Njoo Ubungo darajani uchimbe dhahabu,shimo limetema

Njoo Ubungo darajani uchimbe dhahabu,shimo limetema

Hakika hii kitu ni kweli,mimi ni mfanyabiashara wa madini,nilipata hizi news tangu jana usiku,nikatafuta vijana wangu wa kazi,na kwa vile zana za kazi ninazo kazi ikaanza saa saba usiku kuamkia leo,ilivyofika saa 12.30asubuhi leo tayari nilikuwa na mzigo ambao mnauona kwenye picha,hiyo picha ni baaada ya kusafishwa na kuwa refined.MDAU USIWE KAMA TOMASO,CHANGAMKIA FURSA HIZI

Mfanya biashara wa madini huyo....JF kuna matapeli
 
Kama kuikaribisha April 1 ni hivi siku hiyo ikifika itakuwaje??? Mie siku hiyo sifungui JF>

Naomba niwe wa mwisho kabisa ku-comment, hiyo picha juu si mna iona..?, huu ni uongo.., tuendelee na mengine.
 
Waendesha bodaboda,wapiga debe,machinga,wapita njia wamama,vijana hadi wazee wamejaa hapa ubungo darajani mandela road karibu na landmark hotel wako busy wanachimba dhahabu,nimeambiwa walianza tangu jana baada ya mtu moja kupata dhahabu.
chanzo mimi mwenyewe.

=======================
walikuwa wakichimba dawa, washamaliza wako kweny foleni kimara
 
Dhahabu hii ni moja ya utekelezaji wa ahadi za Mnyika?
 
Mhh hii habari ina ukweli?kama vipi na mi niamkie hapo asubuhi
 
Darajani ubungo.... ??????????????????????????? DARAJA litabomoka muda si mrefu
 
Lile ni eneo maarufu kwa wateja, wacheza kamari na vibaka, sasa mnaweza kuunganisha dots
 
Ukikosana na jirani yako tangaza kwa watu kuwa chini ya nyumba yake kuna dhahabu akione cha moto!
 
Njoo Nzega sehemu inaitwa Namba Saba Lusu kumejaa kwa wiki tangia wamewapa wananchi wachimbe.
 
Kikwete njoo uone wananchi wako hawana kazi,hawana hela eti wanadanganyana ubungo kuna dhahabu lol! Kweli wabongo tumekosa kazi
 
Last edited by a moderator:
umetoboa siri ngoja nikatangaze kwenye nyumba ya baba v

mkuu hongera kwa uongo wako umefanikiwa kuwapata mazuzu wako kama ulivyokusudia binafsi sikutegemea kama ungempata zuzu hata mmoja ambae angekuamini kesho tafadhali tangaza ikulu wanagawa hela alafu tafuta vipcha vya uongo im sure utawpata wengi tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom