MADIBA MANDELA
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 503
- 398
Huu Uzi una harufu ya kiroba sioni sababu ya kuufata
nahisi huna kumbukumbu. Benki kuu haikuungua wakati EDWIN MTEI akiwa gavana wala waziri wa fedha, E. MTEI ALIKUWA WAZIRI WA FEDHA HADI mwaka 1978 alipoacha kazi na kwenda world bank baada ya kumshauri rais aanzishe sera ya uchangiaji wa huduma za jamii kama elimu na afya. Benki kuu iliungua mwaka 1985 waziri akiwa prof. Kighoma ali malima wakati huo mimi nilikuwa kidato cha iii. Uskurupuke kama ulikuwa bado kuzaliwa waulize wakubwa zako usiandike mambo ya uongo.
Kuna kaukweli hapa maana huyu jamaa alikuwa hataki hata watanzania wawe na TV ili aibe rasilimali zetu huku sisi tukimsifia kuwa eti ni mzalendo
Hivi mtu unapata faida gani kumsimanga marehemu....mtu ambaye hakusikii wala hakuoni...mtu ambaye hataguswa na maneno yako kamwe....kuendelea kumjadili au kumsimanga marehemu...ambaye ni mwanadamu kama sisi...ni kuupoteza muda ambao ungetufanya turekebishe pale ambapo tunahisi alikosea kama mwanadamu na kuyaenzi yale mazuri aliyotuachia....
FaizaFoxy
Tunaendelea
8. Walimsingizia eti alizilinda rasilimàli za taifa (madini),si kweli kwani madini yote aliwagawia Wazungu na akina Mwinyi ndio waliorudisha hizi rasilimali mikononi mwa Watanzani.
9.Wanasema aliasisi sera za uchumi wa kujitegemea kwa kuanzisha viwanda vingi kwa msaada wa washirika wake mataifa ya kijamaa (China,Cuba,USSR), si kweli hakuna kiwanda chochote kilichojengwa enzi za utawala wake kwani viwanda vimejengwa enzi za akina Mwinyi.
10.Wanasema eti utawala wa Nyerere haukuwa na madeni makubwa,si kweli kwani utawala wake uliandamwa na madeni lukuki na tawala zilizofuatia ndizo zilizopunguza madeni ya taifa hasa utawala wa Kikwete.
Usimwombe samahani, ni taahira kweli.Nashawishika kukuhesabu faizyfoxy kwenye orodha ya taahira hapa JF, kila unachosema kinakuwa sio na bado unajaribu kkubahatisha, maisha kubahatisha bahatisha sio, wenzako wakiandika hapa wanakuwa na full story ya mambo. Nikukumbushe tena, ulisema CHADEMA haiwezi kumfukuza ZZK, yuko wapi leo??? samahani nikikuita taahira ninasababu lukuki
Ni ajabu sana mtu kuja na mada inayomkashifu mtu, halafu unataka watu waje wakuelezee vizuri au wajadiliane na wewe kistaarabu, napata wasiwasi sana na akili zako FaizaFoxy
Nyerere wetu, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Tanganyika na Rais wa kwanza wa Tanganyika na Tanzania, kasingiziwa mengi sana.
Ntaanza kuyataja hapa mambo 7 aliyosingiziwa na ntatowa sababu kwanini kasingiziwa.
1) Nyerere anasingiziwa kuwa kapigania Uhuru wa Tanganyika.
Si kweli, Nyerere hakupigania "Uhuru wa Tanganyika". Vita gani alivyopigana kudai Uhuru kama "Kapigania Uhuru"?
2) Nyerere anasingiziwa kuwa kaasisi TANU.
Si kweli, Nyerere hakuasisi TANU wala hajatowa jina la TANU.
3) Nyerere anasingiziwa kuwa ni mzalendo na anawaamini na kuwapenda Watanganyika na Watanzania.
Si kweli, Nyerere hajawahi kuipenda Tanganyika. Kwanini aliifuta kwenye ramani ya dunia kama anaipenda?
Si kweli, kuwa ni mzalendo. Nyerere hajawahi kumuamini mtu yeyote mwenye asili ya Kiafrika, Nyerere alimuamini mtu mmoja tu katika maisha yake yote, nae ni Mzungu aliyekuwa katibu wake mpaka kufa kwake.
4) Nyerere anasingiziwa kuwa ni Daktari.
Si Kweli, Nyerere alishindwa kwenye sayansi na akaamuwa kuchukuwa masomo ya sanaa, Nyerere ni msanii.
5) Nyerere anasingiziwa kuwa ni msomi wa kwanza kutokea Tanganyika mwenye "Masters Degree".
Si kweli, kuna Watanganyika waliokuwa na udaktari "Phd" kabla yake, ushahidi ni akina Muhimbili, Sewa Haji, Kibasila na wengi wengineo.
6) Nyerere anasingiziwa kuwa ni kipenzi cha Watanganyika na Watanzania.
Si kweli, hakuna kiongozi Tanzania hii aliyewahi kutaka kupinduliwa au kuuliwa mara nyingi zaidi ya Nyerere.
7) Nyerere anasingiziwa kuwa hajaiba,
Si kweli, BOT kabla ya Nyerere kung'atuka iliwaka moto na hakuna senti moja iliyobakia, ni nani alichukuwa? ni nani alichunguza?
Kamasi Nyerere aliyeiba basi ni Mtei wa Chadema, aje hapa Mtei bado yuko hai, ni vipi BOT iliwaka moto mpaka kuteketeza kila kitu?
Mengine malizia wewe, mimi nikirudi naonesha jinsi alivyo singiziwa mengi mengine.
Nikirudi narudi na mengine saba aliyosingiziwa Nyerere.
Kuna kaukweli hapa maana huyu jamaa alikuwa hataki hata watanzania wawe na TV ili aibe rasilimali zetu huku sisi tukimsifia kuwa eti ni mzalendo
iyo namba 4;umepotosha kwa sana,hakuna aliyeshawai kusema nyerere ni daktari aliyetokana na kusoma masomo ya sayansi,IPO wazi kabisa ya kwamba nyerere alisoma masomo ya ARTS,udaktari wake in wa heshima(PHD).Nyerere wetu, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Tanganyika na Rais wa kwanza wa Tanganyika na Tanzania, kasingiziwa mengi sana.
Ntaanza kuyataja hapa mambo 7 aliyosingiziwa na ntatowa sababu kwanini kasingiziwa.
1) Nyerere anasingiziwa kuwa kapigania Uhuru wa Tanganyika.
Si kweli, Nyerere hakupigania "Uhuru wa Tanganyika". Vita gani alivyopigana kudai Uhuru kama "Kapigania Uhuru"?
2) Nyerere anasingiziwa kuwa kaasisi TANU.
Si kweli, Nyerere hakuasisi TANU wala hajatowa jina la TANU.
3) Nyerere anasingiziwa kuwa ni mzalendo na anawaamini na kuwapenda Watanganyika na Watanzania.
Si kweli, Nyerere hajawahi kuipenda Tanganyika. Kwanini aliifuta kwenye ramani ya dunia kama anaipenda?
Si kweli, kuwa ni mzalendo. Nyerere hajawahi kumuamini mtu yeyote mwenye asili ya Kiafrika, Nyerere alimuamini mtu mmoja tu katika maisha yake yote, nae ni Mzungu aliyekuwa katibu wake mpaka kufa kwake.
4) Nyerere anasingiziwa kuwa ni Daktari.
Si Kweli, Nyerere alishindwa kwenye sayansi na akaamuwa kuchukuwa masomo ya sanaa, Nyerere ni msanii.
5) Nyerere anasingiziwa kuwa ni msomi wa kwanza kutokea Tanganyika mwenye "Masters Degree".
Si kweli, kuna Watanganyika waliokuwa na udaktari "Phd" kabla yake, ushahidi ni akina Muhimbili, Sewa Haji, Kibasila na wengi wengineo.
6) Nyerere anasingiziwa kuwa ni kipenzi cha Watanganyika na Watanzania.
Si kweli, hakuna kiongozi Tanzania hii aliyewahi kutaka kupinduliwa au kuuliwa mara nyingi zaidi ya Nyerere.
7) Nyerere anasingiziwa kuwa hajaiba,
Si kweli, BOT kabla ya Nyerere kung'atuka iliwaka moto na hakuna senti moja iliyobakia, ni nani alichukuwa? ni nani alichunguza?
Kamasi Nyerere aliyeiba basi ni Mtei wa Chadema, aje hapa Mtei bado yuko hai, ni vipi BOT iliwaka moto mpaka kuteketeza kila kitu?
Mengine malizia wewe, mimi nikirudi naonesha jinsi alivyo singiziwa mengi mengine.
Nikirudi narudi na mengine saba aliyosingiziwa Nyerere.
usishangae, kilemba chake kitakueleza ni mtu wa hali gani, mimi all the time namuona kama psychopathNi ajabu sana mtu kuja na mada inayomkashifu mtu, halafu unataka watu waje wakuelezee vizuri au wajadiliane na wewe kistaarabu, napata wasiwasi sana na akili zako FaizaFoxy
Nyerere wetu, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Tanganyika na Rais wa kwanza wa Tanganyika na Tanzania, kasingiziwa mengi sana.
Ntaanza kuyataja hapa mambo 7 aliyosingiziwa na ntatowa sababu kwanini kasingiziwa.
1) Nyerere anasingiziwa kuwa kapigania Uhuru wa Tanganyika.
Si kweli, Nyerere hakupigania "Uhuru wa Tanganyika". Vita gani alivyopigana kudai Uhuru kama "Kapigania Uhuru"?
2) Nyerere anasingiziwa kuwa kaasisi TANU.
Si kweli, Nyerere hakuasisi TANU wala hajatowa jina la TANU.
3) Nyerere anasingiziwa kuwa ni mzalendo na anawaamini na kuwapenda Watanganyika na Watanzania.
Si kweli, Nyerere hajawahi kuipenda Tanganyika. Kwanini aliifuta kwenye ramani ya dunia kama anaipenda?
Si kweli, kuwa ni mzalendo. Nyerere hajawahi kumuamini mtu yeyote mwenye asili ya Kiafrika, Nyerere alimuamini mtu mmoja tu katika maisha yake yote, nae ni Mzungu aliyekuwa katibu wake mpaka kufa kwake.
4) Nyerere anasingiziwa kuwa ni Daktari.
Si Kweli, Nyerere alishindwa kwenye sayansi na akaamuwa kuchukuwa masomo ya sanaa, Nyerere ni msanii.
5) Nyerere anasingiziwa kuwa ni msomi wa kwanza kutokea Tanganyika mwenye "Masters Degree".
Si kweli, kuna Watanganyika waliokuwa na udaktari "Phd" kabla yake, ushahidi ni akina Muhimbili, Sewa Haji, Kibasila na wengi wengineo.
6) Nyerere anasingiziwa kuwa ni kipenzi cha Watanganyika na Watanzania.
Si kweli, hakuna kiongozi Tanzania hii aliyewahi kutaka kupinduliwa au kuuliwa mara nyingi zaidi ya Nyerere.
7) Nyerere anasingiziwa kuwa hajaiba,
Si kweli, BOT kabla ya Nyerere kung'atuka iliwaka moto na hakuna senti moja iliyobakia, ni nani alichukuwa? ni nani alichunguza?
Kamasi Nyerere aliyeiba basi ni Mtei wa Chadema, aje hapa Mtei bado yuko hai, ni vipi BOT iliwaka moto mpaka kuteketeza kila kitu?
Mengine malizia wewe, mimi nikirudi naonesha jinsi alivyo singiziwa mengi mengine.
Nikirudi narudi na mengine saba aliyosingiziwa Nyerere.
Wewe ni mbwa tu!ukatoliki wa nyerere unamumiza sana FaizaFoxy nimeamini muilsamu mzuri ni yule aliyekufa tu kama ajuza FF katika miaka yake ya mwisho bado anahangaika na jihad ya maneno shida sana.
what should i expect from mujaheddin , asalam aleykumWewe ni mbwa tu!