Niulize swali lolote kuhusu wanawake

Niulize swali lolote kuhusu wanawake

Mwanamke mzuri wa ndoa anasifa gani na mchepuko awe na sifa zipi ?
 
Kunakuwa na tatizo gani mwanamke wa miaka 25 alieolewa kuacha kuingia kwenye siku zake kwa miezi 4 au 3 na akipimwa anaambiwa hana ujauzito
 
Kunakuwa na tatizo gani mwanamke wa miaka 25 alieolewa kuacha kuingia kwenye siku zake kwa miezi 4 au 3 na akipimwa anaambiwa hana ujauzito
Tatizo hilo mara nyingi linasababishwa na homoni za mwanamke kutokuwa sawa. Inaitwa hormonal imbalance
 
Tatizo la kusikia mauvimi chini ya tumbo upande wa kushoto na kulia na kutoa uchafu mzito wenye rangi ya brown ila usio na harufu (uchafu unakuwa kama umechanganyika na damu)
Daaah hawa viumbe wana mambo mengi sana ... wajua unaweza kutumia hayo mauchafu yao kutengeneza bomu na likafanya kazi
 
1.Kwa wastani mwanamke anaweza kufika kileleni baada ya dakika ishirini. Huu ni wastani. Hata hivyo kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanamke mmoja na mwenzake.
2.Mara nyingi mwanamke kuchelewa kukojoa inatokana na matatizo ya kisaikolojia. Ni mara chache sana huwa wana matatizo mengine ya kiafya mfano matatizo ya homoni.
Kumbe unaweza kuhangaika kumkojoza mtu mwenye mitatizo yake na akawa hakojoi ... halafu akawa anakutupia lawama kuwa haujui kufanyana kumbe yeye ndiye kikwazo kikuu .. nikikutana na manzi wa hivyo atapambana na hali yake aisee
 
Kibailojia nerve zinazosupply kwenye maumbile ya mwanamke na mwanaume yanatoka sehemu moja. Nevu zote hizo zinatoka katika uti wa mgongo level ya S2-4. Kwa hiyo hakuna tofauti yoyote katika hisia na utamu
Duuuh ..I'm dying
 
Hivi hii ipoje,kuna manz nilidate naye kwa muda wa mwaka na nusu ila kuna hali ambayo nilikuwa nakutana nayo mara chache sana,yaani kwa kipindi chote icho nimekutana nayo kama mara 5 hivi.

Demu nina mkutaga na ile hali ya ulaini ukeni mithili ya kulowa manii(kama ametoka kusex) ila ukimuuliza anasema ni asili yao,ila chakushangaza akiwaga na hiyi hali hata hatoi ushirikiano mzuri ktk tendo na huwa apizi kabisa.


5/5.
Jiongeze tu ...kuna lijamaa linakusaidia kuchimba hicho kisima
 
Back
Top Bottom