Bibie tatizo lako hutaki kuambiwa kitu. Nimesema hivyo makusudi tupate kuelewana maana ulichosema wewe ni kwamba Nyerere hakuwa muasisi wa TANU hukusema TAA. Ndio sababu ya kukwambia Muulize Mohamed Said kwa sababu yeye anajua kundi la watu 17 ni kina nani hao wewe huwajui..
Ukweli ni upi:-
1. Nyerere alichaguliwa kuwa rais wa TAA April 1953 kabla ya kuzaliwa kwa TANU.

2. Jina la TANU alipendekeza kwa kusahihisha jina la mwanzo ni Ally Sykes sio Abdul.

3. Waasisi wa TANU wapo wazee wanaodaiwa kuwa 17 na Nyerere alikuwa kiongozi wao.
Ingekuwa hii thread umeanzisha wewe ningejaribu kukuelewa.
Bibie tatizo lako hutaki kuambiwa kitu. Nimesema hivyo makusudi tupate kuelewana maana ulichosema wewe ni kwamba Nyerere hakuwa muasisi wa TANU hukusema TAA. Ndio sababu ya kukwambia Muulize Mohamed Said kwa sababu yeye anajua kundi la watu 17 ni kina nani hao wewe huwajui..
Ukweli ni upi:-
4. Ni Abdulwahid Sykes na Mwapachu walokibadilisha chama kutoka TAA baraza la Ki -Saigon kuwa TAA inayopigania Uhuru wa wananchi. kifupi Abdul alimpindua baba yake mzee Kreist Sykes uongozi wa chama.

Wazo la kuikomboa nchi lilitokana na wapiganaji wa kiafrika kule Burma - Sawa ilikuwa mwaka gani na hao wapiganaji wote walikuwa TANU ama wengine walikuwa na mawazo tofauti ua kichama? Uje tunazungumzia TANU hapa iweje rais wa chama usime wewe sio muasisi wa chama ilihali ana kadi namba moja?
Kitu muhimu hapa pengine ungeonyesha jinsi gani Abdulwahid Sykes alivyokuwa hana tamaa. Yaani mtu aloanzisha Chama ameweza kukaa pembeni akawapa watu waloweza kufanya mageuzi ambayo mwiso wa siku yeye hakupata nafasi ya kufaidika nayo! Mwenyezi Mungu ampe kauli thabit
Duh! ilipigania kwa nani? kwa hiyo si Nyerere "aliyepigania" Uhuru bali ni Abdul na Mwapachu?
Hilo la kupinduwa? naomba reference au citation au ni kutoka kichwani mwako?
NI nani alikuhadithia? au ulikuwepo wakati wa hayo mapinduzi?
Saigon, ndiyo chama kipi? au unaongelea Saigon ya mtaa wa Sikukuu na Nyarung'ombe? unajuwa ilipataje jina la Saigon?
Unaijuwa "kahe"?
cc Mohamed Said
unatakiwa uelewe hao kinasykes unaodai wamepugania uhuru sijui nini....wote walikua wanamtegemea Nyerere...na bila Nyerere kua karibu na wazungu watawala kama Turnbull huo uhuru ungepatikanaje kirahisi.......sio useme eti sijui sykes, hakuna kitu ni connections za Nyerere ndo zilifanikisha.....wale wazee walikua wanampump tu....
nimependa arguments zako.Anasingiziwa na nani? Kikwete naye siku hizi ni daktari. Je, naye anasingiziwa?
Ushahidi kwamba alishindwa masomo ya sayansi uko wapi? Na kwani wote waitwao madaktari wamesomea masomo ya sayansi? Kikwete naye kasomea masomo ya sayansi?
Sasa kama BOT iliwaka moto na hakuna senti moja iliyobakia, kwa nini unauliza nani alichukuwa? Nani alichukuwa nini kama hakuna senti moja iliyobakia?
Hata mantiki nyepesi tu zinakushinda! Unasema BOT iliwaka moto mpaka kuteketeza kila kitu halafu kwa wakati huo huo unadokeza kwamba huenda Nyerere aliiba. Nyerere ataibaje vitu vyote vilivyoteketezwa na moto? Aliiba majivu?
Nnakomba rudia huu uzi usome posts zote kabla hujakurupuka.
Una kiherehere cha nini?
Kama huna kiherehere basi una ashki majnun.
Punguani wahed.
Mwanawe Nyerere anasema alikuwa ni Mjaluo.
Duh ama kweli umenipania. Nimekuwa Punguani shukran. Na Spear unamjua eeeh, mbona husemi mlikutana wapi? maajabu maana nakujua wapenda rangi sana haswa waarabu ya Mbatu toka lini?Katika point zako zote za kinafiki na kijinga, hujaonesha wapi Nyerere kaasisi TANU.
Mkandara uliyefundishwa ujanja wa Dar na "Spear", leo unaweza kuongelea kuhusu Saigon? unanshangaza sana.
Punguani wahed.