No Comments...

He he hawa jamaa baada ya kuwasema wameona bora waigeuze podium.. lol
317321707.jpg
 
He he hawa jamaa baada ya kuwasema wameona bora waigeuze podium.. lol
317321707.jpg

Icadon,

That shows you kuwa wanakuja humu JF ijapo hawataki kusema!
Change can be effected either way!Kudos to you bro lakini chunga
wasianze kukutafuta eti!
 
Acheni kukuza mambo, Naomba kuangalia upande wa pili wa hili suala. Kuiondoa au kutoiondoa kungeongeza value ya habari hiyo au ingesaidia nini katika kuijenga taifa?

Hii sio issue kubwa kiasi hicho jamani angalieni issues za maana!
 
FD, nakubaliana na wewe lakini katika ulimwengu wa habari symbolism is very important.. unapowaita watu Ikulu angalau basi weka podium ya Ikulu ya Tanzania. Unapokoselewa badala ya kuihamisha wewe unaigeuza tu kana kwamba haipo.

Isn't this a metaphor of what is going on in Tanzania sir? Matatizo yapo tunapoyaonesha badala ya kuyashughulikia wao wanageuza tu na kuyafanya yaonekane kama hayapo. Kwa kugeuza wao wanataka tuamini kuwa wameyaondoa; tatizo bado tunaweza kuona tatizo letu hata kama limepakwa rangi!!
 
Mwanakijiji,

Ni dalili ya kukomaa. Ila ili mradi kakubali kosa na ameliona, tumsamehe kama binadamu mwingine.

Najua la website ya ikulu. Unajua hawa wakuu mambo ya computer kwao ni ya ma personal sekretari hawayaamini. Itachukua muda kuwaelewesha.

Ila naomba tuangalie PRIORITIES ktk taifa hili.
 
right on FD! kati ya vitu muhimu vinavyolihusu Taifa a misplaced podium is not even at the bottom of my list.. its a non issue.. at least not now.
 
right on FD! kati ya vitu muhimu vinavyolihusu Taifa a misplaced podium is not even at the bottom of my list.. its a non issue.. at least not now.


Very good thinking Mzee Mwanakijiji!.

Ila inatakiwa aambiwe awe makini, Taifa sio GAZETI la habari!
 
FD na mwanakijiji, naomba nitofautiane na nyinyi kidogo. Yes, misplaced podium wont bring food on the table, lakini ni vitu vidogo vidogo kama hivyo vinatudefine sisi ni watu wa namna gani. GUYS WE ARE TALKING ABOUT Ikulu hapa na siyo ofisi ya CCM ya kata! Tayari unaweza jua kabisa kwamba sisi hatujali mambo madogo madogo, ndo hivyohivyo hata mtu akitumwa kusaini mkataba wa mamilioni, yeye HASOMI kwa vile makaratasi ni mengi na anawaamini walioandika..in short, it protrays a very negative pic about our sense of carefulness! I still believe, unavyovaa ukienda kwenye interview..will determine whether you get a job or not, minus your papers or certificates......So hii kitu hapa haiteteleki..ni uzembe wa hali yajuu.., Salva and his staff ought to have known better...ndo hapo unakwenda unakuta watu wako busy wanakunywa chai ya rangi na maandazi..lol!

bila kudeal na haya madogo ya kugeuza meza..utaweza kuchunguza ya EPA kweli?
 
Bila shaka bado inadhihirisha kwamba sisi si waangalifu kabisa, mimi hata hivyo nina mawazo kwamba ama uraia wa nchi mbili umeshaanza????

Hapa mwenzetu yupo America anatueleza kitu sisi Watanzania
Marekani TZ.jpg

Hapa ni Mtanzania mwenzetu.
Mareka TZ.jpg

Kwa ujumla nyie watu wa protocol mbona hivyo hapo ikulu??
 
Kwa watu wanaofanya kazi serikali watakuambia hii kuweka podium ya US sio kitu kikubwa kwa sababu wamezoea mambo makubwa zaidi ya hili yanachukuliwa kirahisi sana. Rais mwenyewe ni mtu wa kuchukulia mambo kirahisi rahisi sana. He is never serious and sensisitive. Na ikulu yote ndo hivyo tena. Culture ya serikali yetu ndio hivyo ilivyo na hii inajitokeza kwenye vitu vidogo kama hivi. Nchi hii inahitaji mabadiliko makubwa kuanzia kwenye culture ya utendaji kazi. kazi ipo kwelikweli lakini tutafika tu!!!
 
Salva alijiiba akapiga picha kabla Obama hajasimama katika podium alipokuja pale Magogoni......Teeeeeeee
 
Kitu chochote kutoka Marekani hata kama ni uchafu kwa wengine ni dhahabu.

Nadhani hivi ni vifaa kadhaa vilivyoachwa wakati wa ziara ya Obama na vinaonekana kama masalia matakatifu ikulu
 
Back
Top Bottom