Nsaidieni jinsi ya kumwacha huyu

Nsaidieni jinsi ya kumwacha huyu

Habari zenu wana jf, nsiwachoshe na salaam nyingi natumai ni wazima

Ok mimi nina girlfriend ambaye kaishia form 3, mapenzi naye nilianza kama mzaa vile, lakini badae nikajikuta nimezama mazima,

yeye hana kazi na nmejaribu kumtafutia sehemu nyingi lakini hataki kwenda kwani hajiamini na anaogopa sana ki-english, nami sina sehemu nyingine ya kuntafutia zaidi ya sehu hizo mana ndo wengi nawafahamu.

Kiukweli naona napoteza na kumpotezea mda mana siwezi kumuoa kwa sababu hizi
1: kwanza hajiamini hata kidogo,

2: Alishazaa mtoto mmoja na jamaa flani huko nyuma na mimi siwezi oa mtu aliyesha zaa, ( huu ni uamuzi wangu samahani kwa wale watakaohisi nmewakosea ama siko sahihi)

3: Elimu ni changamoto nyingine mana napenda mtu wa kusaidiana maisha

Swala lenyewe sasa:

Mara nyingi tunapogombana huwa anakimbilia kijiua na alishantamkia kuwa kama ntaamwacha basi maisha yake yataisha siku hiyo, hivi hili limekaa aje kisheria? Will I be held guity?

Kwa sasa nina kaa naye na ni mwaka saa natamani haya siku moja niende kazini na nipitilizie huko huko.

Jamani niko katika hali ngumu maana sijui nini cha kufanya, wana jf nawategemea sana kwa ushauri wenu juu ya hili, thanks

We piga chini tu. Ni heri umueleze mtu ukweli uwe huru, kuliko kuficha ujinga mwisho wa siku iku gharimu we mwenyewe. Kama haelewi basi. Binafsi nachukia sana mtu anapo tumia kigezo cha kujiua ili eti uwe nae. I like honest people, tena mtu akiwa honest from tha beginning inakua fresh sanaa kuliko mtu akuaminishe vitu visivyo kweli. Wewe hata akijiua isikuumizwe kichwa si kajimaliza mwenyewe...atajijua mbele na Mungu wake. U had to do what was right !!! Alaaaa !!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom