No Comments...

Tunajuaje kama mpigwa picha aliomba aletewe hilo linembo ili apendeze we never know.
 
6f739x.jpg

1209097128.jpg
 
Kosa lingine...Hiyo coaxial cable inayoingia kwenye mic ya TBC...imepitia wapi? Naona kama haikuchomekwa kwenye mic, au naona vibaya?
Possibly the MIC is wireless as TBC is well equipped nowadays.

Navyohisi (maana mimi sio Salva na wala simsemei) hiyo podium ilitumika wakati Bush alipoitembelea Tanzania na baada ya kuondoka ilihifadhiwa hapo kama mbadala wa kutoitupa ili itumike kama atatembelea Rais wa USA mwingine. Ningemlaumu Salva kama angeitumia ku'address' waandishi aliowaita pasipo kuifanyia marekebisho.

Haitusaidii kuwa negative ktk kila jambo hata kama linahitaji simple digestion, kuna mengi ya msingi!!
 
jobapplication.jpg
 
Navyohisi (maana mimi sio Salva na wala simsemei)hiyo podium ilitumika wakati Bush alipoitembelea Tanzania na baada ya kuondoka ilihifadhiwa hapo kama mbadala wa kutoitupa ili itumike kama atatembelea Rais wa USA mwingine.

..kuna rais mwingine wa states anakuja?

..kwanini wasingeiweka stoo? na itakaa hapo mpaka lini?

..ni kitu trivial lakini kina-speak a thousand words!
 
Nyie mnaona hiki kitendo cha kawaida ebu kiangalie kwa jicho la kijasusi ukitaka kuelewa zaidi na zungumzia nini tatufa story inaitwa Great Seal Bug.
 
Nyie mnaona hiki kitendo cha kawaida ebu kiangalie kwa jicho la kijasusi ukitaka kuelewa zaidi na zungumzia nini tatufa story inaitwa Great Seal Bug.

..humo mwake mwanangu,duh!

..ila hao jamaa mbona wakitaka kitu wanapata tu!hawaitaji mambo complicated!
 
Icadon wee si mchezo..........maana hapa watu wanafikiri kirahisi rahisi sana

.......mbali na hiyo seal, nilichojiuliza miye ni hiyo sehemu ilikuwa ni wapi? sijui kuna matengenezo yanaendelea
 
Icadon wee si mchezo..........maana hapa watu wanafikiri kirahisi rahisi sana

.......mbali na hiyo seal, nilichojiuliza miye ni hiyo sehemu ilikuwa ni wapi? sijui kuna matengenezo yanaendelea

Watakuwa wanyafanya matengenezo..Tukisema tunaambiwa tunakosoa kila kitu na tuna chuki binafsi lakini mambo mengine ni uzembe.

Great-Seal-w-bug.jpg

In 1946, Soviet school children presented a two foot wooden replica of the Great Seal of the United States to Ambassador Averell Harriman.

The Ambassador hung the seal in his office in Spaso House (Ambassador's residence). During George F. Kennan's ambassadorship in 1952, a routine security check discovered that the seal contained a microphone and a resonant cavity which could be stimulated from an outside radio signal.
 
ni uzembe usiokuwa na mfano. na nashangaa hao waandishi wa habari waliokuweko huko hawakuuliza kwa nini?
ningefurahi kusikia jibu la Salva kwa hili
 
Jambo jingine la tofauti ni hilo Laptop ya Salva inayoonekana Screen bila kuoneka sehemu zingine.
Manasemeje?
 
Mimi Niatamsamehe Kwani Hajaitumia, Iko Nyuma Sana.
Japo Haipendezi, Si Kosa Lake Kwani Chumba Kiliandaliwa Na Akaambiwa Tayari Ndio Akatoka, Mwenye Koa Ni Muandaaji, Mzembe. Au Labda Hii Ilikuja Na Bush Na Waliacha Kama Zawadi, Si Unajuwa Hawa Wakija Huku 60% Ya Vitu Vyao Ni Disposable, Hawarudi Navyo. Hivyo Sisi Kwakuendeleza Nyaa Tuna Reuse Mpaka Vibomoke.
Cha Muhimu Waweke Nembo Nyingine Juu Ya Hio Ili Tuendelee Kutumia Zawadi
 
1209064770.jpg
 
mmesahau yale ya cheki aliyoshikishwa JK ambayo figure ya number na maelezo vinatofautiana?
Watanzania ndivyo tulivyo!
 
mmesahau yale ya cheki aliyoshikishwa JK ambayo figure ya number na maelezo vinatofautiana?
Watanzania ndivyo tulivyo!

Bila kusahau kuwa ilimchukua rais masaa zaidi ya 48 kufika kwenye machimbo yaliyoua watu kule Arusha

kisa? rais alikuwa anapewa vipande vyake na wajumbe wa CCM toka ZNZ kule Butiama

Says alot about huyu Salva na priorities zake

Kashindwa kutuwekea website ya Ikulu na sasa hivi badla aya kupost hii press conference online anaamua kuharibu mazingira kwa kuwaita waaandishi waende kumfuata akiongea pumba

This guy has to go na I will make a case agaisnt him quite soon
 
Hivi inawezekana sisi ni ka part ka marekani eeh!

UJAMAA HAUNA NAFASI KAMA MAWAZO TUNALISHWA NA WAJOMBA
 
Back
Top Bottom