Nyerere alisingiziwa mengi sana

Nyerere alisingiziwa mengi sana

chama kilishika hatam miaka 30s lakini hakuna mabadiliko..usiwaamini hawa makengeza..
 
Iseme kweli ili iwaje? ikisema kweli au uwongo sisi tunanufaika nini katika dunia ya sasa na so called history za hao wapigania uhuru?

Sijui kama ulivyotoa hili wazo ulikuwa umekasirika ama la, ki ukweli kwa kuuliza swali hili umejitukanisha, bahati nzuri tu humu tunaficha utambulisho, lakini ukitulia hata uwe peke yako hakika ulichoandika hapa kitakuuma kama una tafakuri nzuri, pole sana
 
Haya hata Tundu lissu aliya sema bungeni. Waso haya utawajua tu huku ooh kikwete ana kandamiza ujuru wa habari lakini akijadiliwa mwandani wenu ... sheria nzuri....hamuachi ujinga huu mpaka lini kuwa diuble standard.
Sheria ile inazungumzia wizi wa mitandao na kutoa kashfa za uongo na kutoa picha za uongo .
Hapa ni jamii forum.
Kuna mada inamhusu mtu tuna jadili kweli si kweli
Sasa presha ya nini umeshundwa hoja ?

uzi una point chache vingine mipasho na kejeli tuu!,

Naamini sheria ya makosa ya mtandao ina-cover mambo kama haya pia
 
Hivi ile taarifa ya jamaa kutembea kwa mguu kutoka MONDULI hadi KIMANDOLU kwa sababu ya fitna binafsi ilishawahi kupingwa hapa,nadhani hapo ndipo chuki ilipoanzia?????
Naona hauelewi kuwa Nyerere alishapinduliwa na ujumbe ukapelekwa kwa U Thans, aliyekuwa mkuu wa Umoja wa Mataifa wakati huo. Na aliyeyageuza mpinduzi hayo na aliyemuokoa Nyerere na utawala wake ni kati ya hao wajaa "laana".

Unalijuwa hilo?

Nimefurahi kuwa hujakataa kusingiziwa huko kwa Nyerere.
 
Nyerere alikuwa mdini sana hiyo dhambi itamtafuna milele kwa kudhulumu haki za waislamu.

Mnadai haki sawa kama wanawake! Mwanaume halalamiki hovyo bali anakomaa na maisha mpaka kinaeleweka. Huwezi kukuta waislamu matajiri wakilalamika hovyo ila ni kawaida kwa wanaoshinda kwenye gahawa kulalamika eti nyerere ndio amewafanya wawe maskini.
 
wazee wa dini za kimapokeo naona mnanyukana kwa kupitia JK .mngekuwawapagani kama sie wengine msinge msema marehemu aliyekwisha pumzika na mababu zake huku kwa kwetu ni laana.RELIGION IS THE OPIUM OF THE PEOPLE-KARL MAX
 
Well said mkuu.....

Hivi mtu unapata faida gani kumsimanga marehemu....mtu ambaye hakusikii wala hakuoni...mtu ambaye hataguswa na maneno yako kamwe....kuendelea kumjadili au kumsimanga marehemu...ambaye ni mwanadamu kama sisi...ni kuupoteza muda ambao ungetufanya turekebishe pale ambapo tunahisi alikosea kama mwanadamu na kuyaenzi yale mazuri aliyotuachia....
 
Nyerere wetu, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Tanganyika na Rais wa kwanza wa Tanganyika na Tanzania, kasingiziwa mengi sana.

Ntaanza kuyataja hapa mambo 7 aliyosingiziwa na ntatowa sababu kwanini kasingiziwa.

1) Nyerere anasingiziwa kuwa kapigania Uhuru wa Tanganyika.

Si kweli, Nyerere hakupigania "Uhuru wa Tanganyika". Vita gani alivyopigana kudai Uhuru kama "Kapigania Uhuru"?

2) Nyerere anasingiziwa kuwa kaasisi TANU.

Si kweli, Nyerere hakuasisi TANU wala hajatowa jina la TANU.

3) Nyerere anasingiziwa kuwa ni mzalendo na anawaamini na kuwapenda Watanganyika na Watanzania.

Si kweli, Nyerere hajawahi kuipenda Tanganyika. Kwanini aliifuta kwenye ramani ya dunia kama anaipenda?

Si kweli, kuwa ni mzalendo. Nyerere hajawahi kumuamini mtu yeyote mwenye asili ya Kiafrika, Nyerere alimuamini mtu mmoja tu katika maisha yake yote, nae ni Mzungu aliyekuwa katibu wake mpaka kufa kwake.

4) Nyerere anasingiziwa kuwa ni Daktari.

Si Kweli, Nyerere alishindwa kwenye sayansi na akaamuwa kuchukuwa masomo ya sanaa, Nyerere ni msanii.

5) Nyerere anasingiziwa kuwa ni msomi wa kwanza kutokea Tanganyika mwenye "Masters Degree".

Si kweli, kuna Watanganyika waliokuwa na udaktari "Phd" kabla yake, ushahidi ni akina Muhimbili, Sewa Haji, Kibasila na wengi wengineo.

6) Nyerere anasingiziwa kuwa ni kipenzi cha Watanganyika na Watanzania.

Si kweli, hakuna kiongozi Tanzania hii aliyewahi kutaka kupinduliwa au kuuliwa mara nyingi zaidi ya Nyerere.

7) Nyerere anasingiziwa kuwa hajaiba,

Si kweli, BOT kabla ya Nyerere kung'atuka iliwaka moto na hakuna senti moja iliyobakia, ni nani alichukuwa? ni nani alichunguza?

Kamasi Nyerere aliyeiba basi ni Mtei wa Chadema, aje hapa Mtei bado yuko hai, ni vipi BOT iliwaka moto mpaka kuteketeza kila kitu?

Mengine malizia wewe, mimi nikirudi naonesha jinsi alivyo singiziwa mengi mengine.

Nikirudi narudi na mengine saba aliyosingiziwa Nyerere.

Madam, naomba kuuliza kaswali kadoogo! kabla ya kuandika hii kitu ulivuta sigara ----- au?
 
Hivi hamjui kama FF alishawahi kulazwa Milembe! Sasa akili imepinduka hayuko sawa kisaikologia.
 
Anasingiziwa na nani? Kikwete naye siku hizi ni daktari. Je, naye anasingiziwa?
tehe tehe aha aha alii


Ushahidi kwamba alishindwa masomo ya sayansi uko wapi? Na kwani wote waitwao madaktari wamesomea masomo ya sayansi? Kikwete naye kasomea masomo ya sayansi?



Sasa kama BOT iliwaka moto na hakuna senti moja iliyobakia, kwa nini unauliza nani alichukuwa? Nani alichukuwa nini kama hakuna senti moja iliyobakia?



Hata mantiki nyepesi tu zinakushinda! Unasema BOT iliwaka moto mpaka kuteketeza kila kitu halafu kwa wakati huo huo unadokeza kwamba huenda Nyerere aliiba. Nyerere ataibaje vitu vyote vilivyoteketezwa na moto? Aliiba majivu?
aha ahaahaahahaha
aliiba majivu hii kali
 
faizyfoxy unajua maana foxy ndugu au unajiita maijina yasiyo na staha hata mada zako kweli zimekaa kifoxyfoxy wewe ni malaya uliye kubuu
 
Mahesabu mengine ni ya kitoto sana.

(a) Wakati wa Nyerere Tanzania ilikuwa na watu milioni 20-plus wakati wa Kikwete Tanzania ina watu milioni 40-plus. Hata Marekani wakati wa Nyerere Dow iliwakua chini ya 500 wakati leo hii inazidi 17,000.
(b) Wakati wa Nyerere hakukuwa na waalimu wa kufundisha vyuo vikuu ilibidi awaandae mwenyewe, wakati wa Kikwete alikuta waalimu wengi wa vyuo wakina Mukandala wakiwa tayari walishaandaliwa na Nyerere. Hata Kikwete mwenyewe aliandaliwa na mfumo wa Nyerere.

Kwa nini ulinganishe Nyerere na Kikwete badala ya kumlinganisha Kikwete na wenzake waliopo madarakani leo leo akina Kagame na Kenyatta. Au kwa nini usimlinganishe Nyerere na wale waliokuwapo madarakani wakati wake akina Amini, Habyarimana, Kayibanda na Mzee Kenyatta ?
hii nyerere na idd amin yote mizi,havezi fananisha na kenyatta,kenyatta msingi yake ndiyo maana kenya iko na economy strong kuliko east africa yote,hii wizi yote naendelea nchini naanza nyerere naiba jumba ya watu,viwanda na hata elimu nashuka toto ya form 1 hajui hata andika barua,vatu napanga line hata sukari,mafuta ya pikia,sabuni.hii mtu ndiyo naangusha nchi.
 
faizyfoxy unajua maana foxy ndugu au unajiita maijina yasiyo na staha hata mada zako kweli zimekaa kifoxyfoxy wewe ni malaya uliye kubuu
Ve kwanini hamna uliza mama yako natembea na vatu ngapi kabla ya baba yako?kama havezi decent conversation hapana comment.
 
Mnadai haki sawa kama wanawake! Mwanaume halalamiki hovyo bali anakomaa na maisha mpaka kinaeleweka. Huwezi kukuta waislamu matajiri wakilalamika hovyo ila ni kawaida kwa wanaoshinda kwenye gahawa kulalamika eti nyerere ndio amewafanya wawe maskini.

Wengi wa hawa Jamaa wameathirika Kisaikolojia.Mimi nilitoa Ushauri wawatafute wataalamu wa Saikolojia au Wachungaji wajaribu kuwafariji na kuwafanya wajione wao nao wanaweza.
 
hii nyerere na idd amin yote mizi,havezi fananisha na kenyatta,kenyatta msingi yake ndiyo maana kenya iko na economy strong kuliko east africa yote,hii wizi yote naendelea nchini naanza nyerere naiba jumba ya watu,viwanda na hata elimu nashuka toto ya form 1 hajui hata andika barua,vatu napanga line hata sukari,mafuta ya pikia,sabuni.hii mtu ndiyo naangusha nchi.

Daaah ni kweli nyerere alitufanya wajinga ila maneno yako makali mno usirudie tena.
 
11. Wanasema kuwa alikuwa mkabila ndio maana idadi kubwa jeshini na polisi ilikuwa ni wakurya, si kweli ndio maana neno "arro" linaonekana ni la kipolisi.

Nyerere hakuwa mkurya, ni mzanaki, acha kupotosha na chuki zenu za kidini.
 
Nimuulize Mohamed Said wakati kuna nukuu ya Nyerere mwenyewe humuhumu JF? Fikiri.

Wazo lilitokea Burma walipokuwa askari Abdul na Ali Sykes.

Nyerere TAA aliikuta na alikaribishwa na hao hao akina Abdul na Ali Sykes, na akaishi kwao, na wakamjulisha wazee wa Dar.

Ni heshima kubwa sana alipewa kwa usomi wake.

Baada ya miezi 13, hapo 1954, tukaanzisha TANU. Jina hili lilipendekezwa na akina Abdul Sykes. Walikuwa wamelifikiria tangu zamani, walipokuwa askari vitani huko Burma (Vita vya Pili). - Nyerere

Chanzo: Jamii Forums
Bibie tatizo lako hutaki kuambiwa kitu. Nimesema hivyo makusudi tupate kuelewana maana ulichosema wewe ni kwamba Nyerere hakuwa muasisi wa TANU hukusema TAA. Ndio sababu ya kukwambia Muulize Mohamed Said kwa sababu yeye anajua kundi la watu 17 ni kina nani hao wewe huwajui..

Ukweli ni upi:-
1. Nyerere alichaguliwa kuwa rais wa TAA April 1953 kabla ya kuzaliwa kwa TANU.
2. Jina la TANU alipendekeza kwa kusahihisha jina la mwanzo ni Ally Sykes sio Abdul.
3. Waasisi wa TANU wapo wazee wanaodaiwa kuwa 17 na Nyerere alikuwa kiongozi wao.
4. Ni Abdulwahid Sykes na Mwapachu walokibadilisha chama kutoka TAA baraza la Ki -Saigon kuwa TAA inayopigania Uhuru wa wananchi. kifupi Abdul alimpindua baba yake mzee Kreist Sykes uongozi wa chama.

Wazo la kuikomboa nchi lilitokana na wapiganaji wa kiafrika kule Burma - Sawa ilikuwa mwaka gani na hao wapiganaji wote walikuwa TANU ama wengine walikuwa na mawazo tofauti ua kichama? Uje tunazungumzia TANU hapa iweje rais wa chama usime wewe sio muasisi wa chama ilihali ana kadi namba moja?

Kitu muhimu hapa pengine ungeonyesha jinsi gani Abdulwahid Sykes alivyokuwa hana tamaa. Yaani mtu aloanzisha Chama ameweza kukaa pembeni akawapa watu waloweza kufanya mageuzi ambayo mwiso wa siku yeye hakupata nafasi ya kufaidika nayo! Mwenyezi Mungu ampe kauli thabit
 
Back
Top Bottom