Kwetu Ngoreme
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 489
- 189
10.Wanasema eti utawala wa Nyerere haukuwa na madeni makubwa,si kweli kwani utawala wake uliandamwa na madeni lukuki na tawala zilizofuatia ndizo zilizopunguza madeni ya taifa hasa utawala wa Kikwete.
Hili halitaji elimu ya chuo kikuu kujibu u.p.u.z.i kama huu. Ebu tuambie Kikwete kapunguza deni la taifa kwa kiasi gani? Nadhani hapo ulipo moyo wako umejaa chuki, fitina, uhasama na visasi juu ya utawala wa viongozi wa dini fulani. Maana post zako zote unamsifia Mwinyi na Kikwete. Ndugu yangu usiwe mtumwa wa kifikra na kimawazo maisha yenyewe mafupi ishi kwa upendo uwe na amani moyoni mwako.