Nsaidieni jinsi ya kumwacha huyu

Thanks so much bra for yo time u spent on writting all of these, i really appreciate yo concern.
Kwanza umenijuza mambo mengi mim na wengine kama mim.
As you advised kufanya maamuzi haraka kabla sijachelewa zaidi, je ni maamuzi gani hasa nifanye bila kumuumiza ama kuumiza any part involved mana mwanza mim nlichukulia ni swala dgo, nasikitika kusema hii inanitokea mara ya pili sasa, kweli wanaume tuwe makini sna,
mwanzo nlihisi labda ngeikabili hali hasa aliponidanganya kuwa kamaliza form 4, ila haikuwa kweli,
Kwa ushauri wako ambao ntaujumuisha kwenye upi hasa nifate ungeshauri lipi ama njia gani itumike na kama akijiua mim nko upande upi kwenye swala hili kisheria?

Kumbe hii ni mara ya pili??? Ulikulia kwenye maisha yanayofanana na haya? Suluhisho ni kumuacha lakini kuna haja ya wewe kujiangalia upya. Kwa nini unafanya kitu hicho hicho? Halafu unapoomba uambiwe namna ya kuchukua uamuzi bila ya kuumiza upande wowote unakosea. Maumivu lazima yawepo kwenu nyote na hasa kwa huyo dada. We fanya tu mpango wa kuhama na ujue huyo dada ana tatizo kubwa sana la kisaikolojia. Hana matumaini kabisaaaa zaidi yako. We pia unalo kubwa ila si la hatari kama la mwenzio. Hata umsomeshe vipi na kumfungulia biashara uhusiano wenu haufai kuendelea. Muache mtoto wa watu. Ukiweza kumtafutia mshauri amsaidie fanya hivyo.
 
Habari zenu wana jf, nsiwachoshe na salaam nyingi natumai ni wazima

Ok mimi nina girlfriend ambaye kaishia form 3, mapenzi naye nilianza kama mzaa vile, lakini badae nikajikuta nimezama mazima,

yeye hana kazi na nmejaribu kumtafutia sehemu nyingi lakini hataki kwenda kwani hajiamini na anaogopa sana ki-english, nami sina sehemu nyingine ya kuntafutia zaidi ya sehu hizo mana ndo wengi nawafahamu.

Kiukweli naona napoteza na kumpotezea mda mana siwezi kumuoa kwa sababu hizi
1: kwanza hajiamini hata kidogo,

2: Alishazaa mtoto mmoja na jamaa flani huko nyuma na mimi siwezi oa mtu aliyesha zaa, ( huu ni uamuzi wangu samahani kwa wale watakaohisi nmewakosea ama siko sahihi)

3: Elimu ni changamoto nyingine mana napenda mtu wa kusaidiana maisha

Swala lenyewe sasa:

Mara nyingi tunapogombana huwa anakimbilia kijiua na alishantamkia kuwa kama ntaamwacha basi maisha yake yataisha siku hiyo, hivi hili limekaa aje kisheria? Will I be held guity?

Kwa sasa nina kaa naye na ni mwaka saa natamani haya siku moja niende kazini na nipitilizie huko huko.

Jamani niko katika hali ngumu maana sijui nini cha kufanya, wana jf nawategemea sana kwa ushauri wenu juu ya hili, thanks
hapo nilipokoleza ndo ulipoingia chaka!!!!! we endelea nae tu itakavyokuwa mwisho wa safari utajua huko huko!!!!
 
sheria ya ndoa mwaka 1971 na marekebisho yake 2002 inatambua km kuna ndoa dhania yaan pressumption of marriage endapo mmeishi km mke na mume ndani kwa mda wa miaka miwili. mda wa mwaka 1 mlioish pamoja hautoshi kutumia sheria hii. pia endapo akijiua ikiwa ww utamwacha kwa opinion yangu sioni km utakua umetenda kosa au umevunja sheria yyte ya nchi. ila kwa ushaur wangu si vema ukamuacha km unavyotaka. sijaona ssb ya msingi uliyoitoa hapa kwan unachomlalamikia ni currable. kuwa na mtoto na mtu mngine sio tatizo km unampenda huyo gal. tumia busara kaka
 
We endelea kuishi nae huyo ni mkeo sababu za wewe kutaka kumuacha siyo za msingi kabisa kwenye mapenzi elimu haiuski kabisa muendeleze kiaina siyo lazima elimu hata biashara kutojiamini hiyo inatokana na wewe mfanye ajiamini toka nae hata outings mpe pesa yeye alipe bills na kadhalika kuhusu mtoto unawezapata mchumba ambae hajazaa lakini past yake ametoa mimba 10 mi naona huyo ni wako mmould atakaa poa
 
we ni mzembe kuishi na binti wa watu tena mdogo hvo, utaitwa kibaka bure... afu kuonyesha uzembe wako zaidi ni kua hauko serious na maisha yako, ungekua serious usingekua na chembe ya huruma ungeenda umwambie moja kwa moja aondoke, kujiua unadhani wanajiua kirahisi hivo, ajiue kwa ajili yako we nani? acha utani na maisha, na usirudie ujinga kupotosha watoto wa watu mwisho wa siku unawapotezea
 
Mtt anakusumbua nini wewe ni mtu mwenye roho mbaya sana nakushauri fanya ivi mpeleke shule huyo dada alafu mtt wake mpe sumu afe ili mungu awape mwingine ambae baba atakuwa ni wewe kweli dunia sasa ipo ukingoni huna haya eti simtaki mwanamke mwenye mtt, utakuta wewe mwenye mmezaliwa kibao lkn kila mtu na baba yake fyuuuuuuuuu.
 
Unapoteza muda wako. Kwanza kwanini unaishi naye?chanzo cha hilo tatizo lako liko hapo. Mrudishe kwao au mfukuze ili uendelee na maisha yako. Sisi binadamu hatuishi milele......
 
Kujiua hawezi mana ht huyo aliyemzalisha alimwacha pia lkn hakujiua, ila ikitokea amefanya hivyo unaweza usiwe held guilty by laws ila ukawa held guilty urself kiasi cha kupelekea kushindwa kufanya mambo mengine kutokana na msongo wa mawazo

mpeleke qt km hataki mpe mtaji afanye biashara akishindwa vyote basi utaamua la kufanya ww
 
Mtt anakusumbua nini wewe ni mtu mwenye roho mbaya sana nakushauri fanya ivi mpeleke shule huyo dada alafu mtt wake mpe sumu afe ili mungu awape mwingine ambae baba atakuwa ni wewe kweli dunia sasa ipo ukingoni huna haya eti simtaki mwanamke mwenye mtt, utakuta wewe mwenye mmezaliwa kibao lkn kila mtu na baba yake fyuuuuuuuuu.

Mhuu hii sas noma, kuua tena, thanks any way
 
Kujiua hawezi mana ht huyo aliyemzalisha alimwacha pia lkn hakujiua, ila ikitokea amefanya hivyo unaweza usiwe held guilty by laws ila ukawa held guilty urself kiasi cha kupelekea kushindwa kufanya mambo mengine kutokana na msongo wa mawazo

mpeleke qt km hataki mpe mtaji afanye biashara akishindwa vyote basi utaamua la kufanya ww

Thanks kwa hii, ni kama sas naelelea pata suluhu kupita ushauri wenu wana jf
 
Tatizo hapa ni kuwa nakaa naye, waweza nipa maujanja ya kumpotezea? Mana kila jion lazima nrudi home

kazi unayo, fanya ivi very simple tafuta chumba mahali upange uanze kununua vitu pole pole uko, vikitimia at least vya kuanza maisha anza issue za kudai una safiri kikazi, mara unapotea wiki mara wiki 2 mara hata matumiz kumtumia unapunguza unajidai hali ngumu tengeneza hardship flan na safari haziishi kumbe unaishi geto lingine mdog mdog baada kama ya mwaka atakua kashakuchoka possibly ataaanza kuchepuka kukidhi mahitaji yake ya kimwili na kifinance then inakua easy hata yy kuanza ugomvi wa hapa na pale mwishowe mtaishia kuachana kwa amani ila attempt yoyote ya gafla bin vuuu haitakusaidia ushalikoroga ulinywe na lazima ugaramike kidogo!!!
 
Haya ma maujanja balaa aisee, never thought about it, thanks man for yo time
 
UnaelekeA na wewe pia huji amini, ivi ukiwa Kama mwanamme unashindawa kumpa G/F wako maneno matamu akarudi shule? Au ukampeleka tuition? Eti hajiamini, Sema hamjuaminii... Kuhusu kujiua anae taka kujiua hasemi anakuzuga akili yako keshakuona babu jinga....

"The truth is hard to swallow when you're choking on your pride."
 
Thanks kwa ushauri
 
Habari zenu wana jf, nsiwachoshe na salaam nyingi natumai ni wazima

Ok mimi nina girlfriend ambaye kaishia form 3, mapenzi naye nilianza kama mzaa vile, lakini badae nikajikuta nimezama mazima,

yeye hana kazi na nmejaribu kumtafutia sehemu nyingi lakini hataki kwenda kwani hajiamini na anaogopa sana ki-english, nami sina sehemu nyingine ya kuntafutia zaidi ya sehu hizo mana ndo wengi nawafahamu.

Kiukweli naona napoteza na kumpotezea mda mana siwezi kumuoa kwa sababu hizi
1: kwanza hajiamini hata kidogo,

2: Alishazaa mtoto mmoja na jamaa flani huko nyuma na mimi siwezi oa mtu aliyesha zaa, ( huu ni uamuzi wangu samahani kwa wale watakaohisi nmewakosea ama siko sahihi)

3: Elimu ni changamoto nyingine mana napenda mtu wa kusaidiana maisha

Swala lenyewe sasa:

Mara nyingi tunapogombana huwa anakimbilia kijiua na alishantamkia kuwa kama ntaamwacha basi maisha yake yataisha siku hiyo, hivi hili limekaa aje kisheria? Will I be held guity?

Kwa sasa nina kaa naye na ni mwaka saa natamani haya siku moja niende kazini na nipitilizie huko huko.

Jamani niko katika hali ngumu maana sijui nini cha kufanya, wana jf nawategemea sana kwa ushauri wenu juu ya hili, thanks

Utoto huo ukikua utaacha.
 
Back
Top Bottom