Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,565
- 14,325
Siafiki kabisa post yako hii mama,.
Ngoja nijaribu kujibu.
1. Kupigania uhuru si lazima kwa silaha kuna direct struggle na indirect struggle au hujui?
2. Ni miongoni mwa waasisi wa TANU
3. Lengo ni kutaka nguvu ya pamoja. Au wewe hata wahenga huwaamini? Umoja ni nguvu walishasemaga.
Katibu mmoja tu ambaye ni kama rafiki yake ndio shida? vipi mawaziri aliowateua si kwa kuwa aliwaamini?
5.Daktari si lazima atibu au asome sayansi,. Wapo PHD holders wa fani mbalimbali wewe unawaitaje?
DR. Mwakyembe amesoma sayansi?, marehem Dr. Mvungi vipi?
Upo pia udaktari wa heshima. Dr. Jakaya Kikwete.
6. Mitume wa Mwenyezi Mungu hutafutwa wauwawe zaidi kuliko hata wakina Gwajima.
Kuuwawa kwa Abraham Lincolin, J.F.Kennedy kasome. si kwakuwa walichukiwa kuliko Obama au Bush
7. Leta ushahidi maana dai lako ni kubwa au kasome law of evidence
Ni juzi tu mwanasheria wa J. Kaseja amesema ofisi yake iliteketea kwa moto pamoja na nyaraka zote mbona hukuja hapa kutuambia aliyeiba nyaraka za zilizohusu kesi ya Kaseja na Yanga?