No Comments...

Icadon

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
3,581
183
Haya wadau kwa kuangalia hii picha kwa haraka haraka unaweza kugundua kosa lolote?
m9uavm.jpg
 
Nembo ya USA kwenye podium

Sio tuu nembo bali nembo ya Rais wa Marekani...

6f739x.jpg

Sijui niite ni uzembe au, imeshapita miezi miwili tangu Bush ameondoka yani bado tuu hawajapachika nembo ya rais/taifa?
 
Duh, kwa kweli kazi tunayo! Umakini wetu unatia shaka sana. Hata Salva hawezi kuona haya, au ukishaingia huko ndani ya nyumba unapigwa uzezeta?
 
Nchi mmewapa walio si raia mnategemea nini? Kwani mualiko si ulikuwa kwenda kuonana na rais JK lakini nani alitokea. Huyo ndiye rais wenu ati! Mnashangaa nini .................Na bado huu ndio mwanzo mtaona mengi.
 
eehe nani alitokea tufungue macho wengine !
 
Nilipokuwa nikisema kuwa huyu SALVA ni mpuuzi nikaambiwa nina beef...sasa meeona?

Kulikuwa na haja gani kuita waandishi Ikulu wakati alitakiwa aweke press release kwenye website ya IKULU?
 
Ha ha!!! najiuliza watu wa WHCA wakiiona hii picha sijui watareact vipi.
 
Haya wadau kwa kuangalia hii picha kwa haraka haraka unaweza kugundua kosa lolote?
m9uavm.jpg

Nembo ya USA kwenye podium

Sio tuu nembo bali nembo ya Rais wa Marekani...

6f739x.jpg

Sijui niite ni uzembe au, imeshapita miezi miwili tangu Bush ameondoka yani bado tuu hawajapachika nembo ya rais/taifa?

umeuliza suali,then ukajibu mwenyewe kwa mwenyewe.duh kaazi kweli kweli mwaka huu.
 
Kwani alisema amewaalika Ikulu ya Dar-es-Salaam? Mwanzoni nilipoina hiyo picha nilijiuliza Salva anazungumza kutoka nchi gani?... but well ukipenda vya kizungu... hata nzi utamuiwa wa kizungu!
 
usihangae ukisia ile nembo hatujaitoa manake hatujui kama inatubidi tuirudishe marekani au tuitupe!

nchi ikiendeshwa na mzembe, usitegemee kingine zaidi ya uzembe
 
Kutokuwa makini ni utamaduni wetu sio wa Salva mwenyewe acheni uongo hapa. Kwa kili muambieni anatuaibisha!!!
 
Hapana mkuu kutokuwa makini hauwezi kuwa utamaduni wetu. Labda tuseme ni utamaduni wa serikali ya CCM! Ningekuwa wewe (mtetezi imara wa utendaji wa serikali ya JK) ningechukua hatua za kulalamika rasmi ikulu na hasa utendaji wa Salva. Lakini ndio hivyo tena nyie wenzetu mlishaamua kutetea na kuhalalisha kila kitu, lakini sasa vitu kama hivi havihalalishika wala kuteteeka kabisa mkuu!
 
Haya wadau kwa kuangalia hii picha kwa haraka haraka unaweza kugundua kosa lolote?
m9uavm.jpg

Kosa lingine...Hiyo coaxial cable inayoingia kwenye mic ya TBC...imepitia wapi? Naona kama haikuchomekwa kwenye mic, au naona vibaya?
 
Hapana mkuu kutokuwa makini hauwezi kuwa utamaduni wetu. Labda tuseme ni utamaduni wa serikali ya CCM! Ningekuwa wewe (mtetezi imara wa utendaji wa serikali ya JK) ningechukua hatua za kulalamika rasmi ikulu na hasa utendaji wa Salva. Lakini ndio hivyo tena nyie wenzetu mlishaamua kutetea na kuhalalisha kila kitu, lakini sasa vitu kama hivi havihalalishika wala kuteteeka kabisa mkuu!

Mkuu Mkitila,

Kwa hakika hakuna umakini CCM na Vyama vya upinzani pia!!! Hukuona Upinzania walivyokurupuka juzi kwenda kuomba fomu za madeni na mali za mafisadi bila kusoma sheria!!!

Kukosa umakini ni pamoja na kutopenda kusoma... na hili liko wazi wanaosoma hata pale kwenye kijiwe chenu mko watu wasio zidi vidole vya mkono mmoja.

Angalia juzi wanafunzi wa chuo kikuu wanatumia viboko kama vya mkoloni kulazimisha watu kugoma... enzi zetu tulitoka mlimani bila kutumia viboko lakini tulisimamisha cost sharing part II...

Hili ni tatizo la kitaifa mkuu!!! Angalia tunavyotumia nguvu kubwa kwa mafisadi wa tukidhani tukizipata zote ndio soluhisho la matatizo yetu... matatizo yetu yatatatuliwa na kufanya kazi tu zaidi wakati huo huo tukirudisha tulivyoibiwa!
 
Kasheshe,

Hata kama viongozi wa upinzani walisoma sheria na kujua haiwezekani, walifonya kinakubalika sana kisiasa. Ilikuwa ni PR nzuri sana ya kuwafungua macho Watanzania juu ya sheria zetu zilivyo mbovu.

Kama ni mwanasiasa na hutumii opportunities kama hizo, utakuwa mwanasiasa fake kweli kweli.
 
Nilichogundua kingine ni kuwa mic ya tbc haina waya imewekwa pambo tuu na haina kazi hapo mezani. duhhh!
 
Back
Top Bottom