Nyerere alisingiziwa mengi sana

Nyerere alisingiziwa mengi sana

Nyerere alikuwa na vision kali sana juu ya taifa hili,alitaka kujenga taifa linalojitegemea kiuchumi.Aliasisi sera na mipango mikskati mingi ya kimaendeleo ktk kuhakikisha kuwa vision yake inatimia.Alianzisha viwanda vingi,ndio kuna makosa ya kisera yalifanyika ktk kuvisimamia viwanda hivi ikiwemo kosa la kufungua matawi ya chama tawala ktk viwanda hivi na kusababisha siasa kuingiliana na utaalamu ktk sekta ya viwanda.Nyinyi mliofuatia mkaona suluhu ni kuwauzia wageni hivi viwanda tena kwa bei ya kutupa kumbe mliwauzia matapeli waliotaka kuvitumia viwanda na mashirika ya umma kujipatia fedha za mkopo IMF na WB kisha kuingia nazo mitini.Mmeshindwa kuiendeleza SIDO na VETA kwa kuvifanya injini ya mapinduzi ya viwanda na teknolojia sasa mmebaki kutembeza mabakuli ya kuombea fedha za kufadhili miradi mbalimbali hapa nchini. Misingi yote muhimu ya kiuchumi mmeua,halafu bado mnamlaumu Nyerere. Hawa unaowasifia tayari wameshaturudisha kwenye ukoloni mambo leo.

Na hiyo ina "fall" wapi katika masingizio saba niliyoyaweka?

Mimi ningefurahi ungeanza na namba moja tuijadili halafu twende namba mbili, for the record.
 
Huyu bibi ni udini tu unaomsumbua!Watu kama hawa ndio Nyerere aliwakemea hadharani!Laiti kama Nyerere angalikuwa muislam basi huyu bibi angempamba kwa kila namna!
It will take forever kumpata rais kama Nyerere!whether u like it or not.

Katika yote saba niliyoyaweka huo udini uko wapi? wewe sasa ndiyo unaongelea udini si mimi.

Hebu funguka kidogo kimawazo tujadiliane vyema bila kuingiza mambo ya dini za watu, wewe una dini yako mimi nnayangu, tubaki hivyo hivyo bila kuziingiza hapa. Tujadili yaliokuwepo.
 
faizafoxy ni msichana ambaye ni radicalism na wafia dini, hapa unataka kuleta malumbano ya kidini na siyo nyerere.

Hapana mimi si msichana mimi ni mtu mzima.

Katika yote saba niliyoyaweka huo udini uko wapi? wewe sasa ndiyo unaongelea udini si mimi.

Hebu funguka kidogo kimawazo tujadiliane vyema bila kuingiza mambo ya dini za watu, wewe una dini yako mimi nnayangu, tubaki hivyo hivyo bila kuziingiza hapa. Tujadili yaliokuwepo.

Au wewe kwa kuwa ni Mmarangu imekugusa hiyo ya Mtei?
 
faizafoxy japo ni kada mwenzagu Wa ccm inaonekana kina Mohammed said mpo wengi sana kwenye hii nchi na behind the scene kuna agenda mbeba.

mtu mzima ndio najua ila akili ya kisichana.
 
Labda na mimi nikuulize swali kidogo,hivi hayo unayosema nyerere kasingiziwa ilistahili aambiwe nani unaedhani alistahili kupewa sifa hizo,
 
Na hiyo ina "fall" wapi katika masingizio saba niliyoyaweka?

Mimi ningefurahi ungeanza na namba moja tuijadili halafu twende namba mbili, for the record.

Nimelazimika kutoka nchi ya mada ili kuumbua unafiki wako.Sijawahi kukuona ukileta mada za kumkosoa aidha Kikwete au Mwinye.Wewe ni Nyerere na Mkapa tu,kwani hao wengine ni malaika?
 
Nimelazimika kutoka nje ya mada kidogo ili kuumbua unafiki wako.Sijawahi kukuona ukileta mada za kumkosoa aidha Kikwete au Mwinye.Wewe ni Nyerere na Mkapa tu,kwani hao wengine ni malaika?
 
Katika yote saba niliyoyaweka huo udini uko wapi? wewe sasa ndiyo unaongelea udini si mimi.

Hebu funguka kidogo kimawazo tujadiliane vyema bila kuingiza mambo ya dini za watu, wewe una dini yako mimi nnayangu, tubaki hivyo hivyo bila kuziingiza hapa. Tujadili yaliokuwepo.
Faiza foxxxxy una kipaji kikubwa sana,sema labda haujakijua au unakijua ila unakitumia pasipo stahili,
Unakipaji cha ujazaji chuki kwa wavivu wa kufikiri,kipaji hiki kinafaa sana uwe mkufunzi ktk makundi ya kigaidi na kwe makundi ya wabaguzi,hii italeta ufanisi sana ktk makundi hayo nlotaja,hebu jaribu kutumia kipaji hiki huko utaona manufaa yake,ni mawazo yangu na ushauri tu
 
4) Nyerere anasingiziwa kuwa ni Daktari.

About Nyerere

Honoraries and Award

As a result of his good work, different institutions and universities honored Mwalimu Nyerere to mark his contributions to Tanzania, Africa, developing countries and the entire world.

Honorary Degrees and Awards

He received honorary degrees from the following:
1. University of Edinburgh (United Kingdom)

2. University of Dugueshe (United States of America)

3. Cairo University (Egypt)

4. University of Nsukka (Nigeria)

5. University of Ibadan (Nigeria)

6. University of Monrovia (Liberia)

7. Toronto University (Canada)

8. Havard University (United States of America)

9. Howard University (United States of America)

10. Ljubliana (Yugoslavia) - Honorary Doctoral of Law (26 March 1985)

11. Pyongyang University (Korea) - Honorary Doctorate of Philosophy (28th March 1985)

12. National University of Lesotho (Lesotho)

13. The State House Dar es Salaam (Tanzania) - Honorary Degree for Diplomacy (20th Sept, 1985)

14. Havana University of Cuba (Cuba) - Honorary Degree of Doctor Of Philosophy (30th Sept 1985)

15. University of Dar es Salaam (Tanzania) - Honorary Degree of Literature Honoris Causa (13th Sept 1986)

16. Universities of Philippines (Philippines) - Honorary Doctorate of Humanities (12th July 1991)

17. Manila (Philippines) - Honorary Doctor Degree (12th October 1992)

18. Makerere University Kampala (Uganda) - Honorary Doctor of Laws (29th January 1993)

19. Open University of Tanzania (Tanzania) - Doctor of Letters Honoris Causa (15th March 1997)

20. Claremont University Centre (United States of America) - Doctor of Laws for Claremont graduate School California (17th May 1997)

21. Sokoine University of Agriculture (Tanzania) - Doctor of Philosophy Honoris Causa (28th November 1997)

22. University of Fort Hare (South Africa) - Doctor of Laws Honoris Causa (23rd April 1998)

23. Lincoln University (United States of America) - Honorary Degree of Laws (5th May 1998)

Mwalimu Nyerere | Julius Nyerere; Life Times Legacy
 
Alitukanwa kikwete bungeni kwamba ni dhaifu lakin hakukuwa reaction yoyote kwa wananchi, lakini hapohapo bungeni yalisemwa madhaifu ya nyerere kukatokea reactions kubwa sana ya watanzania, kati ya hao ni yupi ni kipenzi cha wananchi?!
 
Nimelazimika kutoka nchi ya mada ili kuumbua unafiki wako.Sijawahi kukuona ukileta mada za kumkosoa aidha Kikwete au Mwinye.Wewe ni Nyerere na Mkapa tu,kwani hao wengine ni malaika?

Hapa sikosowi nnalamika Nyerere "kusingiziwa", siioni sababu ya wewe kuruka mada, rudi tujadili moja baada ya lingine kwa faida ya wengi.
 
Alitukanwa kikwete bungeni kwamba ni dhaifu lakin hakukuwa reaction yoyote kwa wananchi, lakini hapohapo bungeni yalisemwa madhaifu ya nyerere kukatokea reactions kubwa sana ya watanzania, kati ya hao ni yupi ni kipenzi cha wananchi?!

Hakuna mjadala katika hilo, Nyerere ni kipenzi cha wengi, mimi ni mmoja wa waliompenda Nyerere. Lakini mapenzi yetu yasitutie upofu mpaka "tukamsingizia" vitu ambavyo si vyake.
 
About Nyerere

Honoraries and Award

As a result of his good work, different institutions and universities honored Mwalimu Nyerere to mark his contributions to Tanzania, Africa, developing countries and the entire world.

Honorary Degrees and Awards

He received honorary degrees from the following:
1. University of Edinburgh (United Kingdom)

2. University of Dugueshe (United States of America)

3. Cairo University (Egypt)

4. University of Nsukka (Nigeria)

5. University of Ibadan (Nigeria)

6. University of Monrovia (Liberia)

7. Toronto University (Canada)

8. Havard University (United States of America)

9. Howard University (United States of America)

10. Ljubliana (Yugoslavia) - Honorary Doctoral of Law (26 March 1985)

11. Pyongyang University (Korea) - Honorary Doctorate of Philosophy (28th March 1985)

12. National University of Lesotho (Lesotho)

13. The State House Dar es Salaam (Tanzania) - Honorary Degree for Diplomacy (20th Sept, 1985)

14. Havana University of Cuba (Cuba) - Honorary Degree of Doctor Of Philosophy (30th Sept 1985)

15. University of Dar es Salaam (Tanzania) - Honorary Degree of Literature Honoris Causa (13th Sept 1986)

16. Universities of Philippines (Philippines) - Honorary Doctorate of Humanities (12th July 1991)

17. Manila (Philippines) - Honorary Doctor Degree (12th October 1992)

18. Makerere University Kampala (Uganda) - Honorary Doctor of Laws (29th January 1993)

19. Open University of Tanzania (Tanzania) - Doctor of Letters Honoris Causa (15th March 1997)

20. Claremont University Centre (United States of America) - Doctor of Laws for Claremont graduate School California (17th May 1997)

21. Sokoine University of Agriculture (Tanzania) - Doctor of Philosophy Honoris Causa (28th November 1997)

22. University of Fort Hare (South Africa) - Doctor of Laws Honoris Causa (23rd April 1998)

23. Lincoln University (United States of America) - Honorary Degree of Laws (5th May 1998)

Mwalimu Nyerere | Julius Nyerere; Life Times Legacy

Ooh, vyema kabisa, kwa hiyo Nyerere hakusingiziwa Udaktari, ni kweli kabisa ni Daktari na umedhihirisa hilo bila ya shaka yoyote. Ukweli kabisa nimeridhika na data ulizoshusha na Nyerere alipewa u Daktari wa heshima na ndiyo maana ni Dr. Nyerere.

Ajabu ni pale watu wanapokejeli u Daktari wa Kikwete. Hauoni kuwa ni "double standard" wakati wote wametunukiwa u Daktari wa heshima?

Upo hapo ulipo?
 
Fungua thread tumjadili Kikwete, hapa tunamjadili Mwenye Heri Dr. Julius K. Nyerere
 
Sijui Nyerere alikufanyiaga nini maskini wewe! Your hatred seems so personal yani..well, learn to forgive madam!
 
Ni uhayawani kumjibu mtoa mada husika kuhusu Nyerere Kusingiziwa...
 
Ooh, vyema kabisa, kwa hiyo Nyerere hakusingiziwa Udaktari, ni kweli kabisa ni Daktari na umedhihirisa hilo bila ya shaka yoyote. Ukweli kabisa nimeridhika na data ulizoshusha na Nyerere alipewa u Daktari wa heshima na ndiyo maana ni Dr. Nyerere.

Ajabu ni pale watu wanapokejeli u Daktari wa Kikwete. Hauoni kuwa ni "double standard" wakati wote wametunukiwa u Daktari wa heshima?

Upo hapo ulipo?

Angalia hiyo list ya Mwalimu JK Nyerere. Lakini umepata kuona Mwlimu akijitambulisha na hizo zawadi.

Kama huu U-DR tunaweza kupeana na ikawa Utambulisho Rasmi wa Mtu ,kuna haja gani ya kusoma/shule.

Level aliyofikia Kikwete ya kuwa Raisi ni heshima tosha na hanakuna haja ya kuchafua jina lake na U-Dr wa kupewa.
Ataendelea kuwa neo Raisi hata mwisho wa Maisha yake.

U-Dr unafaa wajukuu zake waje wasome kwenye wasifu wake kuwa alipata kutunukiwa U-Dr wa heshima kwenye eneo moja, mbili nk.

Na siyo kuwa wapa muda wajiulize kasomea wapi huu U-Dr na kwenye Fani gani.

Ni vizuri kuishi uhalisia na kwa mfumo wa Kijamii-matumizi majina au hadhi yasiyo sahihi kwa muda usiosahihi kwa mahala pasipo sahihi vinashusha heshima na dhamani ya vitu husika kwenye jamii.

Nyerere angekua muislamu sidhani kama ungehara kiasi hiki.
 
Back
Top Bottom