Njoo Ubungo darajani uchimbe dhahabu,shimo limetema

Teh! Kama wanatamani kuchimba dhahabu waje kahama,nzega na ushirombo.
Wachimbaji wadogo wadogo wamejaa
 
Uuuuuh,jamani mnatudanganya tuende tukajazane na kujichosha kuchimba bure,siyo kama uongo ule ule wakile ki Babu cha Loliondo?
 
Tangu lini Dar Kukawa na dhahabu,kama ni kweli basi ni maajabu fulani
u mdharau bure tu mtoa mada.
Wala hajui rock formations zinazoweza kutoa dhahabu, yeye anafikiri ni kiasi cha kuchimba chini.
Kwa eneo lote la ukanda wa pwanni kama kuna rocks basi ni aina iitwayo limestone, aina ambayo haiwezi kutoa dhahabu kutokana na asili yake.

Sasa hiyo dhahabu ya hapo darajani Ubungo pengine mtoa mada ana nia hao machinga na wenye boda boda walichimbue hilo daraja tupate hasara.
 
Mmesahau mtambo wangu huu wa tubusscope E2220 mineral detector ungewasaidia kuipata hiyo dhahabu ya kufikirika hapo ubungo, naona machimbo wengi hamyajui karibuni mererani
Siku hizi kokoto na mchanga nayo ni madini......
Kusafirisha kokoto kwenda site ni lazima upate kibali kutoka wizara ya madini
 
FoolsGold.jpg

mbwembwe zote hizi za nn mkuu???
 
kaka nilipita jana nikaona nikadharau dah leo nyomi watu busy hapa jamaa kama watatu hivi wamepata mawe ya ukweli.umaskini kwisha

Wewe lazima utakuwa kibaka, kwa hiyo ukikwapua mikoba ya wamama na kushuka daraji unadhani hiyo ndio almasi. Angalia watakutia kiberiti muda si mwingi
 
u mdharau bure tu mtoa mada.
Wala hajui rock formations zinazoweza kutoa dhahabu, yeye anafikiri ni kiasi cha kuchimba chini.
Kwa eneo lote la ukanda wa pwanni kama kuna rocks basi ni aina iitwayo limestone, aina ambayo haiwezi kutoa dhahabu kutokana na asili yake.

Sasa hiyo dhahabu ya hapo darajani Ubungo pengine mtoa mada ana nia hao machinga na wenye boda boda walichimbue hilo daraja tupate hasara.

Mkuu njoo kipande hii ya Magogoni na Gymkhana Club mamia ya wananchi wanakimbilia kuchimba dhahabu!
 
Wewe lazima utakuwa kibaka, kwa hiyo ukikwapua mikoba ya wamama na kushuka daraji unadhani hiyo ndio almasi. Angalia watakutia kiberiti muda si mwingi

kha kijana nitake radha matusi yote ya nn?
 
Mhh kama kweli basi Tanzania yetu si mchezo imebalikiwa kupita kiasi aiseee....
 
u mdharau bure tu mtoa mada.
Wala hajui rock formations zinazoweza kutoa dhahabu, yeye anafikiri ni kiasi cha kuchimba chini.
Kwa eneo lote la ukanda wa pwanni kama kuna rocks basi ni aina iitwayo limestone, aina ambayo haiwezi kutoa dhahabu kutokana na asili yake.

Sasa hiyo dhahabu ya hapo darajani Ubungo pengine mtoa mada ana nia hao machinga na wenye boda boda walichimbue hilo daraja tupate hasara.

Hao watakuwa wamepata ADHABU na sio Dhahabu mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom