Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,104
- 43,357
mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni
Bin maryam
Unajua tuchukulie wewe ni mtaalamu wa uchumi na ukapewa kazi ya kuwaelezea wana kijiji kule vijijini kwamba nchi ina uhaba wa fedha na wewe ukaenda kuwaelezea wana kijiji wale kwa kutumia taalauma yako ni vyovyote vile watakuona mpumbafu,mjinga na hufai machoni kwao.
Maana utakwenda tofauti na matarajio ya majibu waliyokua wamejiandaa kuyapokea.
Ni dhahili wana kijiji wale wao watakua wametegemea majibu haya kutoka kwako nayo ni-
kwa vile nchi inakabiliwa na uhaba wa fedha basi serikali imejipanga na kuagizia mashine nyingi za kuchapisha fedha na mara tu mashine hizo zitakapofika tutachapisha fedha za kutosha.
IQ is an entity then so can be measured
mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni
Mwanafalsa anakuja na kipya. Kipya cha Nyerere ni Ujamaa. Nitajie mtanzania au mtu yoyote dunia anayetaka kufuata ujamaa wa Nyerere?[/QUOTE]
Bin Maryam;
It is done completely objective and under a fully detailed Research. Maneneno "Ujamaa na kujitegemea" ni very illusive. kwenye sanyansi mpya ya ustawi wa jamii yote hayo yanaingia kwenye kipimo cha "Social Intelligence" "SI". Mimi kwa kifupi na kwa haraka ni kasema UTU, UBINADAMU,HESHIMA, MAADILI ETC!!!you know what "vinapimika". Nyerere alikuwa na kiwango kikubwa sana cha EI hivyo alipelekea jamii yenye kiwango kikubwa cha Social Intelligence hakuna Mtu yeyote dunianai anayetaka ujamaa na kujitegemea..SAWA: But what iam saying nikuwa dunia yote ina kiu kubwa ya EI na SI na sio IQ na maneneno mengi yasiyoelezeka..yaliyo very illusive kama "ujamaa na kujitegemea.." Nyuma ya hayo maneno kuna very high social values za "EI and SI"
also available in audio Social Intelligence: The New Science of Social Relationships - 2006
Emotional Intelligence was an international phenomenon, appearing on the New York Times bestseller list for over a year and selling more than five million copies worldwide. Now, once again, Daniel Goleman has written a groundbreaking synthesis of the latest findings in biology and brain science, revealing that we are wired to connect and the surprisingly deep impact of our relationships on every aspect of our lives.
kwa hiyo jamii iliyojijenga Kwenye maadili ya kibinaadamu na kiutu inapimika. Inaweza isiwe imekuwa na kukomaa ki IQ yaani kitechnologia etc lakini ikiwa imekomaa ki EI na kuipelekea kuwa very stable hata kama bado ni ya kimasikini. Kwa mfano leo hii kilicho na maana zaidi kwenye tiba ni kiwango cha juu cha EI yaani utu, ubinaadamu etc..IQ imekwama kabisa kwenye magonjwa sugu..That means UTU, UBINADAMU etc ni wa maana zaidi ya una shilingi ngapi mfukoni na uchumi wako umetuna kiasi gani, mabomu yamechachamaa, vta kila kona, wanachi wako kwenya mahangaiko kama ya majirani zetu wote.... Bila EI ya kutosha Taifa linaloonekana limekomaa kabisa linaweza likaanguka wa mada mfupi likawa limesambaratika kabisa mpaka kila mtu akashangaa!!
Nina maana jamii inaweza kuwa imeukana utu, ubinaadamu na maadili katika kujenga uchumi wake na ikawa inaonekana imeendelea kweli kweli. BUT my Dear huwezi kuilinganisha na jamii amabayo imakalia kikamilfu EI/UTU/UBINAADAMU/MADILI ya Taifa lake..that means inathamani UTU, USAWA, UBINAADMU Na MAADILI YAKE HATA KAMA HAIJAKUWA SANA KIUCHUMI BADO INATKUWA VERY STABLE AND HAPPY!! huku ikijitahidi kupiga hatua .. Lakini zisizo ukana utu na ubinaadamu wa kifamilia,kijamii na kitaifa!!
Hata kwenye ngazi ya familia. Familia ya jirani inaweza kuwa imekuwa kiuchumi sana lakini uchumi kupitia kuua, kurusha , ufisadi,ufuska etc ..yaani very low EI lakini wote hao wamesoma kweli..Phd etc..Yaani IQ juu kabisa...
Ninachosema Nyerere alijenga EI ya Taifa..Utaifa..! Uzalendo zote ni fanction za "SI" iliyokomaa. ATAHESHIMIWA KWA HILO MILELE!!!
[media]http://www.duniahai.com/Articles/Tumepoteza%20agano%20la%20uhuru.pdf[/media]
Naona bado unajikanyaga. Busara, hekima, wivu, majivuno ni vitu visivyoelezwa kwa number. Hivyo ukisema Nyerere alikuwa na Busara au hekima sitaleta mjadala. IQ inaelezwa kwa namba na swali langu ni fupi tu, Nyerere alikuwa ana IQ ngapi?
Kama utashindwa kutoa hiyo namba basi IQ yake ni sawa na watanzania wengine.
mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni
late 1970s na early 80s tulikuwa tayari tumeingia kwenye depression. Lakini recession ilianza zamani. Na kuna data zinaonyesha.
Mtaji mkubwa wa Tanzania ulitegemea masuala ya kilimo na pesa zilizotoka na kilimo hazikutumika kuendeleza kilimo kwa sehemu kubwa zilitumika katika kufungua sekta zingine (diversification) kama za viwanda ambazo hazikulipa. Ni sawa na ukiwa na duka na ukaamua kutumia pesa za duka kufungua biashara nyingine kama vile usafiri wa mabasi. Hivyo biashara ya mabasi ikikwama itakwamisha biashara ya duka vilevile kwa sababu ni mtaji uleule uliotumia. Kosa lilifanyika ni kuwa Tanzania ilikuwa bado katika ujima kuendesha viwanda.
ILa vinpimwa kwa DEGREE.
na hata hivyo wadau wamesharekebisha na kua EL,kwa hivyo si IQ ni EL.
Alamski
Naona bado unajikanyaga. Busara, hekima, wivu, majivuno ni vitu visivyoelezwa kwa number. Hivyo ukisema Nyerere alikuwa na Busara au hekima sitaleta mjadala. IQ inaelezwa kwa namba na swali langu ni fupi tu, Nyerere alikuwa ana IQ ngapi?
Kama utashindwa kutoa hiyo namba basi IQ yake ni sawa na watanzania wengine.
.In this chapter from the book The Emotionally Intelligent Workplace, Dr. Lyle Spencer provides professional, ethical and legal reasons for establishing the reliability and validity of any EIC measure or HR practices based on EI "that affect an employee's status in an organization, thus subject to scrutiny for adverse impact, outlining specific methods for calculating the economic value (EVA) added by EIC. Also included are meta-analytic findings for the effect size changes and EVA EIC-based selection, training and performance management can provide, as well as protocols for developing "business cases" for EI research and applications: value analysis, expected value added, sensitivity analysis,cost: benefit and return on investment calculation. The chapter also provides data collection instruments and spreadsheet templates for all analyses discussed
Naona unazungumza kitu usichokijua. IQ haipimwi kwa degree.
Pamoja na majibu yako mazuri soma hii.
adt.curtin.edu.au/theses/available/adt-WCU20060911.171320/unrestricted/03Chapter2.pdf
Naona bado unajikanyaga. Busara, hekima, wivu, majivuno ni vitu visivyoelezwa kwa number. Hivyo ukisema Nyerere alikuwa na Busara au hekima sitaleta mjadala. IQ inaelezwa kwa namba na swali langu ni fupi tu, Nyerere alikuwa ana IQ ngapi?
Kama utashindwa kutoa hiyo namba basi IQ yake ni sawa na watanzania wengine.
Sawa mkuu mie sihitaji ligi wewe mbili mie zero .
Na hata hivyo shughuli iliyo mbele yetu wewe na mimi ni kutokemeza umasikini unaotutafuna ni mjadala wenye mafanikio na ulio na tija kwetu na changamoto inayotukabili ni nini cha kufanya ili tuzifikie ndoto zetu za kutokomeza huo umasikini.
masuala ya kulalama bila kua na plantfomu ni upuuzi na usiovumilika.
"Naona bado unajikanyaga. Busara, hekima, wivu, majivuno ni vitu visivyoelezwa kwa number" :Fuata links nilizokupa hapo juu vinapimika kwa namba. wala hakuna kubabaisha.
"Hivyo ukisema Nyerere alikuwa na Busara au hekima sitaleta mjadala." Hapa umepatia na hii inapika na kuitwa EI wala hakuna kubabaisha.
"IQ inaelezwa kwa namba na swali langu ni fupi tu, Nyerere alikuwa ana IQ ngapi?" hata hii inapimika. hatua data on hand..But haitabadilisha msingi wa hii hoja inayoendelea hapa. fuatia links na site zilizotolewa hapo juu.
Ukikuta wanajadili Utu, hekima, busara, maadili,character na atribute kama hizo hatatumia hayomaneno..watsema tu EI kama ni kwa mtu mmoja na watatumia SI kama ni kwa jamii!
Kwenye midahalo halisi ya EI na SI(ambayo ni kama huu) kwa taarifa Nyrere anaheshimaika vilivyo. Watu kadhaa wamechukulia Phd etc