Nyerere alisingiziwa mengi sana

Nyerere alisingiziwa mengi sana

Aisee Tindu Lissu ameanzisha mengi sana yamuhusuyo nyerere

Tusimsingizie Tindu Lissu kwa upuuzi kama huu. Lissu ana akili na asingeweza kusapoti huu uzi usiokuwa na kichwa wala mguu. Hakuna hata haja ya kuchangia huu uzi unaoonyesha umeletwa na mtu asiyejua alichoandika.
 
Sijawahi kusikia Kikwete akimuita Nyerere baba wa Taifa, huwa najiuliza hivi Kikwete alichukizwa na nini kama ni kuambiwa bado hajakomaa hafai kuwa rais basi amsamehe kwa kuwa ndoto yake ya kuwa rais imeshatimia.
 
Ooh, vyema kabisa, kwa hiyo Nyerere hakusingiziwa Udaktari, ni kweli kabisa ni Daktari na umedhihirisa hilo bila ya shaka yoyote. Ukweli kabisa nimeridhika na data ulizoshusha na Nyerere alipewa u Daktari wa heshima na ndiyo maana ni Dr. Nyerere.

Ajabu ni pale watu wanapokejeli u Daktari wa Kikwete. Hauoni kuwa ni "double standard" wakati wote wametunukiwa u Daktari wa heshima?

Upo hapo ulipo?

Kikwete si alipewa Uprof. China!? Kuendelea kuuita Dr. ni kumshusha.............................!!
 
Mtei aliacha kuwa Gavana wa BOT lini? No research no right to speak ... Hata hivyo Enzi za Nyerere Mabaya na ujinga wote ulikuwa unaelekezwa kwa KAWAWA ... Mungu amrehemu Simba wa vita ...
 
Ok, twambie Nyerere na Mtei walichoma Bank lini!!

Kanisome tena hakuna pahala nimesema "Nyerere na Mtei walichoma Bank.

Wewe kweli Zero unataka kunilisha maneno ambayo sijaandika?
 
Last edited by a moderator:
Mtei aliacha kuwa Gavana wa BOT lini? No research no right to speak ... Hata hivyo Enzi za Nyerere Mabaya na ujinga wote ulikuwa unaelekezwa kwa KAWAWA ... Mungu amrehemu Simba wa vita ...

Nani kaongelea u gavana wa Mtei? hivi mnachosoma huwa hamuelewi?
 
Nyerere mtamtetea sana.... na mtayaficha madhambi yake yote. Kamwe hamtakataa kwamba alikuwa akiugua, alikuwa anaenda kutibiwa Ulaya.
 
Kwa hiyo mbona ccm wanamsingizia sasa kama wanamsingizia kwa nini unaipenda ccm? Basi nawewe ni tapeli

swissme
 
Alikuwa Mwalimu kweli, hajajipachika na wapo wanaomuita Dr. Nyerere, ushahidi:

Dr Julius Nyerere was...

Chanzo: 2014 Ubuntu Honour Award to Dr Nyerere - National Heritage CouncilNational Heritage Council

Ndiyo maana hutiweza kusikia yeyote mwenye PhD za kutunukiwa akajiita "mimi Dokta Nyerere" au "mimi Dokta Kikwete", sisi wapambe ndiyo tuwapamba hivyo lakini si wao.

Tatizo hujamaliza kusoma chanzo cha hiyo habari vizuri.
Kumbe ndani yake wako wasomi wa Dar-walio geuza taasisi za Elimu kuwa vitivo vya Propaganda za Kisiasa na kulinda masilahi binafsi.


Ebu pima wamashindwa hata kushauri hilo na wakageuka kuwa wapambe!
''sisi wapambe ndiyo tuwapamba hivyo lakini si wao''.

Msemo wa mtaani "Wapambe nuksi''



This year’s Ubuntu Honour was in partnership with the Somafco Trust and the University of Dar Es Salaam in celebration of the 20 years of freedom, which also coincides, with the 50 years of celebration of the Unification of Tanganyika, Pemba and Zanzibar.
 
Dada FaizaFoxy,kesho nitakuja Mkuranga kukagua "investments" zangu,nitapita kwako ili nikusalimie na unieleze sababu hasa ya kumchukia Mwalimu ni ipi.
 
Kikwete si alipewa Uprof. China!? Kuendelea kuuita Dr. ni kumshusha.............................!!

[h=3]Honours[/h] [TABLE="class: wikitable"]
[TR]
[TH="width: 60px"]Year[/TH]
[TH]Country[/TH]
[TH="colspan: 2"]Order[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Uganda.svg.png
Uganda[/TD]
[TD="width: 80px"] [/TD]
[TD]Most Excellent Order of the Pearl of Africa (Grand Master)[SUP][4][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_Comoros.svg.png
Comoros[/TD]
[TD="width: 80px"] [/TD]
[TD]Order of the Green Crescent of the Comoros[SUP][5][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Saudi_Arabia.svg.png
Saudi Arabia[/TD]
[TD="width: 80px"] [/TD]
[TD]Order of Abdulaziz Al Saud[SUP][6][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Jamaica.svg.png
Jamaica[/TD]
[TD="width: 80px"] [/TD]
[TD]Order of Excellence[SUP][7][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2012[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Oman.svg.png
Oman[/TD]
[TD="width: 80px"] [/TD]
[TD]Order of Oman (First Class)[SUP][8][/SUP][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[h=3]Awards[/h]
  • Sullivan Honor
  • 2007: The AAI African National Achievement Award (on behalf of Tanzania).[SUP][9][/SUP]
  • 2009: US Doctors for Africa Award.[SUP][10][/SUP]
  • 2011: Social Good Award from the United Nations Foundation[SUP][11][/SUP]
  • 2011: South-South Award for Global Health, Technology and Development[SUP][12][/SUP]
  • 2012: FANRPAN Policy Leadership Award from the Food, Agriculture and Natural Resources Policy Analysis Network.[SUP][13][/SUP]
  • 2013: Africa's Most Impactful Leader of the Year by the Africa Leadership Magazine[SUP][14][/SUP]
  • 2013: ICCF Mengha Award by the International Conservation Caucus Foundation[SUP][15][/SUP]
  • 2014: Icon of Democracy Award, from The Voice Magazine (Netherlands)[SUP][16][/SUP]
  • 2015: Leadership Excellence Award by the Pan-African Youth Union.[SUP][17][/SUP]
[h=3]Honorary academic awards[/h] [TABLE="class: wikitable"]
[TR]
[TH="width: 50px"]Year[/TH]
[TH]University[/TH]
[TH]Country[/TH]
[TH]Honour[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD]University of St. Thomas (Minnesota)[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_United_States.svg.png
United States[/TD]
[TD]Doctor of Law[SUP][18][/SUP][SUP][19][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD]Kenyatta University[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Kenya.svg.png
Kenya[/TD]
[TD]Doctor of Humane Letters[SUP][20][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD]Fatih University[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Turkey.svg.png
Turkey[/TD]
[TD]Doctorate in International Relations[SUP][21][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD]Muhimbili University[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Tanzania.svg.png
Tanzania[/TD]
[TD]Doctor of Public Health[SUP][22][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD]University of Dodoma[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Tanzania.svg.png
Tanzania[/TD]
[TD]Honoris Causa[SUP][23][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2011[/TD]
[TD]University of Dar es Salaam[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Tanzania.svg.png
Tanzania[/TD]
[TD]Doctor of Law[SUP][24][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2013[/TD]
[TD]University of Guelph[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Canada.svg.png
Canada[/TD]
[TD]Doctor of Law[SUP][25][/SUP][SUP][26][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2014[/TD]
[TD]China Agricultural University[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_People%27s_Republic_of_China.svg.png
China[/TD]
[TD]Honorary Professor[SUP][27][/SUP][SUP][28][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2014[/TD]
[TD]Nelson Mandela African Institute of Science and Technology[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Tanzania.svg.png
Tanzania[/TD]
[TD]Honoris causa[SUP][29][/SUP][SUP][30][/SUP][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Chuki yako Faiza kwa Nyerere si bure. Ningekuwa na muda ningefuatilia kwa undani chanzo cha chuki yako. Could it be some personal grudges?
Kutoka kwenye minakasha mbalimbali hapa ume-reveal kuwa nyumbani kwenu ni nyumba ya tatu kutoka zilipokuwa ofisi za TANU, na kwamba alikuwa anakuja dukani kwenu kununua sigara aina ya "Senate".

Pia tunafahamu wewe ni mwarabu wa kitanzania...

Nahisi kutakuwa na chanzo fulani cha ugomvi.
Au ulikabidhiwa kwake akuoe lakini alikukataa? I am just asking...
 
Labda na mimi nikuulize swali kidogo,hivi hayo unayosema nyerere kasingiziwa ilistahili aambiwe nani unaedhani alistahili kupewa sifa hizo,

mkuu,naamini kuna kitu umekiona kwenye huu uzi ila unashindwa kukielezea.
Hapa dada FF anataka kufumua u"double standard" katika mambo fulani ya viongozi fulani.
Ngoja nione mwisho wa mnakasha huu.
 
Anasingiziwa na nani? Kikwete naye siku hizi ni daktari. Je, naye anasingiziwa?



Ushahidi kwamba alishindwa masomo ya sayansi uko wapi? Na kwani wote waitwao madaktari wamesomea masomo ya sayansi? Kikwete naye kasomea masomo ya sayansi?



Sasa kama BOT iliwaka moto na hakuna senti moja iliyobakia, kwa nini unauliza nani alichukuwa? Nani alichukuwa nini kama hakuna senti moja iliyobakia?



Hata mantiki nyepesi tu zinakushinda! Unasema BOT iliwaka moto mpaka kuteketeza kila kitu halafu kwa wakati huo huo unadokeza kwamba huenda Nyerere aliiba. Nyerere ataibaje vitu vyote vilivyoteketezwa na moto? Aliiba majivu?

Well said. RIP Nyerere
 
Swali lini iliungua ?
Nani alikuwa Governor ?
Je ulishiriki kwenye huo mjadala hapo chini niliourejea?


Lini iliunguwa au nani alikuwa Governor si relevant kwa kuwa umeshalijibu kwenye post yako, kanisome vizuri juu huko.

Kwanini iliunguwa muda mfupi kabla ya Rasi wetu Nyerere hajang'atuka? hilo ndiyo swali linalofaa tujiulize.

Halafu what a coincidence na wizara ya mambo ya ndani nayo ikawaka moto.

Hicho kipande cha Mtei hakikuelezea sababu za bank kuunguwa?

Halafu nnadhani si mara ya kwanza 1984 BOT kuunguwa kuna tukio kama hilo nyuma zaidi na sikumbuki mwaka, kuna watu humu JF wenye kumbukumbu watakuja na jibu.
 
Mama.
Nadhani yule mzee alifanya damage kubwa sana kwako au most likely kwenye familia yako au dini yako. However. .the massive legendary status ya yule mzee huwezi kuibadili kirahisi hata mtu ulale baharini uchi wa mnyama au sijui wa nyangumi. Jiulize..sisi wengine usiyetujua, alitufanyia nini mazuri mpaka tumheshimu hivi........
 
Back
Top Bottom