lol. true.Nembo ya USA kwenye podium
Sio tuu nembo bali nembo ya Rais wa Marekani...
![]()
Sijui niite ni uzembe au, imeshapita miezi miwili tangu Bush ameondoka yani bado tuu hawajapachika nembo ya rais/taifa?
Sio tuu nembo bali nembo ya Rais wa Marekani...
Sijui niite ni uzembe au, imeshapita miezi miwili tangu Bush ameondoka yani bado tuu hawajapachika nembo ya rais/taifa?
Nchi mmewapa walio si raia mnategemea nini? Kwani mualiko si ulikuwa kwenda kuonana na rais JK lakini nani alitokea. Huyo ndiye rais wenu ati! Mnashangaa nini .................Na bado huu ndio mwanzo mtaona mengi.
Nilipokuwa nikisema kuwa huyu SALVA ni mpuuzi nikaambiwa nina beef...sasa meeona?
Kulikuwa na haja gani kuita waandishi Ikulu wakati alitakiwa aweke press release kwenye website ya IKULU?
Haya wadau kwa kuangalia hii picha kwa haraka haraka unaweza kugundua kosa lolote?
![]()
Nembo ya USA kwenye podium
Sio tuu nembo bali nembo ya Rais wa Marekani...
![]()
Sijui niite ni uzembe au, imeshapita miezi miwili tangu Bush ameondoka yani bado tuu hawajapachika nembo ya rais/taifa?
Kutokuwa makini ni utamaduni wetu sio wa Salva mwenyewe acheni uongo hapa. Kwa kili muambieni anatuaibisha!!!
Haya wadau kwa kuangalia hii picha kwa haraka haraka unaweza kugundua kosa lolote?
![]()
Hapana mkuu kutokuwa makini hauwezi kuwa utamaduni wetu. Labda tuseme ni utamaduni wa serikali ya CCM! Ningekuwa wewe (mtetezi imara wa utendaji wa serikali ya JK) ningechukua hatua za kulalamika rasmi ikulu na hasa utendaji wa Salva. Lakini ndio hivyo tena nyie wenzetu mlishaamua kutetea na kuhalalisha kila kitu, lakini sasa vitu kama hivi havihalalishika wala kuteteeka kabisa mkuu!
Mkuu Mkitila,
Kwa hakika hakuna umakini CCM na Vyama vya upinzani pia!!! Hukuona Upinzania walivyokurupuka juzi kwenda kuomba fomu za madeni na mali za mafisadi bila kusoma sheria!!!
Kukosa umakini ni pamoja na kutopenda kusoma... na hili liko wazi wanaosoma hata pale kwenye kijiwe chenu mko watu wasio zidi vidole vya mkono mmoja.
Angalia juzi wanafunzi wa chuo kikuu wanatumia viboko kama vya mkoloni kulazimisha watu kugoma... enzi zetu tulitoka mlimani bila kutumia viboko lakini tulisimamisha cost sharing part II...
Hili ni tatizo la kitaifa mkuu!!! Angalia tunavyotumia nguvu kubwa kwa mafisadi wa tukidhani tukizipata zote ndio soluhisho la matatizo yetu... matatizo yetu yatatatuliwa na kufanya kazi tu zaidi wakati huo huo tukirudisha tulivyoibiwa!