Nsaidieni jinsi ya kumwacha huyu

Nsaidieni jinsi ya kumwacha huyu

Nadhani ulikosea tangu mwanzoni,kama ulikuwa hauna nia ya kuja kuishi nae usingemkaribisha muishi wote,kuwa na mtoto sio tatizo kma kweli mnampenda kwa dhati,hizo weakness zake nadhani zinasolvika,sasa hvi mfanyie kile anachohitaji kufanya,kama anataka biashara mfungulia lkn muanzishie kwa mtaji mdogo,kma kweli anainterest na biashara basi itakuwa.
 
Nyooooo ushambinua chin .
Ushakagua kama zigo LA bangi...ushamlinda na kupiga simu na kumbana utafikiri serikali inavyolinda tembo
Leo dushelele lako linakuongoza au akili
Hukujua ana mototo
Kaishia kidato cha tatu
Oooh hajiami ooor elimu kidogo .

Utaoa huyo aliyesoma na kujiamin na hana mtoto ila kumbuka tabia ndo kila kitu mkuu
Ushampotezea Dada wa watu mda daaaa

halafu ww nakutafuta kukulipua na bomu. Ww na miss neddy na Dinazarde mmenifukuzia Vaislay wangu
 
Last edited by a moderator:
We wachana na iyo mambo wewe tazama kwanza kandanda algeria inaongoza bao 3 korea 0 ni mapumziko
 
Ila moyo wa binadamu kiza kinene kwa kweli...binti wa watu anakuwazia mema yuko hapo anakaa na wewe,ushamtumia leo ndo unaona hakufai oh mara elimu ndogo sijui nini...muache tu,ila Karma is a B.itch,yatarudi..
 
Iwe fundisho kuwa usiingie deep relationship kabla hamjaweka mambo sawa. From day one elezaneni ukweli wa aina ya mahusiano ili pande zote ziridhie. Hii itasaidia kuondoa mgongano kama huu wa mleta mada. Awali kabisa ungemwambia hutaoa mwanamke aliyezaa pia elimu na kipato kwa mwanamke ni lazima. Hivyo angejua fika kuwa hana future na wewe bali ni kuzini tu kama wazinzi wengine. Dah kazi ipo na ndoa za siku hizi.
 
Duniani kuna mambo! Umekaa na binti wa watu weeee, umemfunua funua sasa ndo unajua kaishia form 3 huwezi muoa. Mi ningekwambia ntakuua wewe

Kuna wanaume wana hila umu dunuani.Nmekumbuka shemeji yangu nae alimpa msichana mimba aliyekua amemaliza form four lakini alikua kafeli.Alikua anaishi nae , alivojifungua akajidai anamrudisha shule 4m three af bording maskini kumbe ndio alikua anamwacha yule binti kwa style ile.
 
Hawa komesha yao ni vimeo tu, wakipata wa kuwaonea wanawatesa.
 
sasa mbona huyo demu anajiamini? kama anakuambia ukithubutu kumuacha atajiua basi huyo anajiamini ila ww ndo hujiamini
 
hapo tatizo ni mtoto tu, mengine yanarekebishika.
 
Unavyojibu comments wallahi natamani nimjue Huyo Dada akujue vizuri
We we ni mbinafsi
Huna unachojua juu ya qualities za mke
Hutambui uTU
Very arrogant
Mali kwako ni zaidi ya uhai na furaha yako
Elimu unayoamini unayo haijakusaidia kujua kuishi na with
Believe me you,we we ni tatizo kuliko huyu Dada unayeishi nae!
Mark my words,utamtafuta after this !
Muache ukaoe huyo unayeamini ana hadhi yako!
Mxxxxxxxxxiou kujinanga kwiiiiiiiingi unafkr mnatofautiana na huyo unayemdharau ?
We ni boksi tuuuuuu!
Yani boooooksi booooksi!
 
Wanaume watu wa ajabu sana....hivi kwa nini uingie kwenye mshusiano na mtu ambaye humpendi? Yan umemdanganya binti wa watu kajiweka mazima hadi anaona bila wewe hawezi kuishi kumbe unalo unaloliwaza moyoni.....
 
Matola ur very right hii kitu haoko poa
sipendi tabia ya jinsia yoyote ku-underestimate mtu kwa sababu ya shule, kuna watu wana elimu kubwa na hakuna la maana wanalolifanya hapa duniani.
 
mhuu hili nalo neno lakin vitu hivi nmevichuma toka miaka ming tena sikuwa naye, toka nko naye nlichoongeza ni gari tu, labda niliache hilo kama mtazamo ni sahii

aaah wewe nenda na gari yako
muachie samani za ndani,si wewe ndio
umemchoka mwenzio?kupoteza muda
mwaka mzima c mchezo atiii!!
 
Habari zenu wana jf, nsiwachoshe na salaam nyingi natumai ni wazima

Ok mimi nina girlfriend ambaye kaishia form 3, mapenzi naye nilianza kama mzaa vile, lakini badae nikajikuta nimezama mazima,

yeye hana kazi na nmejaribu kumtafutia sehemu nyingi lakini hataki kwenda kwani hajiamini na anaogopa sana ki-english, nami sina sehemu nyingine ya kuntafutia zaidi ya sehu hizo mana ndo wengi nawafahamu.

Kiukweli naona napoteza na kumpotezea mda mana siwezi kumuoa kwa sababu hizi
1: kwanza hajiamini hata kidogo,

2: Alishazaa mtoto mmoja na jamaa flani huko nyuma na mimi siwezi oa mtu aliyesha zaa, ( huu ni uamuzi wangu samahani kwa wale watakaohisi nmewakosea ama siko sahihi)

3: Elimu ni changamoto nyingine mana napenda mtu wa kusaidiana maisha

Swala lenyewe sasa:

Mara nyingi tunapogombana huwa anakimbilia kijiua na alishantamkia kuwa kama ntaamwacha basi maisha yake yataisha siku hiyo, hivi hili limekaa aje kisheria? Will I be held guity?

Kwa sasa nina kaa naye na ni mwaka saa natamani haya siku moja niende kazini na nipitilizie huko huko.

Jamani niko katika hali ngumu maana sijui nini cha kufanya, wana jf nawategemea sana kwa ushauri wenu juu ya hili, thanks

Muoe, halafu ukishamuoa mpe taraka
 
Sasa akijiua si ndo afadhali na wewe utamtafuta umpendae, kitu muhimu unatakiwa ujiandae na bajeti ya mazishi tu.
 
Habari zenu wana jf, nsiwachoshe na salaam nyingi natumai ni wazima

Ok mimi nina girlfriend ambaye kaishia form 3, mapenzi naye nilianza kama mzaa vile, lakini badae nikajikuta nimezama mazima,

yeye hana kazi na nmejaribu kumtafutia sehemu nyingi lakini hataki kwenda kwani hajiamini na anaogopa sana ki-english, nami sina sehemu nyingine ya kuntafutia zaidi ya sehu hizo mana ndo wengi nawafahamu.

Kiukweli naona napoteza na kumpotezea mda mana siwezi kumuoa kwa sababu hizi
1: kwanza hajiamini hata kidogo,

2: Alishazaa mtoto mmoja na jamaa flani huko nyuma na mimi siwezi oa mtu aliyesha zaa, ( huu ni uamuzi wangu samahani kwa wale watakaohisi nmewakosea ama siko sahihi)

3: Elimu ni changamoto nyingine mana napenda mtu wa kusaidiana maisha

Swala lenyewe sasa:

Mara nyingi tunapogombana huwa anakimbilia kijiua na alishantamkia kuwa kama ntaamwacha basi maisha yake yataisha siku hiyo, hivi hili limekaa aje kisheria? Will I be held guity?

Kwa sasa nina kaa naye na ni mwaka saa natamani haya siku moja niende kazini na nipitilizie huko huko.

Jamani niko katika hali ngumu maana sijui nini cha kufanya, wana jf nawategemea sana kwa ushauri wenu juu ya hili, thanks

Ebu weka vyeti vyako vya shule tujue elimu yako umeishia wapi? huelekei kama una Elimu kumbwa sana yakumuonyeshea kidole mwenzio, sema ivi umeshashiba kumpanda na kumshuka sasa unataka aendezake uchukue mwengine,na mwanamme kweli husimama na kua na maamuzi yakiume..ajiue kwa lipi kubwa?
 
Hili nalipa 90% kwa mtazamo wangu lakin so dont get me wrong,
Je vitu vyangu ntavipataje baada ya hatua hii?
Advice please
Vitu vyako ni malipo kwake kwakumtumia kama kuna kosa kubwa ambalo watu wnafanya ni kukaa wote chumba kimoja na kuwa kama wanandoa ili hali hawajafanya procedure zozote za ndoa!mbaya sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom