Nsaidieni jinsi ya kumwacha huyu

Wanawake tuache hii habari ya kujiweka kwa mwanaume anakufanya kama mke unajishusha sana na hao wazazi wako wanaoneka hawajielewi pia.
 
Wanawake tuache hii habari ya kujiweka kwa mwanaume anakufanya kama mke unajishusha sana na hao wazazi wako wanaoneka hawajielewi pia.

Mhuu maneno yako makal kweli, thanks any way
 
Hili nalipa 90% kwa mtazamo wangu lakin so dont get me wrong,
Je vitu vyangu ntavipataje baada ya hatua hii?
Advice please

mpgie simu na umweleze kuwa mmepata tatizo na unahitaj msaada wake hivyo mkutane sehemu...akikubali kukutana nawe mahali... Wewe pshana nae na uelekee nyumbani kukomba kila kitu afu mambo yote bien....tahadhari ni kwamba hakikisha mishe zote ni siri sana.
 
sipendi tabia ya jinsia yoyote ku-underestimate mtu kwa sababu ya shule, kuna watu wana elimu kubwa na hakuna la maana wanalolifanya hapa duniani.

yani comment zako nazipendaga wewe.. hujui tu. like like like
 
Kuwa na mtoto sio sababu ya kutokumpenda kama ana tabia nzuri maswala ya kujiamini endelea kum shape ivoivo unaweza kumuacha ukapata kimeo zaidi, ukipata anaekumegea penzi nnje, si bora huyo aliye tulia we mpende tu isimtende utaja juta siku moja, hata asipo kufa ukimwacha akakunung,unikia hutapata baraka. Mpende tu huyo huyo
 
Thanks kwa ushauri
 
Ndio ukome kucheza na hisia za watu. Hata yeye anajijua kuwa soko limeshadoda ndio maana amekuganda mkuu huyo ni mkeo huna jinsi.
Sheri ya ndoa inasema ukiishi na mwanamke kwa mda wa miezi6 huyo tayar ni mkeo hata bila ya cheti cha ndoa hata kama utamwacha utalazmika kugawana vitu vyote hata kama ulikuwa na nyumba au shamba mtauza na mtagawana.......
Ndg acha kucheza na hisia za watu ni mwiko kabisa
hizi sheria za mtaani kazi kweli aisee
 
mueleze ukweli kuwa hauna future naye, hawez ishi bila wewe siku ukifa ataishije?

Hahahaha Atajiua Mkuu, ila duh kakosea sana mleta mada, ana sababu zote za kutomuhitaji kwanini alimkaribisha ndani kwake? matatizo mengine tunajitakiaga
 
kwanza kosa kubwa unalo wewe mwenyewe, kwani ulishajiwekea masharti hutaki kuoa mwanamke aliye na mtoto sasa ilkuwaje ukaanza kuishi na huyu mama wa watu. Na lengo lako hasa lilikuwa ni nini maana ukishaanza kuishi na mtu jamii inatambua huyo ni mkeo, sasa wewe ulilkuwa unawaza nini?

Kwanza hutakuwa fair kabisa ukimuacha, madhaifu ni jambo la kawaida hata wewe unayo sema hakuna mtu wa kutueleza hapa. Nakushauri kaa nae mueleze unachokitegemea kutoka kwake na vitu usivyovipenda kwake, na mwambie ajirekebishe maana, mpeleke shule maana ni mkeo mtarajiwa tayari, uwe serious na yeye naamini atabadilika.

Unaweza ukamuacha huyo ukapata bomu kuliko huyo ukaja kujuta katika maisha yako daima, wanadamu hatujakamilika, ni kuvumiliana, kusameheana na kuchukuliana na zaidi sana kupendana
 
Kwa nini uendeelee kuwa mnafiki kwa mtu ambaye humpendi? Hawa ndio wanaume jamani baba yao mmoja na mama yao mmoja, wanawake mwalimu wao kipofu, why can't you wear her shoes! mwambie ukweli kuwa kama hataki shule hakuna ndoa na take it serious na wazazi wake wajue hilo, ili hata ikifika hatua unamwacha watajua ni sababu hiyo ya shule. Pili nenda likizo wakati huo yeye muache kwao bila ugomvi yaani muagane vizuri, then rudi mapema hamisha vitu vyako asijue unakaa wapi na line ya cm badilisha lakini hii itafanya kazi endapo hawafahamu ndugu zako lakini waweza kuwaambia pia kama wanakubaliana na mpango wako wa kumwacha, na najua kabisa utakuwa umeshapata mtu mwingine na ndio maana umekolea huko kwa english love unamuona huyu zilipendwa. Lakini yote kwa yote lazima utamkumbuka tu katika maisha yako yajayo.
 
Habari zenu wana jf, nsiwachoshe na salaam nyingi natumai ni wazima

Ok mimi nina girlfriend ambaye kaishia form 3, mapenzi naye nilianza kama mzaa vile, lakini badae nikajikuta nimezama mazima,

yeye hana kazi na nmejaribu kumtafutia sehemu nyingi lakini hataki kwenda kwani hajiamini na anaogopa sana ki-english, nami sina sehemu nyingine ya kuntafutia zaidi ya sehu hizo mana ndo wengi nawafahamu.

Kiukweli naona napoteza na kumpotezea mda mana siwezi kumuoa kwa sababu hizi
1: kwanza hajiamini hata kidogo,

2: Alishazaa mtoto mmoja na jamaa flani huko nyuma na mimi siwezi oa mtu aliyesha zaa, ( huu ni uamuzi wangu samahani kwa wale watakaohisi nmewakosea ama siko sahihi)

3: Elimu ni changamoto nyingine mana napenda mtu wa kusaidiana maisha

Swala lenyewe sasa:

Mara nyingi tunapogombana huwa anakimbilia kijiua na alishantamkia kuwa kama ntaamwacha basi maisha yake yataisha siku hiyo, hivi hili limekaa aje kisheria? Will I be held guity?

Kwa sasa nina kaa naye na ni mwaka saa natamani haya siku moja niende kazini na nipitilizie huko huko.

Jamani niko katika hali ngumu maana sijui nini cha kufanya, wana jf nawategemea sana kwa ushauri wenu juu ya hili, thanks

Allency, Eti nini? Umekaa nae mwaka mzima? Huyu tayari ni mkeo halali kisheria. Hauwezi tu ukaamka na kumwacha kizembe zembe tu.

Cha kufanya basi,
1. Ukiweza ondoka umwache pale na umwachie kila kitu.
ANGALIZO
  • Mbinu hii inaweza isikusaidie sana maana anapajua unapofanyia kazi, ndugu na marafiki zako hivyo itakuwa ni rashisi sana kukupata na yeye kuhamia kwako yaani kwenye makazi yako mapya
2.Mweleze ukweli kwamba hauna mipango ya kuishi nae kama mke na mme. Hii ni hatari sana ukizingatia wewe ndiye tegemeo lake na ndio maana hataki kufanya kazi.
3. Fanya umafia, tafuta demu mwingine wa kisha uwe close nae kiasi kwamba yeye mwenyewe alifahamu hilo. Hii inaweza kukugharimu na usijaribu kuifanya.
 
Last edited by a moderator:

Thanks bro kwa ushauri
 
Last edited by a moderator:
kwanza kosa kubwa unalo wewe mwenyewe, kwani ulishajiwekea masharti hutaki kuoa mwanamke aliye na mtoto sasa ilkuwaje ukaanza kuishi na huyu mama wa watu. Na lengo lako hasa lilikuwa ni nini maana ukishaanza kuishi na mtu jamii inatambua huyo ni mkeo, sasa wewe ulilkuwa unawaza nini?

Kwanza hutakuwa fair kabisa ukimuacha, madhaifu ni jambo la kawaida hata wewe unayo sema hakuna mtu wa kutueleza hapa. Nakushauri kaa nae mueleze unachokitegemea kutoka kwake na vitu usivyovipenda kwake, na mwambie ajirekebishe maana, mpeleke shule maana ni mkeo mtarajiwa tayari, uwe serious na yeye naamini atabadilika.

Unaweza ukamuacha huyo ukapata bomu kuliko huyo ukaja kujuta katika maisha yako daima, wanadamu hatujakamilika, ni kuvumiliana, kusameheana na kuchukuliana na zaidi sana kupendana

Kwa kumweleza na yeye kuelewa ni vigumu sna, nmejaribu sna mpaka kufikia kutafuta hata rafiki yake wa karibu kumshauri lakin wapi, mpaka mim nafikia hatua hii ya kutaka kuachana kweli nmesota kiasi cha kutosha, sipendi kuumiza hisia za mtu lakin sioni any other way out, thanks kwa ushauri
 
mmh nasikia harufu ya third party kwenye hayo mahusiano yenu
mwambie ukweli kama anataka kuwa na wewe afuate unayomshauri kwasababu ni muhimu kwenu nyote.
 
Wanaume mnajua kuchuma majanga eeeh, misimamo uliyonayo leo juu yake sio mahali pake saizi. Ulishabugi mwanzoni wewe utaanzaje maisha eti mpk sasa unaishi nae na unatamani upotelee kazini mazima? Wakati unajua mapungufu yake, ulijikabidhi kwake kwa nia na lengo gani muhimu hasa???
 
Mimi naomba nipewe tu dili la kushughulikia shughuli nzima ya mazishi pindi mkeo wa kufikia atapojiua...

Otherwise ulikosea tokea mwanzo kwa kuingia kwenye mahusiano pasipo kujua hatma yenu.
 
Back
Top Bottom