Shangazi usinambia mimi nisome.
Weka hapa andiko tusome wote ili wasomi waone busara za upako!
Halafu km Ukristo ni kitu cha Kujivunia leo hii imekuwaje mpaka UMOJA WA MATAIFA unapigia Kelele na Kulilaani KANISA kwa Kuwaficha Viongozi wanao lawiti watoto wadogo?
Ina maana Na Hio UNITED NATION ni Waislamu? Au wao hawajampokea Yesu km Nyie?
UN yaingilia dhulma za kingono Vatican - BBC Swahili
http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/375...pope_francis_vatican_304x171_bbc_nocredit.jpg
Umoja wa mataifa umeitaka vatican kutoa maelezo kuhusu kesi elfu moja ambapo viongozi wa dini katika kanisa hilo wamewanyanyasa watoto .
Ombi hilo kutoka kwa kamati ya umoja huo inayosimamia haki za watoto linajiri miezi sita kabla ya wawakilishi wa kanisa katoliki kufikishwa mbele ya umoja wa mataifa kujibu mashtaka ya kashfa ya unyanyasaji wa watoto ambayo yamekumba kanisa hilo katika kipindi cha mwongo mmoja uliopita.
Umoja huo pia unataka habari zaidi kuhusu usadizi uliotolewa kwa waathiriwa pamoja na kisa chochote ambapo wahusika walinyamazishwa.
Sasa
Kakende haya mambo ya kulawiti watoto ni moja ya hio amani mnayofundishwa makanisani?
Au ni mimi tu ndio sijaelewa?
Huenda wewe na
Farudume mkawa na busara kuliko UMOJA WA MATAIFA.
Hebu tusomesheni hapa.
Kilawiti na kunyanyasa watoto ni ktk shughuli za UPAKO?
Au ndio ktk zile harakati za kuwatoa mapepo?
Nisaidieni wasomi.