Niulize swali lolote kuhusu wanawake

Niulize swali lolote kuhusu wanawake

Inakuaje mwanamke anaweza kukojoa hata mara 6 mfululizo ktk sex lakini mwanaume inakua vigumu??
 
Nimeona leo nitoe muda wangu kidogo ili tuweze kusaidiana. Mungu akikupa elimu na maarifa bora kushare na wengine.

Napenda kukaribisha swali lolote lile kuhusu wanawake. Uliza swali lolote kuhusu hali mbali mbali za wanawake, mfano kutoa harufu na uchafu sehemu za siri, kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa, mzunguko wa hedhi, kushindwa kufika kileleni, kukosa hamu ya tendo la ndoa , matiti kutoa maziwa wakati hanyonyeshi nk,nk.

Karibu, uwanja ni wako. DM iko wazi kwa mtu anayetaka usiri.
Kuna hisia kali hujengeka vichwani mwa wanaume (mimi mmoja wao) kwamba mwanamke anapokataa kushiriki tendo la ndoa na mume wake tafsiri yake ni kwamba atakuwa ametoka kufanya tendo hilo na mwanamme mwingine, hili unalisemeaje ?
 
Naomba nami nijibu as nami ni mwanamke ;
Sababu ni nyingi;
Wanaume wengi wenu hamjuag kumsoma mwanamke mnakimbilia kuhukumu tu..
Mwanamke akichoka jaman sex hanaga hamu nayo Wala haenjoy.. ni wanawake wachache wanapenda kusex Mara kwa mara Sasa na hapo itabidi umjue mkeo kaangukia wapi..Kwahiyo mkeo akisema anajisikia kuchoka uwe unaelewa..
2;stress...
3: unam-boa...
4;anachepuka!
 
Nimeona leo nitoe muda wangu kidogo ili tuweze kusaidiana. Mungu akikupa elimu na maarifa bora kushare na wengine.

Napenda kukaribisha swali lolote lile kuhusu wanawake. Uliza swali lolote kuhusu hali mbali mbali za wanawake, mfano kutoa harufu na uchafu sehemu za siri, kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa, mzunguko wa hedhi, kushindwa kufika kileleni, kukosa hamu ya tendo la ndoa , matiti kutoa maziwa wakati hanyonyeshi nk,nk.

Karibu, uwanja ni wako. DM iko wazi kwa mtu anayetaka usiri.
Kuna mwanamke ambae kwenye kiungo chake cha uzazi pala juu kile kinyama hakipo?
 
Sawa tusaidie wewe kama reference, nini unataka/unahitaji !!?
Kwa hiyo ukijua mimi nataka nini itakusaidia kujua wanawake wengine wanataka nini? Wewe fahamu tu mwanamke wako anataka nini inatosha sheikh.... maana naweza kukuambia ninachotaka mimi ukabeba mtazamo wangu mimi ukapeleka kwa mwanamke mwingine na kuambulia matokeo hasi mwisho wa siku utajikuta unarudi palepale pa kusema wanawake hawajui wanataka nini
 
Kwanini wanawake wanapenda kumuangalia mtu usoni kwa muda mrefu sana.. hasa ukiwa humtazami !!?
Tena mda mwengine anaweza kuwa ni mke wa mtu!!
(kwanini tutiane kwenye majaribu kiasi hiki jamani)

Wangari Maathai Khantwe Papa Mobimba
Ni vyema ukawauliza watu hao waliokuwa wanakuangalia hii mimi siwezi kutolea majibu maana huwa siangalii
 
Kwanini wanawake wanapenda kumuangalia mtu usoni kwa muda mrefu sana.. hasa ukiwa humtazami !!?
Tena mda mwengine anaweza kuwa ni mke wa mtu!!
(kwanini tutiane kwenye majaribu kiasi hiki jamani)

Wangari Maathai Khantwe Papa Mobimba
MiMi nna bahat mbaya sana mkuu...naskiaga hizo stry tu humu...mm sijawahi kumwangalia mtu kwa jicho Hilo...yaan eti nikuangakie Kama nakutaka?? Oh no
 
Naomba nami nijibu as nami ni mwanamke ;
Sababu ni nyingi;
Wanaume wengi wenu hamjuag kumsoma mwanamke mnakimbilia kuhukumu tu..
Mwanamke akichoka jaman sex hanaga hamu nayo Wala haenjoy.. ni wanawake wachache wanapenda kusex Mara kwa mara Sasa na hapo itabidi umjue mkeo kaangukia wapi..Kwahiyo mkeo akisema anajisikia kuchoka uwe unaelewa..
2;stress...
3: unam-boa...
4;anachepuka!
Upo? Siku nyingi sana
 
Back
Top Bottom