Nyerere alisingiziwa mengi sana

Nyerere alisingiziwa mengi sana

Naona hauelewi kuwa Nyerere alishapinduliwa na ujumbe ukapelekwa kwa U Thans, aliyekuwa mkuu wa Umoja wa Mataifa wakati huo. Na aliyeyageuza mpinduzi hayo na aliyemuokoa Nyerere na utawala wake ni kati ya hao wajaa "laana".

Unalijuwa hilo?

Nimefurahi kuwa hujakataa kusingiziwa huko kwa Nyerere.

Pedagogic at Heart, Former UN Secretary General wakati ule alikuwa alikuwa anaitwa U Thant sio
U Thans.

Kwa kutumia maneno yako mwenyewe, shule hukwenda kusomea ujinga!
 
FaizaFoxy, hivi unajua BOT iliungua mwaka gani na ni nani alikuwa Gavana wakati huo!?
 
Last edited by a moderator:
Anasingiziwa na nani? Kikwete naye siku hizi ni daktari. Je, naye anasingiziwa?

Ushahidi kwamba alishindwa masomo ya sayansi uko wapi? Na kwani wote waitwao madaktari wamesomea masomo ya sayansi? Kikwete naye kasomea masomo ya sayansi?

Sasa kama BOT iliwaka moto na hakuna senti moja iliyobakia, kwa nini unauliza nani alichukuwa? Nani alichukuwa nini kama hakuna senti moja iliyobakia?

Hata mantiki nyepesi tu zinakushinda! Unasema BOT iliwaka moto mpaka kuteketeza kila kitu halafu kwa wakati huo huo unadokeza kwamba huenda Nyerere aliiba. Nyerere ataibaje vitu vyote vilivyoteketezwa na moto? Aliiba majivu?

Unaona jinsi Watanzania tunavyokosa mantiki.

Hapa tunachotaka si maswali, kama unayajuwa elezea, ilikuwa hivi na hivi na hivi.

Soma vizuri, hayo ni "kusingiziwa", yanaweza kuwa yote anasingiziwa na si ukweli.

Kama unaujuwa ukweli kuhusu point yooyote katika hayo saba utuelezee.
 
Mara nyingi huwa sitamani hata kuziona post au comment za huyu sijui ni dada, mama au bibi ila ndio hivyo tena waswahili tunasema macho hayana pazia natamani hata nijue kiundani nini mwalimu alimkosea, kuna siku nilikaa nikawaza au ni mtoto wa nje wa Mwalimu alitelekezwa ila nikasema moyoni Mwalimu alikuwa muadilifu asingeweza kufanya hivyo, jibu likawa ni UDINI wa huyu faiza ndio unamsukuma kuandika yote hayo.

Binafsi namuombea faiza ipo siku ataukubali ukweli na hapo ndio atakapokuwa huru kwelikweli.
 
  • Thanks
Reactions: ffn

Tatizo kubwa nnaloliona ni watu kukosa mantiki, sasa wewe kwanini unanishutumu na hyo mambo "anasingiziwa"?

Tuanze na namba moja, jee hauioni mantiki iliyopo?

Hapo sasa inatakiwa, kwa faida ya wengi uje na historia na utuelezee kuwa hakusingiziwa, alipigania hivi na hivi na hivi.

Si wewe kuja na kuanza kunishambulia mimi niliyetowa fursa ya watu kumfahamu mzee Nyerere.
 
Pedagogic at Heart, Former UN Secretary General wakati ule alikuwa alikuwa anaitwa U Thant sio
U Thans.

Kwa kutumia maneno yako mwenyewe, shule hukwenda kusomea ujinga!

Ahsante kwa kurekebisha, si unaona, hayo ndiyo tuyatakayo.

Wengi tunapata faida, unapoona si sawa na kuna kosa unaelezea kosa badala ya watu wanaokuja kulaumu.
 
wafuatiliaji tunaomba hoja kwa hoja ili kuweka kumbu kumbu sawa

Hayo ndiyo maneno tuyatakayo si mtu anakuja kushambulia badala ya kusema , hapana, FF hapo umekosea, ilikuwa hivi na hivi na hivi au hapo hakusingiziwa ni ukweli na ilikuwa hivi na hivi na hivi.

Hii nyuzi haina makusudio ya kumponda Mzee Nyerere kwa wanaoelewa, hii nyuzi inatowa challenge na challenge yenyewe ni nani wanaoijuwa nchi ilipotoka na anaeujuwa ukweli dhidi ya huu wa kusingiziwa aweke mambo sawa.
 
Japo Kweli Nyerere Alikuwa Mzigo Kwa Taifa Lakini We Humchukii Kwa Ajili Hiyo We Ni Mdini Ulopitiliza Ambaye Tunakudharau Hata Sie Waisilamu Wenzio Kwa Mfano Ni Kitu Gani Kikwete Amewafanyia Waislam Kama Sio Hii Mahakama Ya BAKWATA Iliyofeli Kwa Kuchanwa Chanwa Na Maaskofu.
 
Nina uhakika lugha ya Kiswahili unaijua vizuri kabisa. Ila inaonekana maana pekee ya "kupigania" uliyonayo ni kukunjiana ngumi au kumwagiana risasi. Kama hii ndiyo maana uliyonayo sidhani kama kuna watu ambao wanaweza kusema kweli "walipigania" uhuru wa nchi yetu.

Naam, au kama ilivyokuwa Kenya na vita ya Maumau aliyopigana Kenyata. Hili la kwanza ni sahihi kusema Nyerere "alidai" Uhuru kisomi kabisa bila kumwaga damu na hiyo ni sifa kubwa sana badala ya kumsingizia kuwa "kapigania" au unaonaje?

Kwangu mimi nnapomgeza sana kwa kuwa aliweza kudai Uhuru kwa ma point tu na ku "organize" vizuri madai ya Uhuru badala ya wale wanaomsingizia "kapigania".

Kama ni historia ya kupigana na wakoloni basi hiyo itakuwa ni akina Songea bi Rauf na akina Mkwawa na wengineo ambao walipigana na kumwaga damu zao kumpinga mkoloni lakini mapigano yao hayakuzaa matunda na tukatawaliwa mpaka alipokuja Nyerere, bila kupigana akatuletea Uhuru. Hii ni sifa kubwa sana kwa msomi yoyote.
 
Japo Kweli Nyerere Alikuwa Mzigo Kwa Taifa Lakini We Humchukii Kwa Ajili Hiyo We Ni Mdini Ulopitiliza Ambaye Tunakudharau Hata Sie Waisilamu Wenzio Kwa Mfano Ni Kitu Gani Kikwete Amewafanyia Waislam Kama Sio Hii Mahakama Ya BAKWATA Iliyofeli Kwa Kuchanwa Chanwa Na Maaskofu.
Naona hata wewe umekosa mantiki ya usomi. Hivi hapo kuna nini ulichokiona kinakufanya useme yote hayo? Hebu tazama Mzee Mwanakijiji alivyojibu, yeye ni mpenzi mkubwa wa Nyerere lakini hakuja na chuki na matusi kaja na points ambazo tunaweza ku discuss na kuwekana sawa. Unajuwa maana ya "kusingiziwa"? Hapa hakuna mambo ya dini kabisa, ondoa hilo. Nisome vizuri bila hasira utaelewa haya madongo yameelekezwa wapi.
 
Last edited by a moderator:
watu kama FaizaFoxy ni muhimu katika ya future ya taifa letu ukizingatia anajaribu kuwaamsha waliolala wajue wanatoka wapi na wanakwenda wapi mi anachoniuzi ni pale anapodai mambo ya haki sawa kati mume na mke ,anaupotosha ulimwengu kwa kutumia vifungu vilivyotungwa na shetani ili aweze kufanikiwa yaani kasahau kama mwanamke ametoka ubavuni mwangu.otherwise mi najitolea kuoa binti yake aone venye nitamtreat poa
 
Hata mantiki nyepesi tu zinakushinda! Unasema BOT iliwaka moto mpaka kuteketeza kila kitu halafu kwa wakati huo huo unadokeza kwamba huenda Nyerere aliiba. Nyerere ataibaje vitu vyote vilivyoteketezwa na moto? Aliiba majivu?

Nisome vizuri hiyo point, punguza hasira.

Nimeandika kama si Nyerere basi ni Mtei na hili la Mtei tulitazame vizuri, Nyerere hakuna mali ayoacha kama tujuavyo, Mtei Jee? kama mtumishi wa umma wa enzi hizo mali kazitowa wapi?
 
faizafoxy ni msichana ambaye ni radicalism na wafia dini, hapa unataka kuleta malumbano ya kidini na siyo nyerere.
 
Huyu bibi ni udini tu unaomsumbua!Watu kama hawa ndio Nyerere aliwakemea hadharani!Laiti kama Nyerere angalikuwa muislam basi huyu bibi angempamba kwa kila namna!
It will take forever kumpata rais kama Nyerere!whether u like it or not.
 
Naona hata wewe umekosa mantiki ya usomi. Hivi hapo kuna nini ulichokona kinakufanya usome yote hayo?

Hebu tazama Mzee Mwanakijiji alivyojibu, yeye ni mpenzi mkubwa wa Nyerere lakini hakuja na chuki na matusi kaja na points ambazo tunaweza ku discuss na kuwekana sawa.

Unajuwa maana ya "kusingiziwa"?

Hapa hakuna mambo ya dini kabisa, ondoa hilo. Nisome vizuri bila hasira utaelewa haya madongo yameelekezwa wapi.

Nyerere alikuwa na vision kali sana juu ya taifa hili,alitaka kujenga taifa linalojitegemea kiuchumi.Aliasisi sera na mipango mikskati mingi ya kimaendeleo ktk kuhakikisha kuwa vision yake inatimia.Alianzisha viwanda vingi,ndio kuna makosa ya kisera yalifanyika ktk kuvisimamia viwanda hivi ikiwemo kosa la kufungua matawi ya chama tawala ktk viwanda hivi na kusababisha siasa kuingiliana na utaalamu ktk sekta ya viwanda.Nyinyi mliofuatia mkaona suluhu ni kuwauzia wageni hivi viwanda tena kwa bei ya kutupa kumbe mliwauzia matapeli waliotaka kuvitumia viwanda na mashirika ya umma kujipatia fedha za mkopo IMF na WB kisha kuingia nazo mitini.Mmeshindwa kuiendeleza SIDO na VETA kwa kuvifanya injini ya mapinduzi ya viwanda na teknolojia sasa mmebaki kutembeza mabakuli ya kuombea fedha za kufadhili miradi mbalimbali hapa nchini. Misingi yote muhimu ya kiuchumi mmeua,halafu bado mnamlaumu Nyerere. Hawa unaowasifia tayari wameshaturudisha kwenye ukoloni mambo leo.
 
Last edited by a moderator:
watu kama FaizaFoxy ni muhimu katika ya future ya taifa letu ukizingatia anajaribu kuwaamsha waliolala wajue wanatoka wapi na wanakwenda wapi mi anachoniuzi ni pale anapodai mambo ya haki sawa kati mume na mke ,anaupotosha ulimwengu kwa kutumia vifungu vilivyotungwa na shetani ili aweze kufanikiwa yaani kasahau kama mwanamke ametoka ubavuni mwangu.otherwise mi najitolea kuoa binti yake aone venye nitamtreat poa

Mstari wa mwanzo umeandika vizuri kabisa. Si wengi wanaelewa challenges iliopo kwenye huu uzi, wanakuja wanafoka na kutowa povu na badala ya kuelimisha wanashambulia.

Hapa ndiyo fursa ya watu kuelimishina mazuri ya Nyerere na yale ambayo hata ya mwenyewe alikiri kuwa yeye "si malaika" na kuna ambayo amekosea tuyaache.

Hivi kuelezea ukweli kuhusu wanawake na haki zao nimeshakuwa namfata shetani? makubwa hayo. Nyinyi mnataka siku zote tuwe watumwa zenu? wanawake wote kuanzi sasa hakuna kuwafulia wala kuwapikia wanaume, wao ndiyo watufanyie yote hayo. Khaa, yanini kujitia sugu za mikono?

Hilo la mwisho, umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
 
Back
Top Bottom