Niulize swali lolote kuhusu wanawake

Niulize swali lolote kuhusu wanawake

Nimeona leo nitoe muda wangu kidogo ili tuweze kusaidiana. Mungu akikupa elimu na maarifa bora kushare na wengine.

Napenda kukaribisha swali lolote lile kuhusu wanawake. Uliza swali lolote kuhusu hali mbali mbali za wanawake, mfano kutoa harufu na uchafu sehemu za siri, kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa, mzunguko wa hedhi, kushindwa kufika kileleni, kukosa hamu ya tendo la ndoa , matiti kutoa maziwa wakati hanyonyeshi nk,nk.

Karibu, uwanja ni wako. DM iko wazi kwa mtu anayetaka usiri.

It’s a shame kudhalilisha ulikotokea, kwani wewe unaweza kueleza hayo kumhusu aliye kuzaa?‍♂️‍♂️
 
Nahisi ibilisi Ali m bandua Eva wakati Adam kalala.
 
Eh bwana mkuu ivi mwanamke akitokaa ute ute kama mazwa mgando ivi lakin haunuki kila cku..kuna tatizo lolote
 
Back
Top Bottom