Asa kwanza nakushangaa wewe ulijua kuwa ana mtoto na akili yako ilishajiapiza kutokuwa nae kiranga gani kilikukumba ukaishi nae..
umeona ee hili nalo neno!!
Asa kwanza nakushangaa wewe ulijua kuwa ana mtoto na akili yako ilishajiapiza kutokuwa nae kiranga gani kilikukumba ukaishi nae..
wanaume cjui mpoje yani,mwaka mzma unamtumia usiku na mchana na sasa hivi unamuona hana viwango? huyo mtoto umemjua ghafla au ulikuwa unajua mapema?
ushauri wangu,mwambie kuwa umetafutiwa mchumba na huwez kumkataa hii ni endapo hafahamu kwenu AU fanya kuhama umuache hapo uwe u.arud cku mojamoja ili ajue umemchoka....Mungu.ampe nguvu huyo dada maana mwanaume wewe ni kiboko
Mjinga huyo....sikushauri umuoe hata kwa nini.....atakutishia kujinyonga au kukuua for any and each misunderstanding.
Ukae na mtu mwaka mzima alafu ndo uone hana sifa! hujukua kuwa ana mtoto?, kwanini uliamua kuishi naye? anyway lakini jaribu kutulia Kwanza sababu ikitokea akajiua mikononi mwako utawajibika mkuuHabari zenu wana jf, nsiwachoshe na salaam nyingi natumai ni wazimaOk mimi nina girlfriend ambaye kaishia form 3, mapenzi naye nilianza kama mzaa vile, lakini badae nikajikuta nimezama mazima, yeye hana kazi na nmejaribu kumtafutia sehemu nyingi lakini hataki kwenda kwani hajiamini na anaogopa sana ki-english, nami sina sehemu nyingine ya kuntafutia zaidi ya sehu hizo mana ndo wengi nawafahamu.Kiukweli naona napoteza na kumpotezea mda mana siwezi kumuoa kwa sababu hizi1: kwanza hajiamini hata kidogo,2: Alishazaa mtoto mmoja na jamaa flani huko nyuma na mimi siwezi oa mtu aliyesha zaa, ( huu ni uamuzi wangu samahani kwa wale watakaohisi nmewakosea ama siko sahihi)3: Elimu ni changamoto nyingine mana napenda mtu wa kusaidiana maishaSwala lenyewe sasa:Mara nyingi tunapogombana huwa anakimbilia kijiua na alishantamkia kuwa kama ntaamwacha basi maisha yake yataisha siku hiyo, hivi hili limekaa aje kisheria? Will I be held guity?Kwa sasa nina kaa naye na ni mwaka saa natamani haya siku moja niende kazini na nipitilizie huko huko.Jamani niko katika hali ngumu maana sijui nini cha kufanya, wana jf nawategemea sana kwa ushauri wenu juu ya hili, thanks
Duuu...hiyo imekaa kushoto kweli,labda uende polisi,uwaambie amesema nikimuacha atajiua ili kweli ukimuacha wasijesema kafa kwa sababu yako then ndio umwambie ukweli,akizingua unampa ile RB ya polisi ajue hata akifa we hauna kwere,hapo anakutishia tu!Habari zenu wana jf, nsiwachoshe na salaam nyingi natumai ni wazima
Ok mimi nina girlfriend ambaye kaishia form 3, mapenzi naye nilianza kama mzaa vile, lakini badae nikajikuta nimezama mazima,
yeye hana kazi na nmejaribu kumtafutia sehemu nyingi lakini hataki kwenda kwani hajiamini na anaogopa sana ki-english, nami sina sehemu nyingine ya kuntafutia zaidi ya sehu hizo mana ndo wengi nawafahamu.
Kiukweli naona napoteza na kumpotezea mda mana siwezi kumuoa kwa sababu hizi
1: kwanza hajiamini hata kidogo,
2: Alishazaa mtoto mmoja na jamaa flani huko nyuma na mimi siwezi oa mtu aliyesha zaa, ( huu ni uamuzi wangu samahani kwa wale watakaohisi nmewakosea ama siko sahihi)
3: Elimu ni changamoto nyingine mana napenda mtu wa kusaidiana maisha
Swala lenyewe sasa:
Mara nyingi tunapogombana huwa anakimbilia kijiua na alishantamkia kuwa kama ntaamwacha basi maisha yake yataisha siku hiyo, hivi hili limekaa aje kisheria? Will I be held guity?
Kwa sasa nina kaa naye na ni mwaka saa natamani haya siku moja niende kazini na nipitilizie huko huko.
Jamani niko katika hali ngumu maana sijui nini cha kufanya, wana jf nawategemea sana kwa ushauri wenu juu ya hili, thanks
Kama nlivyosema mwanzo nlikuwa nachukulia masihara, sasa hata sima la kufanya eti