Kafara
Platinum Member
- Feb 17, 2007
- 1,397
- 434
Tumeambiwa mara nyingi Kenya ni mfano wa nchi nzuri yenye uchumi mzuri na wenye nguvu. Tulichekwa kwa sababu tulikuwa na kiongozi kama Nyerere. Sasa ninapoangalia nchi zote zinazotuzunguka na ambazo hazikutawaliwa na Nyerere (obviously) I'm so proud to be born in a country where Nyerere was the leader!
![]()
Kumbe mamho yote siyo mambo ya uchumi yanayojenga Taifa!!
Asante Mwalimu na siasa zako za Ujamaa na Kujitegemea!!
Finally history has vindicated you!
I'm so proud and eternally grateful to be a Tanzanian. Yes I am.
Hamtaki?
mkuu, naona umekuwa makini katika maandishi yako. natumaini huzungumzii vurugu zinazoendelea kenya. kwani kama ni hilo unalozungumzia yawezekana ukawa umetoa hitimisho mapema sana. hawa jamaa zetu kabla ya tarehe 27/12/07 hakuna aliyewaza kenya yaweza kuwa katika hali iliyokuwanayo sasa. nachelea kuwaza kwamba hizi habari za ufisadi na dhuruma zinazoendelea bongo nazo zaweza tufikisha walipo wenzetu Mwenyezi Mungu apishilie mbali.