Nyerere alisingiziwa mengi sana

Nyerere alisingiziwa mengi sana

hii post ni zaid ya komed, huyu punguan faiza mbweha amenichekesha sana, endelea kutupa burudani
 
Kama ni kweli au sikweli it is best to let the 'sleeping dog continue to sleep'
 
unatakiwa uelewe hao kinasykes unaodai wamepugania uhuru sijui nini....wote walikua wanamtegemea Nyerere...na bila Nyerere kua karibu na wazungu watawala kama Turnbull huo uhuru ungepatikanaje kirahisi.......sio useme eti sijui sykes, hakuna kitu ni connections za Nyerere ndo zilifanikisha.....wale wazee walikua wanampump tu....

Naona umekurupuka, ungeisoma vizuri hiyo post yangu ilichokijibu ungenielewa zaidi. Wacha kiherehere.
 
Duh ama kweli umenipania. Nimekuwa Punguani shukran. Na Spear unamjua eeeh, mbona husemi mlikutana wapi? maajabu maana nakujua wapenda rangi sana haswa waarabu ya Mbatu toka lini?

Al Haj Spear nnamjuwa toka "kaja" na hajaanza kupiga picha mitaani. Umesahau kuwa customer wake wakubwa tulikuwa watu wa Kariakoo?

Hivi Dar ile ni nani wakuja wa siku hizo ambae hajapitia Kariakoo? Hata Nyerere, Mwinyi na Mkapa wote walianzia hukohuko Kariakoo.

Nyerere kwa akina Sykes.

Mwinyi akiishi nyumba ambayo kwa sasa ni baa bubu ya mtaa wa Livingston maarufu kama Pajero kwa kina besti.

Mkapa, duka la Abdul Malik na Amin chumba cha cha kupitia mlango wa uani, lipo mpaka leo mtaa wa Livingston.

Kariakoo ni moyo wa Dar kama si Tanzania.
 
Haya maneno! nakushangaa sana kufikia pale ulipofika hata miye basi...Mimi sii mgeni wa hivyo. Spear mdogo wangu namaliza shule yeye bado yuko form two na kina Golden hair, amekuja kanikuta. Japo sikuwa Saigon lakini nawajua toka kina Stone na Sisco tukijirusha na marehemu Marijan pale Princes bar, Kwa hiyo sii mgeni wa hivyo.
 
Nnajuwa sana wewe si mgeni Dar na ni kijana wa mjini kabisa, lakini nnashangaa pale unapoiandika Saigon kama ni kituko, unantukania kaka zangu wa pale ukiandika kama ulivyoandika. Kile ni kijiwe cha enzi cha who is who in Dar.
 
Duh wapi nilisema Saigon ni kituko? au umenichanganya maana siwezi kabisa nimecheza nao wengine Jugnu...
 
Haka kadada huwa kamejawa na udini nafsini kwake jaribuni kupitia comments zake .....kama hautambui mchango na uzito wa Nyerere katika nchi hii na SADC kwa ujumla bhasi wewe si bure utakuwa mshirikina
 
Mchango wa Nyerere nnaukubali sana tena na uwezo wake nnautambuwa sana tena sana, ukisoma vizuri na ukichambuwa hoja utaona unaishia kwenye tuta. Kwanini tumsingizie mambo ambayo hajafanya?

Mfano tunamsingizia Kapigania" Uhuru wakati kila mtu anajuwa Nyerere alidai Uhuru. Kwanini tumpe sifa mbaya ya upiganaji?
 
Mchangi wa Nyerere nnaukubali sana tena na uwezo wake nnautambuwa sana tena, ukisoma vizuri na ukichambuwa hoja utaona unaishia kwenye tuta. Kwanini tumsingizie mambo ambayo hajafanya?

Mfano tunamsingizia Kapigania" Unhuru wakati kila mtu anajuwa Nyerere alidai Uhuru. Kwanini tumpe sifa mbaya upiganaji?
Ndio maana nikauliza hivi wanawake wanaopigania haki zao huwa wamebeba bunduki? kuna usemi wa Martial art usemao - To Fight without fighting - unaujua...
 
Duh wapi nilisema Saigon ni kituko? au umenichanganya maana siwezi kabisa nimecheza nao wengine Jugnu...

Kajisome post yako namba 531 mstari namba 4.

Ni nini kile ulichoandika ukaihusisha Saigon kama si kituko.
 
Aisee Tindu Lissu ameanzisha mengi sana yamuhusuyo nyerere

Kama kuna mpumbavu no 1, duniani ni Tundu Lisu kwa kumzalilisha Nyerere,na dhambi hiyo itamtafuna hadi kifo chake,lkn hatambue kuwa mataputapu yake ya sheria kamwe hayatamsaidia na kamwe historia aliyoiandika duniani hakuna wa kuifikia .
 
Kajisome post yako namba 153 mstari namba 4.

Ni nini kile ulichoandika ukaihusisha Saigon kama si kituko.
Bado unanichanganya bibie, Post namba 153 ni wewe uloandika kumjibu @Uwongo=Umaskini

Nanukuu maneno yako:- "Uwezo na akili" yangu unakutia wasiwasi wewe? Makubwa haya jamani.

Mimi nnadhani wasiwasi wako ndiyo maradhi yako" mwisho wa nukuu

Au jisome hapa
 
Mjinga mmoja lisu ndo alitoa mataputapu hayo kwa watu akijaribu kumzalilisha baba wa taifa.
 
Mchango wa Nyerere nnaukubali sana tena na uwezo wake nnautambuwa sana tena sana, ukisoma vizuri na ukichambuwa hoja utaona unaishia kwenye tuta. Kwanini tumsingizie mambo ambayo hajafanya?

Mfano tunamsingizia Kapigania" Uhuru wakati kila mtu anajuwa Nyerere alidai Uhuru. Kwanini tumpe sifa mbaya ya upiganaji?
Nukuu...
 
Attachments

  • 1431536713617.jpg
    1431536713617.jpg
    35.5 KB · Views: 152
Bado unanichanganya bibie, Post namba 153 ni wewe uloandika kumjibu @Uwongo=Umaskini

Nanukuu maneno yako:- "Uwezo na akili" yangu unakutia wasiwasi wewe? Makubwa haya jamani.

Mimi nnadhani wasiwasi wako ndiyo maradhi yako" mwisho wa nukuu

Au jisome hapa

Samahani ni 531, nilikosea.
 
Ndio maana nikauliza hivi wanawake wanaopigania haki zao huwa wamebeba bunduki? kuna usemi wa Martial art usemao - To Fight without fighting - unaujua...

Ap ki Do

Wanawake hatudai haki yetu, ni nani aliyenayo? Umoja wa Mataifa?

Sisi tunapigania haki yetu, tunapigana na mifumo yenu, mifumo dume.
 
Ajuza wewe komaa tu na hawa Watanzania wasiojua kufikiri kama wewe.

PIGANA nao hadi uwashinde. Kichuguu , muacheni FF ashinde kwani ni pekee anamJUA Nyerere kuzidi Mama Maria.

Jasusi , hivi Nyerere na Warioba waliMUFANYA nini huyu Ajuza wetu? Lazima kuna kisababu.
Ajuza anaendeshwa na hisia za udini. Nyerere alishinda kuifanya Tanganyika nchi ya raia wa dini zote, ajuza anaona ilipaswa kuwa nchi ya Waislamu.
 
Anyway, nafikiri bado uko Secondary, ukikuwa kiumri na kukomaa kihekima na kuanza kuangalia mambo kwenye 3D ndiyo utamuelewa Tundu Lissu. Kwa taarifa yako, Tundu Lissu hizo nondo baadhi yake alipewa na Wasomi wakubwa na watu wanaoheshimika Tanzania.

Mfano ni Document ya Muungano ambayo watu wengi sana wameiomba na wakashindwa kuiona.

Baada ya Tundu Lissu kuwakoromea, ghafla ikapatikana. Pia wale wote waliokuwa wakimpinga Nyerere kwa chinichini, Tundu Lissu kawachorea mstari. Sasa hakuna vuguvugu tena. Au unakuwa kama FaizaFoxy au unakuwa kama Tundu Lissu. Wengi wao sasa wameanza Unafiki wao na kuanza kujifanya wanaiheshimu hiyo familia.

Lazima ujuwe, Wanasheria siku zote ni watu watata kama Messi, atajifanya anakwenda kushoto, kumbe anasepa kulia na wewe ukiwa Boateng, unabaki unagalagala chini na vijimatusi vya rejareja. Mwenzio AG aliambiwa LIVE bungeni, STOP, wewew si mshauri wetu na kaufyata.

Balehe kwanza kijana, ndiyo uanze kumuelewa Tundu Lissu. Kuwa Makini na FF maana unaweza kudhani hampeni Nyerere ila ndiyo mfuasi mkubwa. Wasome watu katikati a mstari.....

Pia kuwa mgwangalifu na matusi haya, akikupeleka mahakamani utauweza mziki wake? Kikwete kashaweka sahihi....

Back
Top Bottom