Nyerere alisingiziwa mengi sana

Nyerere alisingiziwa mengi sana

Ajuza anaendeshWawa na hisia za udini. Nyerere alishinda kuifanya Tanganyika nchi ya raia wa dini zote, ajuza anaona ilipaswa kuwa nchi ya Waislamu.

Ni lini Tanganyika haijawa ya wa dini zote kabla yake?

Hata kuanza kwake kuishi Dar kisiasa kunakusuta, alipokelewa na Waislam, akaishi na Waislam. Na aliwakuta wa dini zote wapo na wanaishi vizuri na wanashirikiana.

Waislam walimuheshimu sana Nyerere kwa usomi wake, wakamsikiliza, wakamtukuza, wakampamba, wakamuenzi bila kujali dini yake. Yote hayo huyajuwi?

Waulize waliompa anuani ya alipopokelewa walikuwa wa dini gani?
 
Umejaa chuki kali kwa Mwl Nyerere ambayo haita kufaidisha kwa lolote ndugu.

1. Mwl Nyerere ndiye kipenzi cha wa Tanganyika. Hakuna kitu au mtu ataweza geuza ukweli huu. Iwe kwa chuki za kidini au siasa.

2. Jumuiya ya kimataifa ilimweshumu sana JK na bado inamuheshimu hadi leo.

3. Faiza nakushauri ujipime na kuuondoa uchungu na chuki kali uliyonayo kwa Mwl Nyerere.

kweli Nyerere alikuwa mmbaya sana
4.alipora shule za wakristo na kuzifanya za serikali kuwasomesha waislam

5.alipora shule zilizojengwa kwa nguvu ya vyama vya ushirika mfano:UMBWE sekondari iliyojengwa kwa WACHAGGA kukatwa malipo ya KAHAWA kwa ajili ya watoto wa kichagaa na kuifanya kuwa shule ya watanzania wote

6.Aliondoa nguvu za watawala wa makabila machifu na kuunda serikali za mikoa sjui wilaya;mfano leo hii ungekuta chifu wa kisukuma ndiye top ya machifu woote kwa kuwa wasukuma ni wengi.

8.Alaaniwe Nyerere na ashukuriwe Alhaj MWINYI
 
Umesahau alitaifisha manyumba ya wahindi akawapa Sajili Jumba.
Aliwataifisha wazungu na wahindi mashamba ya mkonge akawapa kina mzee kaduma na slim shamte.
Ninacho mpenda sana baba wa taifa ni pale alipo kuwa anawakamata watu mjini na kuwapeleka geza olele na mwnamilapo leo watu hao wametajirika kwa kuuza ardhi.
Zamni walipokuwa wanapelekwa huko hawakujua kama ingetokea siku kukawa na thamani lakini leo hii wanatamani jkn angekuwepo wakampa ahsante.
 
Dar es salaam , ndio mji mkuu na wenye idadi kubwa ya wakaazi. Utawala wa miaka 28 wa Julius ilijenga shule ngapi jiji hili ? 90% ya shule hapa ni zile zile alizo kabidhiwa na wazungu.

Hospital hapa DAr ndio ile ile ya MUhimbili ambayo ilikuwepo kabla ya uhuru. Pamoja na hospita ya mnazi mmoja na za mikoa

Wakati tunapata uhuru mji ulikua unangaa kwa taa za barabrani , na njia zote muhimu zilikua za laminbila mashimo, wakati akikabidhi nchi hii kwa mwinyi dar es salaam ilijaa mahandaki , mpaka kuna sehemu zikapewa majina kama machafu, shimoni nk,

Gari ilikua anasa na kuagiza gari mpaka upitie state motors corp. utoe rushwa ndio upate kibali cha kuagiza gari,
Ukija na hio gari petrol kwa gari mara 2 kwa wiki ya kutumia emergency tu, watu wakitoa rushwa kupata petrol zaid

Television , wakati duania ikiendela kwa technology ya mawasialiano kwa kuja kwa TV Juliusi alikataa kuanzisha TV Ati ni anasa, sio lazima , KEnya walianza kuwa na TV mwaka 1965 na Znz mwaka 1973 , watanganyika walibidi wasubiri mpaka MWINYI aje na kuwafungulia milango

Kabla ya kupigana na Iddi Amin 1979 , tuliambiwa n hi hali mbaya hivyo tufunge mikanda kwani mlo utakua mmoja kwa siku, vikaja vita na vilipo malizika tuaambiwa tutoboe mkanda tundu ya mwisho hali ni mbaya zaidi.

Katika miaka 28 tulishuhudia ubadilishwaji wa fedha zaidi ya mara 5 , na zote watu wanapewa wiki moja kubadilisha, ukiwa na fedha nyingi inabidi kupoteza kwa kutoa nudu kwa nusu , kwani utaambiwa bepari wewe pesa umepata wapi fedha hii
Hakukuwa na sababu za msingi ila kukomoa watu tu, kupunguza nguvu zao kiuchumi kwa hofu ya kupindiliwa.

Hali ya uchumi ilikua mbaya sana na watu wana nungunika sana mitaani l ikabidi litafutwe zengwe la uhujumu uchumi , ati kuna wayu ndio wano leta matatizo ya uchumi wakati uchumi una,ilikiwa na serikali kwa kila kitu hata kuuza mikate na sigara.ilikua mi mbinu ya ku shift failures kwa wengine . Watu wakanyanganywa dhahabu zao , pesa zao, na wrngine wakafungwa bila kuwepo sheria ya makosa ambayo wameshtakiwa, in fact baada watu kuwepo ndani na magazeti ya kenya kukosoa hali hii ya ukiukwaji haki za watu ndio ikatungwa sheria ya uhjumu uchumi , wakati watu wameshanyanganywa mali zao na wapo jela""

Iddi amin alikua matata lakini hakuwahi kubombana na KEnyata , waliyamaliza kiukubwa bila ya vita, sisi tulimchokoza , tuliwaleta kina museveni tukagharamika wakawekwa kambini bukoba na kupewa magunzo ya kijeshi, na wallianza kufanya hujuma n hini uganda na Amin alipo gundua ndio akibamia kagera, tukaangia vitani na leo madeni ya bita bado tunadaiwa

Haya ni makosa , ni maumuzi mabaya yalikua hayana tija kwa taifa lakini hakuna wa kumwambia , wala haya sio udini ila binadamu anajifunza kutokana na makosa ya historia ili tusirejee makosa yale yale...
 
Mkuu hakuna Muislamu ana jina ka mitishamba.
We umeshalewa Damu ya bwana tafuta mahala penye usalama ukalale kabla hujakutwa na Wale wanaokwenda kwenye Misa za usiku wakakutoa pepo Bure!
Shauri yako mkuu!

Hio mtimbwilimbwi yako utaikuta inateleza ovyo asubuhi.

Miislam mingine inatabia za kishoga sana. Sasa kutukana hivi ndio unawaaminisha watu kuwa UISLAM NI DINI YA WAHUNI?
 
Miislam mingine inatabia za kishoga sana. Sasa kutukana hivi ndio unawaaminisha watu kuwa UISLAM NI DINI YA WAHUNI?

Hayo sio matusi anty. Huo ni ushauri.

Matusi ni pale mtu anaposema mungu alivishwa Nepi akatundikwa kwemye mti akapigwa mpaka kufa huku akipiga kelele za kuomba msaada.

Hayo ndio matusi makubwa kuliko yote mbele ya Mungu.
 
Duh! huo msala sasa!
 
Anasingiziwa na nani? Kikwete naye siku hizi ni daktari. Je, naye anasingiziwa?

Ushahidi kwamba alishindwa masomo ya sayansi uko wapi? Na kwani wote waitwao madaktari wamesomea masomo ya sayansi? Kikwete naye kasomea masomo ya sayansi?

Sasa kama BOT iliwaka moto na hakuna senti moja iliyobakia, kwa nini unauliza nani alichukuwa? Nani alichukuwa nini kama hakuna senti moja iliyobakia?

Hata mantiki nyepesi tu zinakushinda! Unasema BOT iliwaka moto mpaka kuteketeza kila kitu halafu kwa wakati huo huo unadokeza kwamba huenda Nyerere aliiba. Nyerere ataibaje vitu vyote vilivyoteketezwa na moto? Aliiba majivu?

Some stories bwana, pesa ninkaratasi, zikiwa benki ziko kwenye kumbukumbu na hazina thamani yeyote zikiungua maana zina bima.

Pili fedha zote zinahifadhiwa kwenye safe kila siku. Safe ilikuwa nzima na iliwachukua masaa 36 kuvunja ukuta na kuifungua ikiwa na kuletwa wataalamu wa Safe kutoka Chubbs na Scotland Yard...

Ni kuleta usahihi tu wa hili jambo!
 
Hayo sio matusi anty. Huo ni ushauri.

Matusi ni pale mtu anaposema mungu alivishwa Nepi akatundikwa kwemye mti akapigwa mpaka kufa huku akipiga kelele za kuomba msaada.

Hayo ndio matusi makubwa kuliko yote mbele ya Mungu.

Heeee!!!
 
Nyerere wetu, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Tanganyika na Rais wa kwanza wa Tanganyika na Tanzania, kasingiziwa mengi sana.

Ntaanza kuyataja hapa mambo 7 aliyosingiziwa na ntatowa sababu kwanini kasingiziwa.

1) Nyerere anasingiziwa kuwa kapigania Uhuru wa Tanganyika.

Si kweli, Nyerere hakupigania "Uhuru wa Tanganyika". Vita gani alivyopigana kudai Uhuru kama "Kapigania Uhuru"?

2) Nyerere anasingiziwa kuwa kaasisi TANU.

Si kweli, Nyerere hakuasisi TANU wala hajatowa jina la TANU.

3) Nyerere anasingiziwa kuwa ni mzalendo na anawaamini na kuwapenda Watanganyika na Watanzania.

Si kweli, Nyerere hajawahi kuipenda Tanganyika. Kwanini aliifuta kwenye ramani ya dunia kama anaipenda?

Si kweli, kuwa ni mzalendo. Nyerere hajawahi kumuamini mtu yeyote mwenye asili ya Kiafrika, Nyerere alimuamini mtu mmoja tu katika maisha yake yote, nae ni Mzungu aliyekuwa katibu wake mpaka kufa kwake.

4) Nyerere anasingiziwa kuwa ni Daktari.

Si Kweli, Nyerere alishindwa kwenye sayansi na akaamuwa kuchukuwa masomo ya sanaa, Nyerere ni msanii.

5) Nyerere anasingiziwa kuwa ni msomi wa kwanza kutokea Tanganyika mwenye "Masters Degree".

Si kweli, kuna Watanganyika waliokuwa na udaktari "Phd" kabla yake, ushahidi ni akina Muhimbili, Sewa Haji, Kibasila na wengi wengineo.

6) Nyerere anasingiziwa kuwa ni kipenzi cha Watanganyika na Watanzania.

Si kweli, hakuna kiongozi Tanzania hii aliyewahi kutaka kupinduliwa au kuuliwa mara nyingi zaidi ya Nyerere.

7) Nyerere anasingiziwa kuwa hajaiba,

Si kweli, BOT kabla ya Nyerere kung'atuka iliwaka moto na hakuna senti moja iliyobakia, ni nani alichukuwa? ni nani alichunguza?

Kamasi Nyerere aliyeiba basi ni Mtei wa Chadema, aje hapa Mtei bado yuko hai, ni vipi BOT iliwaka moto mpaka kuteketeza kila kitu?

Mengine malizia wewe, mimi nikirudi naonesha jinsi alivyo singiziwa mengi mengine.

Nikirudi narudi na mengine saba aliyosingiziwa Nyerere.

Mjane umekuja kivingine.
 
Anasingiziwa na nani? Kikwete naye siku hizi ni daktari. Je, naye anasingiziwa?

Ushahidi kwamba alishindwa masomo ya sayansi uko wapi? Na kwani wote waitwao madaktari wamesomea masomo ya sayansi? Kikwete naye kasomea masomo ya sayansi?

Sasa kama BOT iliwaka moto na hakuna senti moja iliyobakia, kwa nini unauliza nani alichukuwa? Nani alichukuwa nini kama hakuna senti moja iliyobakia?

Hata mantiki nyepesi tu zinakushinda! Unasema BOT iliwaka moto mpaka kuteketeza kila kitu halafu kwa wakati huo huo unadokeza kwamba huenda Nyerere aliiba. Nyerere ataibaje vitu vyote vilivyoteketezwa na moto? Aliiba majivu?

You are so bright man... Very sensitive response and great thoughts... I appreciate you.
 
Nyerere wetu, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Tanganyika na Rais wa kwanza wa Tanganyika na Tanzania, kasingiziwa mengi sana.

Ntaanza kuyataja hapa mambo 7 aliyosingiziwa na ntatowa sababu kwanini kasingiziwa.

1) Nyerere anasingiziwa kuwa kapigania Uhuru wa Tanganyika.

Si kweli, Nyerere hakupigania "Uhuru wa Tanganyika". Vita gani alivyopigana kudai Uhuru kama "Kapigania Uhuru"?

2) Nyerere anasingiziwa kuwa kaasisi TANU.

Si kweli, Nyerere hakuasisi TANU wala hajatowa jina la TANU.

3) Nyerere anasingiziwa kuwa ni mzalendo na anawaamini na kuwapenda Watanganyika na Watanzania.

Si kweli, Nyerere hajawahi kuipenda Tanganyika. Kwanini aliifuta kwenye ramani ya dunia kama anaipenda?

Si kweli, kuwa ni mzalendo. Nyerere hajawahi kumuamini mtu yeyote mwenye asili ya Kiafrika, Nyerere alimuamini mtu mmoja tu katika maisha yake yote, nae ni Mzungu aliyekuwa katibu wake mpaka kufa kwake.

4) Nyerere anasingiziwa kuwa ni Daktari.

Si Kweli, Nyerere alishindwa kwenye sayansi na akaamuwa kuchukuwa masomo ya sanaa, Nyerere ni msanii.

5) Nyerere anasingiziwa kuwa ni msomi wa kwanza kutokea Tanganyika mwenye "Masters Degree".

Si kweli, kuna Watanganyika waliokuwa na udaktari "Phd" kabla yake, ushahidi ni akina Muhimbili, Sewa Haji, Kibasila na wengi wengineo.

6) Nyerere anasingiziwa kuwa ni kipenzi cha Watanganyika na Watanzania.

Si kweli, hakuna kiongozi Tanzania hii aliyewahi kutaka kupinduliwa au kuuliwa mara nyingi zaidi ya Nyerere.

7) Nyerere anasingiziwa kuwa hajaiba,

Si kweli, BOT kabla ya Nyerere kung'atuka iliwaka moto na hakuna senti moja iliyobakia, ni nani alichukuwa? ni nani alichunguza?

Kamasi Nyerere aliyeiba basi ni Mtei wa Chadema, aje hapa Mtei bado yuko hai, ni vipi BOT iliwaka moto mpaka kuteketeza kila kitu?

Mengine malizia wewe, mimi nikirudi naonesha jinsi alivyo singiziwa mengi mengine.

Nikirudi narudi na mengine saba aliyosingiziwa Nyerere.

toka nchi yetu ipate uhuru marais walioitendea haki nch yao ni
nyerere.na mkapa tu..hawa wengine ni makapi tu wamekalia ndoa za mkeka kila kukicha..mwinyi alipoona hatoshek kaenda kuoa arabun...kikwete alipoona hatoshek keeenda kuoa kila wilaya na vyeo juuu wakapewa kina saaada mkuya.

kipind cha nyerere uchumi wa tanganyika na tz ulikuwa na nguvu

akaja mwiny akaboronga tukarud nyuma

akaja mkapa akatengeneza akafuta den la taifa.shilingu ikawa na thaman..akajenga shule za msing na sekondar

akaja kikwete akaanza kutapanya mali.mara ahongwe sut.mara ridhiwan ashikwe na drug uchina.mara avunje rekod kuteua baraza la mawazir bovu mara tano..mara amsingie lowasa richmond ilihal yy ndio muhusika.escrow..epa..kushinda angan..shiling imeshuka thaman kuliko muda wwt kwenye historia ya tz 2300s......kuhonga vyeo baada ya unyumba..kufunga watu baada ya kuibiwa nyumba ndogo

duuuuuuuu..kujaribu kuiingiza mahakama ya kadhi kwenye katiba kwa kumtumia kichwa maji membe

kuteua wakuu wa idara na wakurugenz na maafisaa weng wa
serikal kutoka kwenye dini yake..... zaid ya 75% anayebisha uchunguze

kuogopa kutaja majangili kisa rafk yake kinana alikuwamo kwenye list

Kikwete umetutesa sana Mungu akumulike
 
JF siyo sehemu ya porojo usipende kuokota maneno kwenye vijiwe vya mapuya na kuleta JF.

Umeyapata wapi hayo maneno.

Hebu msome Nyerere mwenyewe hapa chini.

Nilipokuwa ninaondoka kwenda Ulaya kusoma, nilikuwa nimeishaonja shughuli za TAA. Sasa niliporudi, baada ya kukaa Pugu siku chache, nikaja mjini Dar es Salaam. Nikauliza nani wanaongoza TAA?-Nikaambiwa kuna jamaa mmoja anaitwa Abdul Sykes. Sasa ni marehemu. Abdul ndiye alikuwa katibu wakati huo.-Nilipelekwa na Kasela Bantu - ambaye naye aliteleza-teleza na hatunaye hapa (kwenye mkutano). Kasela Bantu alikuwa mwalimu mwenzangu. Tulifundisha pamoja Milambo. Nilipokuja Dar es Salaam, nikakuta anafanya kazi Redio (Tanganyika Broadcasting Corporation). Ni Kasela Bantu aliyenipeleka kwa Sykes.Wakati huo mambo yalikuwa yanasinzia kidogo. Kwa muda mfupi mwaka ule, tukafufua-fufua, hasa kutoka Januari. Kufika Aprili, TAA ikafufuka. Tukafanya mkutano hapo Anautouglou. Kwenye mkutano huu wakanichagua kuwa Rais wao – wa TAA.Ninasema yote haya kwa shukrani kwa wazee. Jamaa hawa walikuwa watu wazima wa Dar es Salaam, na mimi kijana mdogo Mzanaki, na Kiswahili changu si kizuri sana – cha matatizo.-Nimekuja, natoka Ulaya, tena masomoni. Muda mfupi tu jamaa hawa wakaniamini haraka sana – katika muda wa miezi mitatu. Wakanichagua Rais wa TAA. Hapo ndipo nilianza shughuli mpya ya kuandika katiba ya TAA na kuipa madhumuni hasa ya shabaha ya kuleta uhuru.Baada ya miezi 13, hapo 1954, tukaanzisha TANU. Jina hili lilipendekezwa na akina Abdul Sykes. Walikuwa wamelifikiria tangu zamani, walipokuwa askari vitani huko Burma (Vita vya Pili).

Hayo ni maneno ya Nyerere sasa wewe tuambie hizi porojo zako umezitoa wapi

mwl.nyerere alikuta jina la TAA viongoz waliokuwepo hawakuwa nq shuguli wala mipango wenyewe walikuwa wapo bize kucheza bao tu..ila miez mitatu baada ya mwl kuja mambo yakabadilika yakawa motomoto..ndio akaandika katiba..akachaguliwa kuwa bos..unafkr hao kina sykies wangeweza wapi kuthubutu..washazoea kushinda kariakoo na kaz za kijngujiko

na kumbuka Umoja wa mataifa UN walipitisha nch za kiafrika ziwe huru kilichokuwepo Uingereza iliomba iendelee kutawala had watanganyika watakapokuwa tayar..utayar maana ake watu makini ni vip sasa hao kina sykies na IQ yake sa iv situngekuwa km somalia!!!
 
Problem with low iq usitumie sana akili yako jaribu kutumia na mawazo ya wengine isitoshe waweza kuwa mzaliwa 1980's sasa umesimuliwa na babu yako unaanzisha thread
 
Problem with low iq usitumie sana akili yako jaribu kutumia na mawazo ya wengine isitoshe waweza kuwa mzaliwa 1980's sasa umesimuliwa na babu yako unaanzisha thread

1980 mie mtu mzima.

Nashukuru, nimezaliwa kabla ya Uhuru, nakumbuka fataki za siku ya Uhuru, nimeishuhudia "tarehe 20".

Unaijuwa ni nini hiyo "tarehe 20"?
 
nyerere wetu, aliyekuwa waziri mkuu wa kwanza wa tanganyika na rais wa kwanza wa tanganyika na tanzania, kasingiziwa mengi sana.

Ntaanza kuyataja hapa mambo 7 aliyosingiziwa na ntatowa sababu kwanini kasingiziwa.

1) nyerere anasingiziwa kuwa kapigania uhuru wa tanganyika.

Si kweli, nyerere hakupigania "uhuru wa tanganyika". Vita gani alivyopigana kudai uhuru kama "kapigania uhuru"?

2) nyerere anasingiziwa kuwa kaasisi tanu.

Si kweli, nyerere hakuasisi tanu wala hajatowa jina la tanu.

3) nyerere anasingiziwa kuwa ni mzalendo na anawaamini na kuwapenda watanganyika na watanzania.

Si kweli, nyerere hajawahi kuipenda tanganyika. Kwanini aliifuta kwenye ramani ya dunia kama anaipenda?

Si kweli, kuwa ni mzalendo. Nyerere hajawahi kumuamini mtu yeyote mwenye asili ya kiafrika, nyerere alimuamini mtu mmoja tu katika maisha yake yote, nae ni mzungu aliyekuwa katibu wake mpaka kufa kwake.

4) nyerere anasingiziwa kuwa ni daktari.

Si kweli, nyerere alishindwa kwenye sayansi na akaamuwa kuchukuwa masomo ya sanaa, nyerere ni msanii.

5) nyerere anasingiziwa kuwa ni msomi wa kwanza kutokea tanganyika mwenye "masters degree".

Si kweli, kuna watanganyika waliokuwa na udaktari "phd" kabla yake, ushahidi ni akina muhimbili, sewa haji, kibasila na wengi wengineo.

6) nyerere anasingiziwa kuwa ni kipenzi cha watanganyika na watanzania.

Si kweli, hakuna kiongozi tanzania hii aliyewahi kutaka kupinduliwa au kuuliwa mara nyingi zaidi ya nyerere.

7) nyerere anasingiziwa kuwa hajaiba,

si kweli, bot kabla ya nyerere kung'atuka iliwaka moto na hakuna senti moja iliyobakia, ni nani alichukuwa? Ni nani alichunguza?

Kamasi nyerere aliyeiba basi ni mtei wa chadema, aje hapa mtei bado yuko hai, ni vipi bot iliwaka moto mpaka kuteketeza kila kitu?

Mengine malizia wewe, mimi nikirudi naonesha jinsi alivyo singiziwa mengi mengine.

Nikirudi narudi na mengine saba aliyosingiziwa nyerere.
nahisi huna kumbukumbu. Benki kuu haikuungua wakati EDWIN MTEI akiwa gavana wala waziri wa fedha, E. MTEI ALIKUWA WAZIRI WA FEDHA HADI mwaka 1978 alipoacha kazi na kwenda world bank baada ya kumshauri rais aanzishe sera ya uchangiaji wa huduma za jamii kama elimu na afya. Benki kuu iliungua mwaka 1985 waziri akiwa prof. Kighoma ali malima wakati huo mimi nilikuwa kidato cha iii. Uskurupuke kama ulikuwa bado kuzaliwa waulize wakubwa zako usiandike mambo ya uongo.
 
Waislamu wachache kama huyu kikongwe juu humpinga Nyerere kwa "purely" sababu za kidini tu! Kisa hakuwa wa dini yao basi wanaona kama hakufanya jambo lolote zuri
 
Back
Top Bottom