya bara walikaa Pwani kwa muda mrefu na kwa amani.

Na kusaidiana kwa watanzania wakiwa ugenini sio dalili ya amani. Watu wanapokuwa masikini wanapenda kusaidiana. Nitajie mtanzania gani tajiri anayesaidia wenzake nje ya nchi?

Kuna michango mingi ya Mwalimu ninayothamini na kumuenzi. Moja wapo ni kupigania uhuru wa Tanzania na nchi zingine. Uhuru ni kitu cha maana sana kuliko vitu vingine.

Pili JKN alikuwa Renaissance Man ambaye aliamini umuhimu wa uwezo wa Mind ya binadamu na alionyesha kwa vitendo. Aliandika vitabu, alirudi kwao na kufanya kazi zilizoonyesha kuwa ukitumia akili unaweza kuishi mahali popote pale. Na hili la pili lingefuatwa na washabiki wake kama wewe nchi ile ingekuwa mbali. Lakini macho yenu yapo kwenye PRIZE ya Buzwagi na BOT. Na mkishindwa kuvipata hamchoki kulalamika kuwa angekuwapo mwalimu.
 
swali langu ni kuwa kuna kitu chochote ambacho Mwalimu alifanya katika kujenga Taifa hili la sasa au hakuwa na nanafasi yoyote katika kuleta umoja na mshikamano nchini au yote ni bahati mbaya.
 
swali langu ni kuwa kuna kitu chochote ambacho Mwalimu alifanya katika kujenga Taifa hili la sasa au hakuwa na nanafasi yoyote katika kuleta umoja na mshikamano nchini au yote ni bahati mbaya.

Nchi haiwezi kujengwa bila uhuru. Na chanzo cha umoja wa nchi ni uhuru. Hivyo uhuru ni msingi wa kwanza wa kulijenga taifa lolote lile. Na mchango wa kuleta uhuru unazidi mchango wowote uliofanyika wa kujenga taifa hili la sasa.
 
Kwa maneno mengine unasema kuwa Mwalimu alifanikiwa kujenga Taifa hili la Tanzania katika harakati zote za kupata uhuru. Na nikikuelewa vizuri unasema kuna michango mingine ambayo ilifanyika ya kujenga "Taifa hili la sasa".
 
Kuna michango mingi ya Mwalimu Ninayothamini na kumuenzi. Moja wapo ni kupigania uhuru wa Tanzania na nchi zingine. Uhuru ni kitu cha maana sana kuliko vitu vingine.

Pili JKN alikuwa Renaissance Man ambaye aliamini umuhimu wa uwezo wa Mind ya binadamu na alionyesha kwa vitendo. Aliandika vitabu, alirudi kwao na kufanya kazi zilizoonyesha kuwa ukitumia akili unaweza kuishi mahali popote pale. Na hili la pili lingefuatwa na washabiki wake kama wewe nchi ile ingekuwa mbali. Lakini macho yenu yapo kwenye PRIZE ya Buzwagi na BOT. Na mkishindwa kuvipata hamchoki kulalamika kuwa angekuwapo mwalimu
.

Bin Maryam:

This post is very brighter. The ability to realise and discriminate those two major points..Ni ukomavu, Ni utu, Ni Utanzania, is the humanity in you! Is not marely the function of IQ, it is IQ coupled by purifying factor as you call it,the EI. That is Good.

Kikubwa zaidi ni very clear na whole concept ya "Renaissance Man", ambayo ndio ninataka. . . we take off from there!
Nina nukuu from your post "Na hili la pili(Renaissance) lingefuatwa na washabiki wake kama wewe nchi ile ingekuwa mbali"
Personaly naafikiana nalo; Ok Una mchango gani kwa wa Tanzania ili litekelezeke? I am just interested on your views on this!
 
Bin Maryam,
Uliposema kuwa:- issue nzima ya IQ is so complex na controversial. Hapa nakupa tano na nakubaliana na wewe mia kwa mia ila nashangaa unapotaka kipimo chake toka kwa Nyerere hali hakuwekwa ktk mzani - Complex ya IQ ni ktk matumizi yake baada ya kupimwa na inaweza onekana bila kupimwa kama vile tunavyojua umuhimu wa sukari ama chunvi hata kabla hutajaiweka ktk kipimo iwe mzani ama kijiko kuunga ulichokusudia.
Sasa basi yawezekana kabisa kuwa ktk matumizi ya IQ ya Nyerere kulikuwepo na ongezeko ama pungufu ktk kukoleza hayo maazimio yake. Kama ujuavyo chunvi ama sukari kidogo/nyingi huharibu tamu ya kile kilichokusudiwa kupikwa....na wakati mwingi mwandishi wa mapishi siye anayekuja majumbani mwetu kupika.
 
Nilikuwa nafanya mchakacho tu. Si unajua tena utakatifu ni lazima upitie mchakacho wa miujiza.

Nilichokataa ni usemi kuwa watanzania tuliboronga kwa sababu IQ ya Nyerere alikuwa kubwa na IQ ya watanzania aliowaongoza ilikuwa ndogo na ndio maana hatukuendelea. Kushindwa kwetu kulitokana na mipango ambayo ilikuwa na characteristics za kushindwa.

Watanzania tuna chumvi nyingi sana na kuna kipindi nikiwa primary na secondary kuna chumvi zingine niliamini za ukweli. Kwa mfano jeshi la Tanzania ni la pili Afrika kwa ubora. Tunaweza kupigana wa SA kwa zaidi ya mwaka mmoja. Tanzania ni nchi ya nne katika masuala ya upepelezi. Kila siku Nyerere anasoma magazeti yote makubwa duniani kwa nusu saa.

Nyerere akija hapa na kukuta najadili sera zake anaweza kusema Son you are doing a good job, wangekuwepo watu kama wewe nikiwa madarakani meli isingeenda mrama.
 
Bin Maryam,
Hii ya ubora wa jeshi la Tanzania ilitangazwa na RSA ( Radio South Africa) enzi zile za vita vya Kagera. Nasikia walikuwa wanatuma ndege zao za high altitude kwa sababu walikuwa wanaogopa kutunguliwa. Hawakutuchezea kama walivyoichezea Zambia wakati wa harakati za ukombozi wa kusini mwa Afrika. If it was true or a myth ilisaidia kutuepushia balaa la kuvamiwa na Kaburu.
 
Nyerere was a good nation builder- this is a credit- ndo maana wa talk as one nation leo hii!

Aliweka Msingi wa utaifa- ambao ni muhumu mno ktk nchi yoyote!

Tuna mengi ya kujifunza toka kwake- kikubwa zaidi- alikuwa mtu mwadilifu- alichoamini ndo alivyofanya- na yeye binafsi hakujilimbikizia mali!

Katika kile kipindi cha 20 years tangu uhuru nation building wa so central- makabila zaidi ya 120 kuyaweka pamoja kuongea pamoja, kuheshimiana- hili ni jambo kubwa sasa! Ujamaa, JKT, Nyimbo za mchakamchaka asb primary na sekondary- ni vitu muhimu vilivyojenga utaifa na umoja wetu

Sasa ilibili wengine waliofuatia AHM, BWM and JK kujikita ktk uchumi baada ya kazi kubwa ya Mwal. kutuweka pamoja!

Sasa kam hawa wengine wanashindwa kuleta mabadiliko ya uchumi ni uwezo wao mdogo, na tamaa za kujitajirisha wenyewe, na marafiki wao!
 
Bin Maryam:

This post is very brighter. The ability to realise and discriminate those two major points..Ni ukomavu, Ni utu, Ni Utanzania, is the humanity in you! Is not marely the function of IQ, it is IQ coupled by purifying factor as you call it,the EI. That is Good.

Kikubwa zaidi ni very clear na whole concept ya "Renaissance Man", ambayo ndio ninataka. . . we take off from there!
Nina nukuu from your post "Na hili la pili(Renaissance) lingefuatwa na washabiki wake kama wewe nchi ile ingekuwa mbali"
Personaly naafikiana nalo; Ok Una mchango gani kwa wa Tanzania ili litekelezeke? I am just interested on your views on this!

Swali lako ni gumu sana lakini nitaunganisha kama ifuatavyo. Nilikuwepo Mkoani Mara wakati wa ujenzi wa daraja la Kirumi. Na niliona jinsi wataliano walivyotumia physcis kujenga daraja hilo.

Miaka kama 15 baadaye nikiwa DSM nilisikiliza msomi mmoja aliyekuwa anachukua masomo ya computer akizungumzia jinsi wataliano walivyotumia uchawi na makafara kujenga daraja hilo. Akawa anasema walifanya kazi usiku na kwa ushirikina. Story za ujenzi wa daraja hilo zimekuwa myth na sio sayansi or piece of engineering tena.

Kwa maoni yangu kama kuna uwezekano na kama watu wanataka maendeleo ya kweli ni lazima Renaissance yetu ianze hili watu waanze kutofautisha myth na facts.
 
Hivi kuna tofauti gani kati ya mafisadi wa BOT na mtu anayeamua kudanganya katika hii forum? ....Mwenye macho aambiwi hona.
 
Bin Maryam,Mwanakijiji,Mkandara

..si kwamba Nyerere hakufanya lolote jema wakati wa Utawala wake.

..Nyerere alijitihidi kueneza elimu kwa wote, kupeleka huduma za afya vijijini, na kujenga viwanda.

..then something happened which i dont know for sure.

..Nyerere akaporomosha uchumi kwa kasi ya kutisha kabisa. Hali ya maisha ikawa ngumu kwelikweli. Elimu na huduma za afya zikadorora, na viwanda vikasimama uzalishaji.

Baba wa Taifa alipoondoka madarakani, aliacha nchi ikiwa MUFILISI.
 
Joka Kuu, kaicha nchi mufilisi wa vitu lakini iliyokuwa na utajiri wa watu wa moja, wenye mshikamano, wanaojali, n.k

Sasa, nchi ya Kenya ambayo ilikuwa na wingi wa wa vitu enzi za Kenyatta na Moi, utajiri wao huo umewafikisha wapi?

Hivi unataka tuamini kuwa wingi wa vitu na utajiri wa vitu unajenga Taifa?
 
Mwanakijiji,

..kama elimu ilidorora, ina maana tulikuwa tukielekea kwa kasi kubwa kwenye ujinga.

..kama huduma za afya zilidorora basi maradhi yalianza kutuzingira tena.

..kama viwanda viliacha kuzalisha na kilimo kilianguka ina maana umasikini nao uliongezeka.

..Mwalimu aliazimia kupigana na ujinga, maradhi, na umasikini.

..Mwalimu alielekeza kwamba maadui hao watatu walitufanya tuwe WANYONGE, na kusababisha TUNYONYWE, TUONEWE, na KUPUUZWA.

..Tukubali kwamba Jemedari wetu alishindwa kutuongoza ktk vita ya kuondoa Umasikini,Ujinga, na Maradhi. Pamoja na hayo alituachia lulu nzuri ya umoja na mshikamano.
 
Jokakuu,

1. Kwa kweli Mwal. aliacha uchumi wetu choka mbaya- naskia wakati AHM anachukua dola ilibidi wakope 100 m USD Malaysia maana hakukuwa na akiba ya hata senti!

2. Uzuri wa Mwal. Pian aliondoka kiungwana (kung'atuka) na hakung'ang'ania alipoona mambo yanaharibika! Hii ni sifa kubwa kwa yeye kama Kiongozi Afrika!

3. Hali ile ilisababishwa na exogenous and endogenous factors, kama bei mafuta juu, mismanagement, incompetence, Idd Amin War na Kuangauka EAC!

4. Kufanikiwa kwa nchi sii ktk uchumi tu.. ni pamoja na umoja wa kitaifa, mshikamano, kuondoa ukabila n.k. Je leo hii Ivory Coast na Kenya waliokuwa mbele kiuchumi wako wapi?
 
MzalendoHalisi,Mwanakijiji,Bin Maryam,

..It is not an either or situation.

..Inawezekana..It can be done..Hayo ni maneno yake Baba wa Taifa.

..Inawezekana kupiga vita ujinga,umasikini, na maradhi, na wakati huohuo tukawa na umoja wa kitaifa.

..You know we had a glimpse of that miaka ya 70 na 80. Something went wrong and the economy collapsed.

..Hiyo mifano ya Ivory Coast, Kenya,bei ya mafuta, vita vya kagera etc ni visingizio vya kuhalalisha uzembe.

..Tusikatishane tamaa. INAWEZEKANA!!
 
Back
Top Bottom