Nsaidieni jinsi ya kumwacha huyu

Nsaidieni jinsi ya kumwacha huyu

Ndio ukome kucheza na hisia za watu. Hata yeye anajijua kuwa soko limeshadoda ndio maana amekuganda mkuu huyo ni mkeo huna jinsi.
Sheri ya ndoa inasema ukiishi na mwanamke kwa mda wa miezi6 huyo tayar ni mkeo hata bila ya cheti cha ndoa hata kama utamwacha utalazmika kugawana vitu vyote hata kama ulikuwa na nyumba au shamba mtauza na mtagawana.......
Ndg acha kucheza na hisia za watu ni mwiko kabisa

Hapa kaka naona kitu, kweli mim nina kosa kwenye hili la hisia, wajua mtu anaweza kuwa serious wakati wew wamwona wa kuzugia, hawa ambao soko limedoda hawakuachi kirahsi, nliwah kuwa na girlfriend ila nlipomzingua alikuwa tayari kuniacha mda wowote, ila huyu mhuuu, yye mawazo yake yote ni kujiua ama mambo ya ushirikina(japo sina uhakika sana na hili)
 
Kaka hapa kwa mim si kuweka sifa ila ni kuangalia maisha zaidi ya leo, kama nina familia vp itaishi pindi nsipokuwepo? I know mapenz si elimu wala kitu chochote na pia maisha si mapenz pekee ni zaidi ya hapo yakiwa na mapenzi ndani yake, maisha navyojua mim yana mpangilio na i can say structured wakati mapenzi ya kweli haya angalii wala kufungaman na lolote. Mim kwa sasa sitafuti mapenz ila naangalia maisha kwa asilimia kubwa, ushauri please kaka

Nimependa mtazamo wako huu,ni mzuri

Hebu kama ni kweli una mtazamo huu ni vyema

Kama umejaribu kumsaidia kupata kazi na imeshndikana kufanya basi tatizo lake ni kubwa

Naamini wewe una shughuli ya kufanya,kama ni hivyo basi mpeleke akasome o level kwa miaka miwili halafu A level kwa mwaka mmoja kisha mpeleke chuo,hiyo itakuwa ni miaka mitatu tu

Kwa mtu ambae una malengo ya kuja kuwa mkeo hutaona ni mingi

Halafu baada ya hapo atapata kile ambacho anakitaka na atajiamini na kazi atakuwa nayo

ANGALIZO
Fanya haya kwa kuwa una maleg nae lakini sukumwa na ubinadamu zaidi maana hawa watu unaweza kufanya hivyo halafu akaja akakuona wewe sio "saizi" yake,vichwa vya hawa wenzetu vinzfikiria kwa namna ya ajabu kidogo hivyo usije taka kusaga chupa ukanywa

Hebu fanya hivyo halafu uone!
 
Nunua sumu ya panya na kamba ngumu..viweke mezani...Halafu mwambie its over...
 
Umeona wanaume wengi ndio maana wanakuwa vichaa kwa sababu wana mambo ya ajabu sana kama wewe ulieleta uzi. Inawezekana hata Tigo umemfumua kisha unamkimbia.

Hapana ndgu, mim din wala dhamira yangu hainiruhusu kufanya hivyo, naomba ushauri ndgu kwenye hili, jf imensaidia sna kimaisha toka 2011 nlipomalza chuo, mana hata kazi nmepata kupitia hapa, napakubali sna
 
Usimuache ghafla! Anza kumpotezea taratibu taratibu baada ya muda akili itamkaa sawa na ataona ni ujinga kujiua kwa sababu ya mapenzi!
Ila mapenzi ya ajabu sana, anayetaka kuacha yuko kwenye wakati mgumu na anayeachwa naye hivo hivo!

mapenz yanaua
 
Wanaume wengine jamani. Sasa kama humpendi kwa nini uliamua kuishi nae.

Ok sikuwa simpend ama kanikosea, ila kuwa sina future life na yeye kwa sababu nyingi tu, kama nlivyosema mwazo, mahusiano nlianza kana kwamba kesho yake yangeisha, ila nkanasa, ushauri please
 
Ulivyomtongoza hukujua kama una mtoto....

Unaishi nae? Kama unaidhi nae beba nguo zako acha kila kikichomo kaanze upya mahala pebgine asipopajua.

Ukishindwa mwonyeshe hii thread asome.....

Ukiona kero mpeleke elimu ya watu wazima....

Ukiona vipi mfungulie biashara awe budy. Ikichanganya sepa kimya kimya

Sawa hili naona laweza kuwa njia kiasi flani, ila dah nmetoka mbali sna kimaisha, kuanza mwanzo si mchezo, uzuri hajui kazi nafanya wapi au office gani na wala hana mda wakufuatilia,
Jf haingii mpaka tuwe wote na wala hayuko interested, bila hivyo nsingeandika hapa
 
Hio very simple
Mnooooo

Ila dhambi but anyway kwa vile unataka uachane naye bila shida fanya haya yafuatayo..
Jaribu ku hack systems zake... hiyo uta mwacha tu baadae lazima achomoe mwenyewe

Pili;
Mtafutie mtu bila yeye kujua au huyo mtu kujua, then fanya kama umewafumania...
Lazima atasepa

Onyo; hizi mbinu ni hatari mno inakupasa uwe na akili nyingi mno maana things can turn around you

System zake sijaelewa ndgu, nielezee kdgo, fumanizi la kutunga ni balaa, mana hata kama la kweli lazima atajiua mana atajua kuwa nitamwacha, tatizo la mwanamke ambaye hana option dah ni hatari nlikuwa nasikia tu, ushauri zaidi mkuu
 
Mkuu masuala kama haya mara nyingi yanahitaji wewe mwenyewe ufanye uamuzi. Hali halisi - uliyosema hapa na ambayo hukusema- wewe ndio unajua. Kama vile ulimpompata bila ushauri au msaada wa mtu. Just carry your own cross!

I will kaka, ila ushauri wako utansaidia kama hutojali, hasa uhusika wangu kwenye kesi kama akijiua
 
hata akijiamini,hutamuoa
hata akisoma kujiendeleza,hutamuoa
hata akipata kazi,hutamuoa
hata asipotishia kujiua,hutamuoa
muache bana!
wakati hayo mengine yote yanabadilika hilo la kuwa ameshazaa na mtu mwingine kabla yako halitabadilika KAMWE!
 
Nimependa mtazamo wako huu,ni mzuri

Hebu kama ni kweli una mtazamo huu ni vyema

Kama umejaribu kumsaidia kupata kazi na imeshndikana kufanya basi tatizo lake ni kubwa

Naamini wewe una shughuli ya kufanya,kama ni hivyo basi mpeleke akasome o level kwa miaka miwili halafu A level kwa mwaka mmoja kisha mpeleke chuo,hiyo itakuwa ni miaka mitatu tu

Kwa mtu ambae una malengo ya kuja kuwa mkeo hutaona ni mingi

Halafu baada ya hapo atapata kile ambacho anakitaka na atajiamini na kazi atakuwa nayo

ANGALIZO
Fanya haya kwa kuwa una maleg nae lakini sukumwa na ubinadamu zaidi maana hawa watu unaweza kufanya hivyo halafu akaja akakuona wewe sio "saizi" yake,vichwa vya hawa wenzetu vinzfikiria kwa namna ya ajabu kidogo hivyo usije taka kusaga chupa ukanywa

Hebu fanya hivyo halafu uone!

Asante sna, hili lilikuwa kichwani mwangu la kwanza baada ya kuzama na kuachana na wazo la kuachana naye siku ambayo ingefuata, akakubali kurudi shule, lakin baadae akaomba nimfudishe garo kwanza, baada ya hapo kila nkimwambia akatafute shule aanze anasema kesho kesho, hatimaye akaniambia shule siyo dili kama vip nimpe mtaji afanye biashara, dah nkachoka kabisa. Some more bro hapa please
 
Hapa kaka naona kitu, kweli mim nina kosa kwenye hili la hisia, wajua mtu anaweza kuwa serious wakati wew wamwona wa kuzugia, hawa ambao soko limedoda hawakuachi kirahsi, nliwah kuwa na girlfriend ila nlipomzingua alikuwa tayari kuniacha mda wowote, ila huyu mhuuu, yye mawazo yake yote ni kujiua ama mambo ya ushirikina(japo sina uhakika sana na hili)

mkuu hapo haya yanaweza kukupata:
1. Kuwa suspect namba1 atakapojiua
2: kukuroga na kuwa chiz kabisa,
Hapo mm nakushauri mtoto sio tatzo pili kuhusu elim au kaz hilo halinashida jambo la msingi mpe mtaji aanze biashara.
Mm mama yangu hakuwa na kazi ila alifanya biashara na alikuwa anawakopesha hata wafanya kaz kwa riba
 
System zake sijaelewa ndgu, nielezee kdgo, fumanizi la kutunga ni balaa, mana hata kama la kweli lazima atajiua mana atajua kuwa nitamwacha, tatizo la mwanamke ambaye hana option dah ni hatari nlikuwa nasikia tu, ushauri zaidi mkuu

Kihuruma kimenijia baada ya kuvaa viatu vyake

The best solution ni kuoa wanawake wawili
Huyo anakuwa wa ndani then mwingine anakuwa wa kisomo nk
Hapo ndo uta enjoy
 
Habari zenu wana jf, nsiwachoshe na salaam nyingi natumai ni wazima

Ok mim nina girlfriend ambaye kaishia form 3, mapenz naye nlianza kama mzaa vile, lakini badae nkajikuta nmezama mazima, yeye hana kazi na nmejaribu kumtafutia sehemi nyingi lakin hataki kwenda kwani hajiamini na anaogopa sna ki-english, nami sina sehemu nyingine ya kuntafutia zaidi ya sehu hizo mana ndo wengi nawafahamu.
Kiukweli naona napoteza na kumpotezea mda mana siwez kumuoa kwa sababu hizi
1: kwanza hajiamin hata kidgo
2: Alishazaa mtoto mmoja ja jamaa flani huko nyuma na mim siwezi oa mtu aliyesha zaa, ( huu ni uamuzi wangu samahan kwa wale watakaohis nmewakosea ama siko sahh)
3: Elimu ni changamoto nyingine mana nhependa mtu wa kusaidiana maisha

Swala lenyewe sasa
Mara nyingi tunapogombana huwa anakimbilia kijiua na alishantamkia kuwa kama ntaamwacha basi maisha yake yataisha siku hiyo, hivi hili limekaa aje kisheria? Will i be held guity?
Kwa sasa nina kaa naye na ni mwaka saa nataman haya siku moja niende kazin na nipitilizie huko huko

Jamani niko katika hali ngumu ma sijui nin cha kufanya, wana jf nawategemea sna kwa ushauri wenu juu ya hili, thanks

sasa wewe nae bhana... binti wa watu umemkuta tayari ana mtoto (kitu ambacho kwako ni disqualification), pili umemkuta kaishia form 3 (kitu ambacho kwako ni disqualification pia), sa ilikuwaje mpaka ukaanza kuishi nae chini ya paa moja (chumba/kitanda kimoja) kama mume na mke for the year now??!!! ushamtafuna weeee, ulimpa ahadi nyingi feki binti akajiachia kwako mazima, umemzeesha kwa migegedo yako... afu now unataka kumdump!! jamani wanaume tufikie hatua tuache kuwanyanyasa hawa ndugu zetu, it's a real 'hurt therapy' kwa anaetendewa.

On the other side of the coin... mkifikisha two years ukiishi nae ivyo kama mke na mume (yaani consecutive two years ndani ya chumba kimoja kama mume na mke) na majirani zetu wakiwa wanajua nyie ni mke na mume, then kisheria utakuwa bound na kitu kinaitwa 'Presumption of Marriage' (dhana ya ndoa).

Presumption of Marriage (dhana ya ndoa) ni ile hali ya watu wawili (ke na me) kudhaniwa au to be considered kwamba wapo kwenye ndoa halali, though in reality hawajawahi kufunga ndoa rasmi. Yaani jamii inayowazunguka inawachukulia kama wanandoa halali, japo bado hamjafunga ndoa rasmi. Viashiria (indicators) vikuu vya 'Dhana ya Ndoa' ni hivi:

(a) Parties (yaani me & ke) wawe wameishi pamoja kama mume & mke, chini ya paa moja (yaani chumba au nyumba moja) kwa muda wa miaka miwili au zaidi. i.e. The parties to cohabit for over two years.

(b) Majirani wawatambue kama mume & mke (ndani ya hiyo miaka miwili). i.e. The parties have acquired the reputation of husband and wife

(c) There was no formal marriage ceremony between the said couples/parties.

Essence kubwa ya hii 'dhana ya ndoa' ni mambo mawili:
MOJA, inatoa unafuu kwa both parties/couples kuachana kirahisi pale wanapoona kuwa hawawezani kuishi kwenye ndoa. Hasa kwa wakristo ambao dini hairuhusu kuachana, yaani ktk ukristo ndoa ni kitu cha milele, haitambui talaka, ukishaingia kwenye ndoa, ndo basi. As such, dhana ya ndoa (presumption of marriage) inatoa loop-hole kwa both parties kuachana kirahisi pale wanaposhindana, bila legal implication. Yaani apa hakuna kuombana talaka, bcoz there's no marriage at all, but it's just a mere presumption of marriage. So mkishindana, then any party yupo kusepa kirahisi! And for the interest of truth, kwa sasa ndoa za aina hii (presumption of marriage) ndo zipo nyingi ktk jamii, wenyewe wanaita 'kupimana kwanza before hujaingia rasmi'. lol

PILI, dhana ya ndoa inalenga kumlinda mwanamke towards maslahi na haki zake. Yaani unapoishi na mwanamke under presumption of marriage na ikatokea kwamba mmechuma mali (jointly acquired properties), utapotaka kumuacha basi izo mali mtagawana pasu regardless kwamba hamkuwahi kufunga ndoa rasmi. Miaka ya nyuma wakati sheria ya ndoa ilipokuwa haija-incorporate presumption of marraige, wanawake wengi waliokuwa wakiishi under cohabitation walikuwa wakidhulumiwa sana haki zao. Mfano mwanaume anamchukua mwanamke, anaishi nae ata miaka 6 na zaidi huku mwanamke huyo akizaa na kuzalisha mali, but mwisho wa siku dume likimchoka linamdump bila kumpa chochote. As such, baadae sheria ya ndoa ndo ikaingiza kipengele icho cha 'presumption of marriage' ili kuwapa legal back-up wanawake wanaoishi ktk muungano huo.

Mkuu Allency, so chukua maamuzi now ili usizidi kumpotezea muda na kumzeesha binti wa watu. Ebu na wewe imagine upate mchumba/mwanamke akuchune haswaa vizuri, umuhudumie na kumgharamia mambo mengi kwa some years, afu siku anakutamkia kuwa hakutaki na hataki umuoe, utafeel vipi? Si ndo utamfanya kama Ufo Saro? Wakati mwingine tujifunze kuwa wakweli mapema kwa wenzetu.

N:B. I stand to be corrected!
 
Asante sna, hili lilikuwa kichwani mwangu la kwanza baada ya kuzama na kuachana na wazo la kuachana naye siku ambayo ingefuata, akakubali kurudi shule, lakin baadae akaomba nimfudishe garo kwanza, baada ya hapo kila nkimwambia akatafute shule aanze anasema kesho kesho, hatimaye akaniambia shule siyo dili kama vip nimpe mtaji afanye biashara, dah nkachoka kabisa. Some more bro hapa please

Kukata mzizi wa fitina mpe mtaji halafu umuone

Akileta longolongo tupa kule ......!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom