Nyerere alisingiziwa mengi sana

Nyerere alisingiziwa mengi sana

Nyerere wetu, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Tanganyika na Rais wa kwanza wa Tanganyika na Tanzania, kasingiziwa mengi sana.

Ntaanza kuyataja hapa mambo 7 aliyosingiziwa na ntatowa sababu kwanini kasingiziwa.

1) Nyerere anasingiziwa kuwa kapigania Uhuru wa Tanganyika.

Si kweli, Nyerere hakupigania "Uhuru wa Tanganyika". Vita gani alivyopigana kudai Uhuru kama "Kapigania Uhuru"?

2) Nyerere anasingiziwa kuwa kaasisi TANU.

Si kweli, Nyerere hakuasisi TANU wala hajatowa jina la TANU.

3) Nyerere anasingiziwa kuwa ni mzalendo na anawaamini na kuwapenda Watanganyika na Watanzania.

Si kweli, Nyerere hajawahi kuipenda Tanganyika. Kwanini aliifuta kwenye ramani ya dunia kama anaipenda?

Si kweli, kuwa ni mzalendo. Nyerere hajawahi kumuamini mtu yeyote mwenye asili ya Kiafrika, Nyerere alimuamini mtu mmoja tu katika maisha yake yote, nae ni Mzungu aliyekuwa katibu wake mpaka kufa kwake.

4) Nyerere anasingiziwa kuwa ni Daktari.

Si Kweli, Nyerere alishindwa kwenye sayansi na akaamuwa kuchukuwa masomo ya sanaa, Nyerere ni msanii.

5) Nyerere anasingiziwa kuwa ni msomi wa kwanza kutokea Tanganyika mwenye "Masters Degree".

Si kweli, kuna Watanganyika waliokuwa na udaktari "Phd" kabla yake, ushahidi ni akina Muhimbili, Sewa Haji, Kibasila na wengi wengineo.

6) Nyerere anasingiziwa kuwa ni kipenzi cha Watanganyika na Watanzania.

Si kweli, hakuna kiongozi Tanzania hii aliyewahi kutaka kupinduliwa au kuuliwa mara nyingi zaidi ya Nyerere.

7) Nyerere anasingiziwa kuwa hajaiba,

Si kweli, BOT kabla ya Nyerere kung'atuka iliwaka moto na hakuna senti moja iliyobakia, ni nani alichukuwa? ni nani alichunguza?

Kamasi Nyerere aliyeiba basi ni Mtei wa Chadema, aje hapa Mtei bado yuko hai, ni vipi BOT iliwaka moto mpaka kuteketeza kila kitu?

Mengine malizia wewe, mimi nikirudi naonesha jinsi alivyo singiziwa mengi mengine.

Nikirudi narudi na mengine saba aliyosingiziwa Nyerere.
Hivi kwanini shule za Zanzibar nyingi Huwa ni za mwisho NECTA?
 
kambona tu? Umeshamsoma Mtikila? Ngoja baadae nitafute uzi wake, ulikuwepo, niliwahi kuuona zamani.
Hata hawa mashehe walio kaa miaka 10 mahabusu waliwekwa ndani na Nyerere!
Najua unatamani kusema hivyo lakini mahesabu yana kataa.
Uislamu wako unakutesa mwenyewe!
 
Hawa ni mfumo kristo.

Wakati wa nyerere Masheikh wengi sana waliwekwa ndani bila sababu, kuna waliohamishwa miji, kuna waliwekwa vizuizini wasitoke mji mmoja kwenda mwingine, kuna waliowekwa vizuizini wasitoke majumbani mwao.

Kama huyaelewi uliza tukueleze.
 
Hata sasa waliowahi kuwekwa ndani na kikwete walisingiziwa!
 
Nyerere hajawahi kumuamini mtu yeyote mwenye asili ya Kiafrika, Nyerere alimuamini mtu mmoja tu katika maisha yake yote, nae ni Mzungu aliyekuwa katibu wake mpaka kufa kwake.
huyo katibu wake alikufa mwaka gani
 
Nyerere wetu, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Tanganyika na Rais wa kwanza wa Tanganyika na Tanzania, kasingiziwa mengi sana.

Ntaanza kuyataja hapa mambo 7 aliyosingiziwa na ntatowa sababu kwanini kasingiziwa.

1) Nyerere anasingiziwa kuwa kapigania Uhuru wa Tanganyika.

Si kweli, Nyerere hakupigania "Uhuru wa Tanganyika". Vita gani alivyopigana kudai Uhuru kama "Kapigania Uhuru"?

2) Nyerere anasingiziwa kuwa kaasisi TANU.

Si kweli, Nyerere hakuasisi TANU wala hajatowa jina la TANU.

3) Nyerere anasingiziwa kuwa ni mzalendo na anawaamini na kuwapenda Watanganyika na Watanzania.

Si kweli, Nyerere hajawahi kuipenda Tanganyika. Kwanini aliifuta kwenye ramani ya dunia kama anaipenda?

Si kweli, kuwa ni mzalendo. Nyerere hajawahi kumuamini mtu yeyote mwenye asili ya Kiafrika, Nyerere alimuamini mtu mmoja tu katika maisha yake yote, nae ni Mzungu aliyekuwa katibu wake mpaka kufa kwake.

4) Nyerere anasingiziwa kuwa ni Daktari.

Si Kweli, Nyerere alishindwa kwenye sayansi na akaamuwa kuchukuwa masomo ya sanaa, Nyerere ni msanii.

5) Nyerere anasingiziwa kuwa ni msomi wa kwanza kutokea Tanganyika mwenye "Masters Degree".

Si kweli, kuna Watanganyika waliokuwa na udaktari "Phd" kabla yake, ushahidi ni akina Muhimbili, Sewa Haji, Kibasila na wengi wengineo.

6) Nyerere anasingiziwa kuwa ni kipenzi cha Watanganyika na Watanzania.

Si kweli, hakuna kiongozi Tanzania hii aliyewahi kutaka kupinduliwa au kuuliwa mara nyingi zaidi ya Nyerere.

7) Nyerere anasingiziwa kuwa hajaiba,

Si kweli, BOT kabla ya Nyerere kung'atuka iliwaka moto na hakuna senti moja iliyobakia, ni nani alichukuwa? ni nani alichunguza?

Kamasi Nyerere aliyeiba basi ni Mtei wa Chadema, aje hapa Mtei bado yuko hai, ni vipi BOT iliwaka moto mpaka kuteketeza kila kitu?

Mengine malizia wewe, mimi nikirudi naonesha jinsi alivyo singiziwa mengi mengine.

Nikirudi narudi na mengine saba aliyosingiziwa Nyerere.
Hehehe
 
Hawa ni mfumo kristo.

Wakati wa nyerere Masheikh wengi sana waliwekwa ndani bila sababu, kuna waliohamishwa miji, kuna waliwekwa vizuizini wasitoke mji mmoja kwenda mwingine, kuna waliowekwa vizuizini wasitoke majumbani mwao.

Kama huyaelewi uliza tukueleze.
Ungetaja majina Yao kabisa hata kwa mfano ili ueleweke zaidi kuliko kusema tu wengi
 
Nyerere wetu, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Tanganyika na Rais wa kwanza wa Tanganyika na Tanzania, kasingiziwa mengi sana.

Ntaanza kuyataja hapa mambo 7 aliyosingiziwa na ntatowa sababu kwanini kasingiziwa.

1) Nyerere anasingiziwa kuwa kapigania Uhuru wa Tanganyika.

Si kweli, Nyerere hakupigania "Uhuru wa Tanganyika". Vita gani alivyopigana kudai Uhuru kama "Kapigania Uhuru"?

2) Nyerere anasingiziwa kuwa kaasisi TANU.

Si kweli, Nyerere hakuasisi TANU wala hajatowa jina la TANU.

3) Nyerere anasingiziwa kuwa ni mzalendo na anawaamini na kuwapenda Watanganyika na Watanzania.

Si kweli, Nyerere hajawahi kuipenda Tanganyika. Kwanini aliifuta kwenye ramani ya dunia kama anaipenda?

Si kweli, kuwa ni mzalendo. Nyerere hajawahi kumuamini mtu yeyote mwenye asili ya Kiafrika, Nyerere alimuamini mtu mmoja tu katika maisha yake yote, nae ni Mzungu aliyekuwa katibu wake mpaka kufa kwake.

4) Nyerere anasingiziwa kuwa ni Daktari.

Si Kweli, Nyerere alishindwa kwenye sayansi na akaamuwa kuchukuwa masomo ya sanaa, Nyerere ni msanii.

5) Nyerere anasingiziwa kuwa ni msomi wa kwanza kutokea Tanganyika mwenye "Masters Degree".

Si kweli, kuna Watanganyika waliokuwa na udaktari "Phd" kabla yake, ushahidi ni akina Muhimbili, Sewa Haji, Kibasila na wengi wengineo.

6) Nyerere anasingiziwa kuwa ni kipenzi cha Watanganyika na Watanzania.

Si kweli, hakuna kiongozi Tanzania hii aliyewahi kutaka kupinduliwa au kuuliwa mara nyingi zaidi ya Nyerere.

7) Nyerere anasingiziwa kuwa hajaiba,

Si kweli, BOT kabla ya Nyerere kung'atuka iliwaka moto na hakuna senti moja iliyobakia, ni nani alichukuwa? ni nani alichunguza?

Kama si Nyerere aliyeiba basi ni Mtei wa Chadema, aje hapa Mtei bado yuko hai, ni vipi BOT iliwaka moto mpaka kuteketeza kila kitu?

Mengine malizia wewe, mimi nikirudi naonesha jinsi alivyo singiziwa mengi mengine.

Nikirudi narudi na mengine saba aliyosingiziwa Nyerere.
Unaumwa Apedomia ,umekuwa linyani.
 
Sasa kama BOT iliwaka moto na hakuna senti moja iliyobakia, kwa nini unauliza nani alichukuwa? Nani alichukuwa nini kama hakuna senti moja iliyobakia?

Hata mantiki nyepesi tu zinakushinda! Unasema BOT iliwaka moto mpaka kuteketeza kila kitu halafu kwa wakati huo huo unadokeza kwamba huenda Nyerere aliiba. Nyerere ataibaje vitu vyote vilivyoteketezwa na moto? Aliiba majivu?
Hii spana ajuza aliipangua vp, mliofatilia hili mbungi?
 
Umejaa chuki kali kwa Mwl Nyerere ambayo haita kufaidisha kwa lolote ndugu.

1. Mwl Nyerere ndiye kipenzi cha wa Tanganyika. Hakuna kitu au mtu ataweza geuza ukweli huu. Iwe kwa chuki za kidini au siasa.

2. Jumuiya ya kimataifa ilimweshumu sana JK na bado inamuheshimu hadi leo.

3. Faiza nakushauri ujipime na kuuondoa uchungu na chuki kali uliyonayo kwa Mwl Nyerere.
Kanywa maji ya kidini kavimbiwa kabisa.
 
Naona hauelewi kuwa Nyerere alishapinduliwa na ujumbe ukapelekwa kwa U Thans, aliyekuwa mkuu wa Umoja wa Mataifa wakati huo. Na aliyeyageuza mpinduzi hayo na aliyemuokoa Nyerere na utawala wake ni kati ya hao wajaa "laana".

Unalijuwa hilo?

Nimefurahi kuwa hujakataa kusingiziwa huko kwa Nyerere.
Watu wenye magonjwa ya akili mbona wanazidi kuongezeka?!.
 
Back
Top Bottom