Mtoto wa Mkulima
JF-Expert Member
- Apr 12, 2007
- 681
- 142
Hata Chacha Wangwe pia anatembeaga na kifimbo chake, huwa kinampa confidence sana akikishika!
Hahaha umenichekesha kweli sijawahi kunotice hilo, nadhani hata Mkono naye anatembea na kifimbo.
Ila wakati mwingine ina kuwa kama identity au wengine inakuwa kama tabia. Kuna walimu huko vijijini hata mtaani wanatembea na fimbo hata wakistaafu wanatembea na fimbo.
Wakati mwingine inakuwa adictive mfano kama Sir Alex Fuguson anavyotafuna bazoka kila wakati. Ukishazoea inakuwa shida kuacha.
Ila mimi navyojua kwa makabila mengine fimbo ya mzee inaheshima kubwa sana Mfano kwa wachaga hiyo fimbo inaitwa "msenge". Hiyo ni kumpa mzee nguvu na sauti hata machifu walikuwa wanatumia hizo fimbo kama ishaza ya Mtawala. Ila kwa swala la Mwalimu sijui may be kwa sababu alitoka kwenye familia ya Kichifu au linauhusiano na ndumba Mama Nyerere ndie anaweza kujua.